Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Pep can only dream of Liverpool fans...
YNWA
Bado tunatafuta rhythm yetu.Ila beki yenu imekua chekecheke saivi inavuja
Hii nayo ni habari??HT
city 0 : 2 spazi
FT
City 4 : 2 spazi
Una hii habari?
Unafikiri hata wale arsenyani na fujo zao zote wangeweza kufanya ule ukatili tuliofanya jana?...Hii nayo ni habari??
Kweli mmefulia
Tunakuja lini Anfield Saint??Hii nayo ni habari??
Kweli mmefulia






LIVERPOOL FC:Mateso ni makubwa sana kwa kweli maana Ligi bado sana na gemu ngumu bado zipo za kutosha na wazee wetu moyo unataka miguu inakataa.. Wamiliki wanategemea Klopp to pull them out of this man made situation lakini hata Klopp has limits he has worked wonders in th past n miracles operating kwa bajeti finyu ridiculous transfer ideas ambazo sasa zimefika mwisho kwao kwa kua hatuna tena star wa kuuza ili hio pesa iwekezwe kikosini...
Mateso bila chuki. Tumeipenda wenyewe.
YNWA







Huyu Mzee sasa anachanganyikiwa yaaani team ina wastani wa ma babu wote wale ikiwa nafasi ya 2 kati ya timu ishirini kuwa na kikosi chenye wazee wengi aafu anakwambia eti ana wachezaji wa kukuza kisoka kuliko kuingia sokoni..LIVERPOOL FC:
Klopp on spending:
"We are in pretty good hands - we know the responsibility we have. We can't worry too much. You don't need to build a new team every year. You have to allow players to develop and we have a few of those players." #lfc [lfc]
![]()
![]()
![]()
![]()
Msome hapo Kloop Captain Marvelous![]()
![]()
![]()
Wametumika misimu mitano bila benchi la maana kuwasaidia wacheze dakika 60 nu sub.. Hili anguko la sasa usije ukadhani limekuja ghafla hapana dalili zilikuwepo muda tu lakini wamiliki na kocha hua wanajificha kwenye kichaka cha small squad matokeo yake ndio haya sasa.. Katika miaka mitano FSG wamesajili Midfielder wawili tu Thiago na Kieta amboa kwa pamoja hua wanapishana wodini ni wagonjwa wakati wanahitajika hawapo. Je kwa muda huo wa miaka mitano kwamba hawakuona wachezaji wengine wa maana ama walituchomesha mahindi kuhitaji dili ngumu haswa unasikikia Valverde na Tchouameni ambao Real Madrid walituwai.Wamexhoka kufanyaje? Si wametoka mapumzikoni week mbili zilizopita?
Half a season goneBado tunatafuta rhythm yetu.
Jurgen Klopp on Firmino out of contract in June: “I want Firmino to stay here. He knows about the situation and what we think of him. There is no problem. He’s great but I don't know 1000% what his plans are”.Half a season gone
Kukumbatia madingi kumetucost
Ntaangalia mwakani

#LFC

