[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mane mumrudishe aiseee MO kweli toka top perfomance mpaka kimeooo.. liverkuku hivi msimu huu mna plan yoyote au bora uhaii??? Chelsea na liverkuku waunganishwe uzi mmoja..Worst perfomance in decade
Lkn Klopp yupo tutarud
Pls msitukane team
Madrid wasemajeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha excuse za ajabuu timu haina wachezeshaji ina wachezajii..Magarasa?ni wachezaji haohao msimu uliopita walifika UEFA final plus nafas ya 2 ligi kuu...Wachezaji wamechoka..wamecheza kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu sana..tatzo la mashabk tunajua kulaumu tu
Aaaaaah jamani hebu kuwa serious basi kuna wakati na majira. [emoji58]Bora achukue mtu mwingine timu,Tumpe hata Matola
Hili Babu lishakalisha makalio hapo, linaona sawa tu timu kufungwa
Pumbav sana
We are tired of this bulshit[emoji35]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
cry today cry tomorrow cry later keep crying until them tears dry JUST CRY
Hii post niliiandika Jumatatu tarehe 09 January 2023 hivi kulikuwa na Mshabiki wa Liverpool aliyeitilia wasiwasi kauli hii?Next game EPL tunacheza na Brighton tayari matokeo yanajuilikana ndugu zangu tuanzeni kupeana pole nahili pia litapita.
Itakua wewe ni mgeni humu.. Lawama ni ngumu kukwepa ndugu.. Iko hivi hawa wachezaji wetu wametumika vilivyo tangu 2017 mpaka sasa kwa Klopp kukomaa kwamba ni muumini wa kupenda squad yenye wachezaji chagua la kwanza wachache hivyo alikomaa na wachezaji wale wale mwaka nenda mwaka rudi bila kusajili kimkakati..Magarasa?ni wachezaji haohao msimu uliopita walifika UEFA final plus nafas ya 2 ligi kuu...Wachezaji wamechoka..wamecheza kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu sana..tatzo la mashabk tunajua kulaumu tu
Labda ana maanisha stat wise.Amesahau tulifungwa saba na Leeds na Aston Villa pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2481277
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] tabia ya Captain Marvelous hiiZamani ilikua mkipigwa mnaongea kiingereza siku hizi mnakimbia kabisa [emoji849]
Mtuache tupo pre season.[emoji23][emoji23][emoji23] tabia ya Captain Marvelous hii
Garasa zote 🚮🚮🚮Magarasa?ni wachezaji haohao msimu uliopita walifika UEFA final plus nafas ya 2 ligi kuu...Wachezaji wamechoka..wamecheza kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu sana..tatzo la mashabk tunajua kulaumu tu
Klopp determined to prove the doubters that his squad is still capable of the unexpected he tried this in 2020 2021 season by even signing mediocre players in Kabak n Ben Davies na kilichofuata tulipigika balaa na kumhitaji Allison kutupeleka Uefa na sasa tena Klopp huyu huyu anarudia makosa yale yale kutoingia sokoni na kwa bahati mbaya sana kukiwa na majeruhi ya key players na loss of form ya main players wa Klopp...Something is not right with either the training programme or medical team or both no team should have this many injuries and some not even from games this needs looked at
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Bet won [emoji38]LiverPunda leo zinaenda kushonwa tena na Brighton & Hove Albion.
Leandro Trossard tokea jana usiku ameiloweka kabisa ndani ya bakuli la mchuzi wa pweza, kina Alexis Mac Allister, Adam Lallana, Evan Ferguson, Kaoru Mitoma, Solly March, Lewis Dunk, Levi Colwill, Pascal Grob, Danny Welbeck na Moises Caicedo ndio wanamalizia kutafuna roba la mihogo mibichi.
Prediction
Liverpunda 1 - 3 Brighton