Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Klopp shikilia hapo hapo
Huyu kashaisha aisee fukuzaHuyu baba bila shaka ni mvuta bangi aliyekubuhu😡
We are so finished yaaani watching Liverpool nowadays is pure heartache.Klopp: “Outside the club they are speaking as if we are bottom of the table. There are times when you just have to get through it.'”
Captain Marvelous
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Sisi tukiwacharaza Hawa wao wanafikiri ni suala jepesi. Acha yawakute




Captain Chaos ni majeruhi... Kwa hali ya sasa ya MF awepo Nunez ama la matokeo ni yale yale...nunez ana movement nzuri sana kutafuta nafasi kuliko wote pale Liverpool pengine hata EPL shida ipo kwenye Ku convert zile nafasi kuwa magoli. Pengo la Nunez lipo jamani 🤔
Captain Marvelous
Nendeni ujerumani kwanza mkapige goti kwa Sadio Mane, yule mtu wa Mungu akiendelea kukunja nafsi mtashuka mpaka daraja.Bora achukue mtu mwingine timu,Tumpe hata Matola
Hili Babu lishakalisha makalio hapo, linaona sawa tu timu kufungwa
Pumbav sana
We are tired of this bulshit
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bado upo na msimamo kwamba Klopp aendelee kubaki?We are so finished yaaani watching Liverpool nowadays is pure heartache.
Klopp is caught pants down.
YNWA
🤣🤣🤣🤣sio poaaThey walked alone
Hapana, Mgunda atatusaidia zaid 🤣🤣🤣🤣Bora achukue mtu mwingine timu,Tumpe hata Matola
Hili Babu lishakalisha makalio hapo, linaona sawa tu timu kufungwa
Pumbav sana
We are tired of this bulshit
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Heri aje hata Kocha wa Ihefu anaweza kutuvushaH
Hapana, Mgunda atatusaidia zaid 🤣🤣🤣🤣
Poleni ndugu zangu wa liverpool. Tukubaliane tu kutokubaliana kwamba liverpool kwa sasa imekuwa timu ya kawaida kabisa.
Wachezaji wote. Narudia tena wachezaji wote, waliocheza leo ni magharasa na hakuna chochote walichokifanya uwanjani zaidi ya kwenda kututia aibu sisi mashabiki wao.
Brighton wangeongeza umakini kidogo tu, leo walikuwa wanatuweka goli 5. Kwa jinsi Adam Lalana alivyocheza leo, ameonyesha uwezo mkubwa kuliko mchezaji yeyote wa liverpool. Did you know? Adam Lalana kwa sasa ni bora mara 1000 kuliko wachezaji wote kwenye eneo la kiungo cha liverpool.
Hivi huyu Klopp bado ana mategemeo na kina Heddo! Fabby! Alcantara! Jones! Keita! Kweli jamani? Mmeona tofauti ya kiungo kilichocheza leo cha Coincedo, Estupina, na McAllister? Yaani hawa jamaa ni mafundi hatari. Mmeona Mitamo na Murch kitu walichoifanyia backline yate leo? Si nawauliza nyie jamani?