Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,128
- 46,420
Karibia wote aisee 😂😂😂Arthur melo ni muhim? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijasema wote
Karibia wote aisee 😂😂😂Arthur melo ni muhim? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo mbona unawaaibisha wazazi /Walezi wako? Humu ukizungumza lugha ya kiSport utaeleweka vizuri tu. Una tatizo la Kisaikolojia mdogo wangu na hii yote kwa sababu ya kuangalia pornography na kufanya masturbation. Badirika aisee wewe ni Baba au Babu wa mtarajiwa anza kutengeneza utu wako. Achana na hizo pornography na masturbation zinakuharibu akili na ndio maana unaandika lugha zisizo na staha bila kuhisi vibaya.LiverPunda leo zinaenda kushonwa tena na Brighton & Hove Albion.
Leandro Trossard tokea jana usiku ameiloweka kabisa ndani ya bakuli la mchuzi wa pweza, kina Alexis Mac Allister, Adam Lallana, Evan Ferguson, Kaoru Mitoma, Solly March, Lewis Dunk, Levi Colwill, Pascal Grob, Danny Welbeck na Moises Caicedo ndio wanamalizia kutafuna roba la mihogo mibichi.
Prediction
Liverpunda 1 - 3 Brighton
Hao vijana mkuu wamekosa malezi sahihi ya wazaziDogo mbona unawaaibisha wazazi /Walezi wako? Humu ukizungumza lugha ya kiSport utaeleweka vizuri tu. Una tatizo la Kisaikolojia mdogo wangu na hii yote kwa sababu ya kuangalia pornography na kufanya masturbation. Badirika aisee wewe ni Baba au Babu wa mtarajiwa anza kutengeneza utu wako. Achana na hizo pornography na masturbation zinakuharibu akili na ndio maana unaandika lugha zisizo na staha bila kuhisi vibaya.
Halafu ndio Baba au Babu wa baadae na hapo huyu ni mwanafunzi wa chuo JE angekuwa hajasoma kabisa?????Hao vijana mkuu wamekosa malezi sahihi ya wazazi
Man u kakufanyaje leo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji823] Liverpool silently moved from 6th to 7th yesterday without telling anybody
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
Kwamba mashine ya trossard imelala kwenye bakuli la supu ya pweza na nyingine anainywaLiverPunda leo zinaenda kushonwa tena na Brighton & Hove Albion.
Leandro Trossard tokea jana usiku ameiloweka kabisa ndani ya bakuli la mchuzi wa pweza, kina Alexis Mac Allister, Adam Lallana, Evan Ferguson, Kaoru Mitoma, Solly March, Lewis Dunk, Levi Colwill, Pascal Grob, Danny Welbeck na Moises Caicedo ndio wanamalizia kutafuna roba la mihogo mibichi.
Prediction
Liverpunda 1 - 3 Brighton
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hapo kuna lugha gani isiyo na staha imetumika?Dogo mbona unawaaibisha wazazi /Walezi wako? Humu ukizungumza lugha ya kiSport utaeleweka vizuri tu. Una tatizo la Kisaikolojia mdogo wangu na hii yote kwa sababu ya kuangalia pornography na kufanya masturbation. Badirika aisee wewe ni Baba au Babu wa mtarajiwa anza kutengeneza utu wako. Achana na hizo pornography na masturbation zinakuharibu akili na ndio maana unaandika lugha zisizo na staha bila kuhisi vibaya.
Noma sana.Sizani kama kunakuchomoka hapa