Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230108_215950_com.android.chrome_edit_1013450574362543.jpg

Hii Everton jamani madeni yote haya na hali yao uwanjani tia maji.

Naona Glazer kama kawaida yao wanafaidika na Manchester United kimya kimya

YNWA
 
Screenshot_20230109_093836_com.android.chrome_edit_1012665800876204.jpg


Ukweli mchungu sana huu. Japo Klopp anakomaa hapana lakini huu ndio ukweli kikosi umri upo juu sana kuedana na mikiki ya EPL.

YNWA
 
Captain huwezi compare Era za Suarez & Mane na sasa hivi remember era za Suarez & Mane tulikuwa ni middle table team na tulikuwa tu natengneza team. Halafu kwann Klopp anasajili sana Wafungaji na sio Viungo? Jota, Diaz na Nunez. Tatizo lipo kwenye ufungaji wa magoli. Hujaona hilo?
 
We need clearly two quality MF this January transfer
DM and AMF.

But MASIKITIKO kusikia vitu kama hivi.

| While both Naby Keita and Alex Oxlade-Chamberlain are set to leave Liverpool, Klopp could be open to them staying at the club and signing new deals now they are involved again. [@GraemeBailey for @TEAMtalk]
 
Kukomalia Akina henderson, Thiago na milner sasa tunayavuna mabua
Na bado Mzee Baba Mjeremani anasema haoni tatizo lolote na MF wake... Huyu inabidi aanze kuvaa miwani upya maana itakua haya mambo yanampita 😂😂 kwa kua hii MF ipo mahututi haina jipya...

YNWA
 
Captain huwezi compare Era za Suarez & Mane na sasa hivi remember era za Suarez & Mane tulikuwa ni middle table team na tulikuwa tu natengneza team. Halafu kwann Klopp anasajili sana Wafungaji na sio Viungo? Jota, Diaz na Nunez. Tatizo lipo kwenye ufungaji wa magoli. Hujaona hilo?
Klopp by th way yupo kwenye rebuilding mode anajua fika Firmino na Salah are past thier peak hivyo gradually akaanza kuleta usajili mpya kuchukua nafasi zao muda ukifika... Diaz for Mane
Jota for Firmino
Nunez for Salah
Gakpo for super sub

Sio kwamba Klopp hajasajili mbali bila kuuza ama mikataba kuisha pale kati pako loaded Ox, Fabinho, Milner, Jones, Elliott, Fabio, Arthur , Henderson, Thiago,Fabinho, Keita jumla ni wachezaji 11 ambao wote kwa pamoja kwa sasa hawana ubora wowote wa kututoa tulipo na hali mbaya kutupeleka mbele zaidi... Klopp anapata ugumu kusajili kila akitazama namba pale kati anaziona ni full kikosi.. Kwa vile sasa wengine mikataba inaisha ni wakati wake sasa ahakikishe anaodokana na wachezaji wa hivi...

Hata defence hatupo salama sana VVD is tired, Matip na Gomez walitakiwa wasiwepo kwa kua hawawezi kukaa bila kuumwo aidha wote ama mmoja angeshauzwa na kuleta mbadala wa kueleweka.

Klopp ana kibarua kigumu sana klabuni.

YNWA
 
Ndagha tulobhwike Nkamu, nungwe ulobhwike?

Mwaka umegeuka na Team yetu ndio hivyo, Tumeipenda wenyewe Nkamu acha tupambane nayo. Juzi rafiki yako Nunez kakutumia salamu 😊
Tulobhwike Nkamu, tukuti ndagha Malafyale Gwamaka.
..

Liverpool tulipofikia, hata Ihefu ya kule kwetu inaweza kutufunga😂
 
Tunamsema sana Nunez, ila chelsea pale kuna beki wa Paund milioni 68
Mark kukurela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom