Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kabisa Pep ni genius.
YNWA
Salah wa watu maskini.Wadogo zangu wana hali tete sana wanafanya yote sahihi kasoro kufunga ndio kunawapiga chenga, wasife moyo waedelee kujituma mazoezini naamini watakaa sawa.
View attachment 2471447
YNWA
Chezea bangi za chalii OllaChuga Oc weweView attachment 2471444
Duuh huyu kocha anasajiliwa Chelsea kutoka Brighton alikua ana nuru na 'kijana' fulani hivi amazing lakini ndani ya muda mfupi yupo hoi kachoka haswa yaaani h haelewi kama yupo ndotoni ama namna gani.
YNWA

MASAFI
Ni suala la muda tu kila mtu atakubali
We are finished we mzee 😂Ubishi wa huyu mzee hua ni kiwango Kingine i admire him for that....
Najiuliza alitegemea aje hawa wachezaji wakishagonga 31+ waedelee ku perform kila wiki kwa kucheza high line, high intensity hapa ndio Klopp anafeli maana kwa namna hali ilivyo mapema tu angeelewa Fabinho over used hana tena miguu ya ku cover ground ya kutosha matokeo yake ni kwamba defence inashambuliwa muda mwingi na kwa kasi ya ajabu sana na kwa kua hawana ulinzi lazima wataachia tu na kufungwo...
Swali la kujiuliza ni kwamba huu ushukaji wa kiwango haukuja kama mafua hapana ulionekana mapema 2020 kwamba tunaekelekea Kusini kwa spidi kali sana Klopp kama kawaida yako alipuuza aidha kusudi ama kwa kua hakupewa bajeti wala ahadi ya bajet ndio maana akawa anasimama na kutetea kikosi chake.. Ni ngumu kuelewa on stat perceptive usajili wa Thiago na kumwachia Gini ambae alikua all round MF akicheza AM, HM, DM RAM nk na akiwa na ratio ya kucheza gemu 45+ kila msimu kwa output ile ile kimsingi kuodoka Gini ndio anguko la Klopp high line plan sasa changanya na hawa wachezaji wengine kuchuja form yao especially Trent na VVD pale nyuma utaona hatuwezi kua salama... Pia MF kutegemea dogo Elliott ambae sio RAM naturally ndio alete new spark ilikua a big ask for the boy. Bila uwekezaji wa maaja
Ukitazama Klopp akisema ni collective ana maanisha hili tatizo lipo kwa timu yote hivyo sio MF, defence nk na ukitazama ni kweli kabisa mchezaji pekee ni Allison anaeeleweka mishe zake Liverpool wengine hawaelewi yaani utadhani tunatazama pacha wao uwanjani na sio wao...shinda ni kwamba MF ndio injini ya timu ikafa kama sasa na timu itaelemewa.. Nilitazama namna Brentford na Leicester walivyotawala pale kati mpaka nikaona huruma sababu hatuna tena identity pale Kati zaidi ya wachezaji waliochokaa hoi.
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂Miss Liverpool ebu tulia bhana.
Nitampiga mdogo Ako spana hadi uingilie kati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Miss Liverpool ebu tulia bhana.
YNWA
Yes we are being by passed by lower level opponent is just plain naked truth how far we have gone back as a team..We are finished we mzee 😂
Yaaani atakavyokuzima mdomo ndio utaelewa huyu ni mfupa mmoja na Surez the Vikings 😂😂😂😂😂Nitampiga mdogo Ako spana hadi uingilie kati😂😂😂😂😂
Pooor Nunez 😁
Kwanza nilikuwa sijaona,kamejichora hadi kwenye vidole,unadhani Kuna mpira hapo?😂
I am missing you Bobby
Wote baba yao mmoja.Yaaani atakavyokuzima mdomo ndio utaelewa huyu ni mfupa mmoja na Surez the Vikings 😂😂😂😂😂
YNWA
Pole sana ndugu yangu, saivi hata mashabiki wa Norwich wanatusimanga...ni kipindi cha mpito tu...tutarejeaWewe ni shabiki wa team gani uvumilivu umenishinda
Viking ni mmoja tu.Yule wa city!!Yaaani atakavyokuzima mdomo ndio utaelewa huyu ni mfupa mmoja na Surez the Vikings
YNWA
Hii ndio liverpool tunayoijua.Hivi mko na uhakika kama hii ni Liverpool yetu?
Aiseee,mechi ya juzi imenipa machungu mno![]()