Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Yeah, I just love him🤗Imagine Matip akiondoka LFC bado atakuwa mpendwa wako wa siri? [emoji23]
Yeah, I just love him🤗Imagine Matip akiondoka LFC bado atakuwa mpendwa wako wa siri? [emoji23]
[emoji4][emoji108]Yeah, I just love him[emoji847]
Bora nawe umemgundua,anatautafuta umaarufu wa olachuga kwa nguvu na hawezi kuupata kutoka kwetu .......humu aliekubalika ni olachuga peke yake yeye anatwanga maji kwenye kinu hawezi kupata heshima yetu km mtani anaefurahiwaSema dogo unautafuta umaarufu kwa nguvu kwenye huu uzi kama OlaChuga 😂😂😂
Namuona leo yupo cool ruler wako Mr No Content.My secret admirer
Our Handsome Matip[emoji7][emoji91]
LFC[emoji3590]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Profesa kama profesa.
HatatuangushaNamuona leo yupo cool ruler wako Mr No Content.
Akaze HB wako maana hili ndio kombe pekee la ndani angalau tunaweza kupata kwa kua hatupo Carabao na EPL ndio kama unavyoona, hivyo leo laizma kusonga akomae na vijana wake pale nyuma na leo ndio senior CB asimamie shoo shoo tutoke salama.
YNWA
Mambo ya gengeni bwana [emoji23]Profesa kama profesa.
YNWA
Kwahiyo mmeamua kumbeba kwa mgongo wa Salah?View attachment 2472485
Haya mambo siku yakikaa sawa kila mwenye mashaka ataelewa hatubahatishi kusimama na huyu dogo.
YNWA
Hako ka Trent kanavyoongea Kwa nguvu utadhani kachezaaaaji😂
Haya sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂👍👍👍Ila kwa umri huo na amecheza gemu 250 hakika nampa big up sana dogo..Haya sasa
Kumekucha😂😂😂😂
Wataanza ooh "what a boy"!
At the age of 24 ,
-100 assists
-Sijui nggapingapi goal.. ili mradi tu wakapambe.
Team Mane mnashinda sana taratibu mtaelewa tu sie tupo na Captain Chaos yaaani winga yeye strika yeye mishe zote haachi mpaka kieleweke.Kwahiyo mmeamua kumbeba kwa mgongo wa Salah?
Haya.
Hatutaki [emoji16]View attachment 2472492
Yes I Believe in Nunez ije mvua ije jua ama barafu ama upepo nasimama na wewe dogo jembe la ukweli sana.
YNWA
Captain wako mwenyewe bwana[emoji23]Team Mane mnashinda sana taratibu mtaelewa tu sie tupo na Captain Chaos yaaani winga yeye strika yeye mishe zote haachi mpaka kieleweke.
YNWA
Ka kawaida sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]Ila kwa umri huo na amecheza gemu 250 hakika nampa big up sana dogo..
YNWA