zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
May 20th anafikisha 43anacheza kwenye 39 mpk 40 yule

May 20th anafikisha 43anacheza kwenye 39 mpk 40 yule

Liverpool ilikua zamani hii ya sasa hivi ni LiverPunda, ni mwendo wa kubebeshwa mizigo mizito na madumu ya maji.Hivi mko na uhakika kama hii ni Liverpool yetu?
Aiseee,mechi ya juzi imenipa machungu mno![]()
Haya bwana... Mambo ni mengi muda ni mchache sana.Viking ni mmoja tu.Yule wa city!!
Miss Liverpool Saint Anne njoo huku unaitwa.Liverpool ilikua zamani hii ya sasa hivi ni LiverPunda, ni mwendo wa kubebeshwa mizigo mizito na madumu ya maji.
Hii picha ilipigwa juzi ikimuonesha Saint Anne anaswaga Liverpunda zake kwenda kuchota maji. View attachment 2472050
KwendaaaaLiverpool ilikua zamani hii ya sasa hivi ni LiverPunda, ni mwendo wa kubebeshwa mizigo mizito na madumu ya maji.
Hii picha ilipigwa juzi ikimuonesha Saint Anne anaswaga Liverpunda zake kwenda kuchota maji. View attachment 2472050
Huyo dada ni wa pale kwa manyumbu
Tuuze tu Nyunyezi, aje huyu spiderHuyu jamaa tungemchukua tu huenda angejituma kwa moyo mmoja View attachment 2472107
Huu si ule uchochoro wa messHuyu jamaa tungemchukua tu huenda angejituma kwa moyo mmoja View attachment 2472107
Na nyie si mlimtaka huyu?Huu si ule uchochoro wa mess

Sema dogo unautafuta umaarufu kwa nguvu kwenye huu uzi kama OlaChuga 😂😂😂Nyie Punda kumbe leo mnaenda kuliwa na Mbwa mwitu halafu mmekausha kimya kama vile hamna kitu?
Halafu kale kamsemo kenu ka:
"IMAGINE BEING ASS" siku hizi hamkatumii tena?
Carrasco putin leo ndugu zako wapo uwanjani halafu haujawapa maneno ya kuwafiriji mpaka muda huu. View attachment 2472138
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 G pressing umenikumbusha mambo ya Buvac.Huyo dada ni wa pale kwa manyumbu
Wazee wa gengeni pressing
Kikosi kimetuliaView attachment 2472397
Subs: Kelleher, Gomez, Keita, Oxlade-Chamberlain, Elliott, Tsimikas, Carvalho, Phillips, Doak.
YNWA
Cody ndani ya 11.Kikosi kimetulia
My secret admirerView attachment 2472397
Subs: Kelleher, Gomez, Keita, Oxlade-Chamberlain, Elliott, Tsimikas, Carvalho, Phillips, Doak.
YNWA



Wazee wa kupress![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
G pressing umenikumbusha mambo ya Buvac.
YNWA
Imagine Matip akiondoka LFC bado atakuwa mpendwa wako wa siri?
