Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kazi sasa kwa HB wako aingie kikosini na kusimamia idara ya ulinzi.Apumzike kaka wa watu.
Anacheza nonstop bila kupumzika
YNWA
Kazi sasa kwa HB wako aingie kikosini na kusimamia idara ya ulinzi.Apumzike kaka wa watu.
Anacheza nonstop bila kupumzika
My Joel😍Kazi sasa kwa HB wako aingie kikosini na kusimamia idara ya ulinzi.
YNWA
Unadhani huwa haoni basi?Mapema sana hili suala Klopp alitakiwa aone huyu kisiki anahitaji msaada labda Konate ndio under study wake.
YNWA
CONFIRMED: Jürgen Klopp has been nominated for the Premier League Manager of the Month for November and December. Let him go ac Milan panamfaa
Waje tutawaongezea na OxLet him go ac Milan panamfaa
Duu hivi huyu hata atoke bure hakuna cha maajabu tutakosa.
Yaan imagine ule muda Leipzig wametusubilisha Wakati wa usajili wake ,, qmmmke kumbe bomuDuu hivi huyu hata atoke bure hakuna cha maajabu tutakosa.
Kama anaweza afanye wepesi asepe zake payroll ipumue.
YNWA
Hapa tulioigwa. Mara utasikia umri sio hoja sana ni namba tu.Yaan imagine ule muda Leipzig wametusubilisha Wakati wa usajili wake ,, qmmmke kumbe bomu
Umri ni hoja kuu. 🤣🤣🤣🤣 Babu huyuHapa tulioigwa. Mara utasikia umri sio hoja sana ni namba tu.
YNWA
Kama tulivyopigwa tu kwa DarwinHapa tulioigwa. Mara utasikia umri sio hoja sana ni namba tu.
YNWA
Kwani Keita si ana 27yrs au😁Umri ni hoja kuu. 🤣🤣🤣🤣 Babu huyu
🤣🤣🤣🤣amekaa ki 27 yule?Kwani Keita si ana 27yrs au😁
Naona ana hadi Kipara Keita wetu😁🤣🤣🤣🤣amekaa ki 27 yule?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu Mzima yule ila basi tuNaona ana hadi Kipara Keita wetu😁
Ila eti tunaelekeana umri.
Keita alitupiga miaka😂
Mimi ninachojua ni kuwa Keita ni mtoto😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu Mzima yule ila basi tu
😂😂😂😂😂Bhana huyu ni babu tu hata mbio hana na hawezi cheza gemu 3 1st 11 mfululizo bila changamoto. Mwili wake is made of Indian BiscuitsUmri ni hoja kuu. 🤣🤣🤣🤣 Babu huyu
Kama tulivyopigwa tu kwa Darwin
Li Keita ni bure kabisa,😂😂😂😂😂Bhana huyu ni babu tu hata mbio hana na hawezi cheza gemu 3 1st 11 mfululizo bila changamoto. Mwili wake is made of Indian Biscuits
YNWA
Darwin will defy the odds its a matter of when... Usije unga tela kwamba wewe team Darwin akishakiwasha.. mapema utulie ulipo Miss Liverpool aka Team Matip.
YNWA