Utajua tu inacheza style gani baada ya kukushusha pale juu.Ten hag dirisha la kwanza kapewa €250m kazichezea Kununua yule Anthony ,timu haijulikan inacheza style gan ,View attachment 2467465
kagere mbna yuko vzuri hapa hakosi
Ndio matokeo ya kusajili MF mmoja tu Thiago ndani ya miaka 4. This was coming man. We can't handle pressure.Na jana ninyi mlikosa pts ngapi, tupe mrejesho
Yupo Zidane ni mwalimu asiependa wachezaji wazembe kama Kieta nk😂😂😂😂.1 EPL in 8 yrs, Mikel akichukua itakua ni aibu kwa klopp na vijana wake, maana hata spending zake sio ghali kama klopp
Kuhusu kulinganisha alivoanza lewa na Nunez, haijustfy kwamba ndio atakuja kuwa kama lewa, mpaka sasa keita ni deadwood ila klop hawezi admit hilo sanasana atampambapamba tuu
Klop hana gut hata ya kuwagusa baadhi ya wachezaji, mfano ni VVD, huyu mwamba amechoka sio siri ila klop hana huo uthubutu kumuweka bench
Angalia city pale anavyowarotate Stone, laporte, Ake, Akanji, Dias, ( hapa wala rekodi za dunia hazikuvujwa kuwasajili
ni vile tuu hakuna kocha aliyepo nje anayewenza kuitransform liverpool kwa sasa
Bwana wee acha kabisa. Big 4 kwa sasa wala hatuna uwezo nayo zaidi ya kubahatisha.Wazee wa mahesabu
Nunez ni Timo Werner mdogo anayetokea UruguayVirgil ameporomoka Sana , sio yule wa miaka 3 nyuma! Nadhan after ile injury hajawahi kuwa at his best form
Darwin sio CF mmbovu kiivo,,,amepoteza kujiamini, Bei Yake inaweza chagiza, plus sio muingereza media zinammbeza !
Fabinho dah,,, sio yule ! Kwa kifupi liver hamna mid ya uhakika,,,,hendo ? Keita ?
Natunza hii rekodi kwa ajili ya future reference... am positive sana na huyu dogo yaaani one day he will be clinical kwa sababu umri anao wa kum improve , mwalimu anaelewa wa kumpa makali yupo in Klopp, mashabiki wanaompa big hug na kumwambia keep working hard tutasimama na yeye.Nunez ni Timo Werner mdogo anayetokea Uruguay
Anaongoza kwa kucreate chances EPL na anaongoza kwa kumiss chances
Katengeneza chances 24, hakuna mchezaji mwingine msimu huu aliyetengeza chances nyingi zaidi ya Nunez
Kapoteza Big chances 14 zaidi ya mchezaji yeyote EPL msimu huu
Kajaribu kupiga golini mara 52 zaidi ya mchezaji yeyote kwenye ligi kafanikiwa kufunga goli 5 tu
Summary
- Big chances created = 24 (1st in the league)
- Big chances missed - 14 (1st in the league)
- Attempts on goal = 52 (1st in the league)
- Goal scored = 5 (1st in the league)
- Goal conversion rate 9.6%
Wewe ni shabiki wa team gani uvumilivu umenishindaNyie liverPunda mpaka muda huu bado mmelala kwa raha gani hasa mliyonayo?
Amkeni Punda nyie mkasombe maji.View attachment 2467622
Imagine ameondoka gini unareplace na glass thiagoNdio matokeo ya kusajili MF mmoja tu Thiago ndani ya miaka 4. This was coming man. We can't handle pressure.
Hongera naona Yankees wako wameamua kumuiga Roman kwa kusajili mnatisha.
YNWA
Dokta tuna hali mbaya sana. Japo Committee ya usajili Liverpool imesifiwa sana kwamba wana mipango mizuri ya usajili katika kipindi cha miaka 7 ukweli pia ni kwamba kuna baadhi ya maamuzi yao yametufikisha tulipo kwanza kabisa ni kumng'ang'ania Keita, Milner, Henderson na Ox yaaani hawa uwepo labda niambiwe ni home grown rule inawabakisha Liverpool otherwise ilitakiwa tumeshasahau.Imagine ameondoka gini unareplace na glass thiago
😅😅😅View attachment 2467784
If Nunez was a doctor
Huna uwezo hata wakumshusha city ,ndio utushushe sisi?Utajua tu inacheza style gani baada ya kukushusha pale juu.
Na ligi naona inaanza leo
Sema bwana team yako hio tuijue
End of an era mzee wangu kubali tu kakaDokta tuna hali mbaya sana. Japo Committee ya usajili Liverpool imesifiwa sana kwamba wana mipango mizuri ya usajili katika kipindi cha miaka 7 ukweli pia ni kwamba kuna baadhi ya maamuzi yao yametufikisha tulipo kwanza kabisa ni kumng'ang'ania Keita, Milner, Henderson na Ox yaaani hawa uwepo labda niambiwe ni home grown rule inawabakisha Liverpool otherwise ilitakiwa tumeshasahau.
Kingine hii Committee imekua ya hovyo kung'ang'ania wachezaji bila kua na plan B.. Pale Manchester City nadhani kwa sasa ni KDB ambae hakusajiliwa na Kipara wengine wote kaleta yeye maaanake lazima timu iwe na continuity kwa kuuza wakati sahihi na kununua wakati sahihi baadhi ya wachezaji aliouza Pep ingekua Liverpool mpaka leo wapoo tazama.. Aguero, Sane, Silva, Dezko, Sterling, Jesus nk nk kwa Pep unakata mti unapanda mti kwamba wachezaji ananunua wanaedana na 4 3 3 attacking mfumo wao lakini Liverpool ukitazama wakati mwingine hata hawa watoto unajiuliza kama wananunuliwa ili waje kuuzwa kwa faida ama vipi maana ni kama vile mfumo unawakataa tazama Elliott, Fabio nk hawa wana potential lakini wakichanganywa na wazee wanapoteana kabisa... Tunahitaji usajili unaoedana na mfumo wa wachezaji waliopo sio kununua ili mradi kununua.
Klopp alitakiwa ajue mapema tu kwamba VVD anazeeka na amecheza non stop tangu atue mpaka alivyoumia maanake huyu kwa namna yoyote ile kuchoka angechoka tu lakini mpaka leo Klopp huyu huyu akijua fika MF hawana tena msaada kuzuia mashambulizi bado anahimiza tucheze high line na hii inazidi kutuumiza.. Hatuwezi kusema business as usual wakati hali inaonekana ilivyo tete sio Fabinho sio Thiago sio Henderson hakuna mwenye kupoza mipira kufika nyuma kwa kasi kali sana. Hawa wachezaji wametumika mno kwa kua hua tuna benchi dhaifu ndio tulipo sasa na bado wasiposajili Holding Midfielder tuna kibarua kigumu sana mpaka June 2023 kwa kua hawa waliopo wamechemka.
Kipindi Gini yupo hii HM alicheza kwa umakini mkubwa sana kwamba kwa vile anajua Fabinho kama DM atazidiwa yeye alisimama kupoza speed ya game na matokeo yake ilikua tuna dynamic MFs wawili wanao rotate kupoza joto ilikua hata Henderson akipoteana basi washkaji wanakamat dimba lakini sasa Fabinho hana huo msaada sababu Thiago ni completely opposite ya Gini.
Kazi ipo.
YNWA

