Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Li Keita ni bure kabisa,
Wataomchukua tutawapa na zawadi ya babu Milner.

Wewe Bobby bwana ,mpambe tu huyo mdogo wako.
Ila sisi tunasema tumepigwa kweupeee.
Dogo mpira wake wa kawaida,Hata Mayele ana hatari.
We are missing our Mane🥲

Tulikubaliana mwaka ukigeuka utanipa picha,ukiwa tayari umeenda gym na una body kama ya Matip😂
😂😂😂😂😂Matip wako ole wake alete uzembe vs Wolverhampton nae anakula chupa atimke zake...

Darwin namba za magoli, chance created, intensity, pinning opponent defence nk zitam judge hapa Liverpool.

Nina imani anachoona Klopp kwa huyu dogo japo Klopp huyu huyu aliona makubwa kwa Thiago na Kieta wakati kwa hao niliweka reservation.. Nwa ni suala la muda.

Dogo akiacha presha ya bei, presha ya jezi, presha ya akina nyie kukosa imani nk mbona atakaa sawa vizuri tu. Mpe muda ndio kitu pekee anauliza kutoka kwako Red Army.

Milner subiri kama hajapewa mkataba mpya soon. 😂😂

YNWA
 
Hivi nyie mnaona vipi kwani huyu mtoto?
Sisi tunaona katoto kamoja hivi kamejaa magazeti,kanakimbia bila mpango uwanjani..
Ingelikuwa ni mimi napanga kikosi,heri nikupe wewe namba kuliko kumpa huyu mtoto Nunez .
Hata Salah mwenyewe atakuwa amemmiss sana Mane maana combo yao ilitupa matokeo mazuri .
Huyu dogo si mzigo kwetu tu mashabiki uchwara,bali ni mzigo hata kwa Salah..
Salah anashindwa tena kufunga mabao maana anacheza na watoto hawajitambui.

Ni suala la muda tu,utakuja kumkataa hapa nakuambia.

Sisi lazima tumsimange tu,
Mane wetu wa uhakika ameondoka,halafu anakuja dogo kujaribisha,wakati hatuna muda wa majaribio.

Oh our very own Matip 🔥,,
Next week lazima niangalie mechi yote hata kama tutafungwa.

................
Bobby usinipige chenga😂
Achia hiyo body ya Matip basi.
 
😂😂😂😂😂😂Nunez the Captain Chaos lazima umkumbali tu nakuhesabia siku... Huyu ni generation talent loaded na Street wise mojo narudie tena ni suala la muda tu utakuja kumkumbali tu hakuna namna.

In Nunez I trust.

YNWA
 
CONFIRMED: Jürgen Klopp has been nominated for the Premier League Manager of the Month for November and December. ⁣

Klopp is shortlisted alongside Mikel Arteta [Arsenal], Thomas Frank [Brentford] and Eddie Howe [Newcastle United]. #LFC [lfc]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

We celebrate being named not nomination
 
😂😂😂😂😂😂Nunez the Captain Chaos lazima umkumbali tu nakuhesabia siku... Huyu ni generation talent loaded na Street wise mojo narudie tena ni suala la muda tu utakuja kumkumbali tu hakuna namna.

In Nunez I trust.

YNWA
In Diaz I trust
Hako katoto kako bwana wewe kashangilie tu mwenyewe,jeshi la mtu mmoja😂.
 
fbc3fe3e-d9a7-4346-bf42-7dff3dea89bd.jpg

Hahaha dah maisha haya
 
VvD atakuwa nje kwa muda wa mwezi moja. Hii ni kufuatia majeraha aliyopata katika mexhi dhidi ya Brentford. Klopp amethibitisha hilo leo.

Dutchman suffered issue against Brentford

Scan has revealed "harsh diagnosis"

Gakpo set to make Reds bow this weekend

WHAT HAPPENED? The Dutch international defender was taken off at half-time of the Reds' 3-1 defeat at Brentford on Monday, having complained of discomfort. Klopp had initially suggested the issue was not a serious one, but subsequent tests have revealed a significant muscle strain, with Van Dijk now set to be sidelined until mid-February.
WHAT THEY SAID: Klopp told reporters: "Virg was a surprise for us, obviously, a big blow. He didn’t feel a lot. I took him off, actually, no risk.
“In the end, the diagnosis was pretty harsh, but we talk about weeks – more than a month. I hope it goes quick, but for now he is not available. That’s how it is. We have other centre-halves, as long as that’s the case everything is OK for the team.
“But for Virg, it’s harsh. He played an incredible amount of games over the last years. [Now] we cannot use him on the pitch at least. Off the pitch, we will do that.”
THE BIGGER PICTURE: Liverpool entertain Wolves in the third round of the FA Cup this weekend, and will have new signing Cody Gakpo available for that game. They face Premier League games against Brighton (A) and Chelsea (H) before the end of January, and take on Wolves (A), Everton (H) and Newcastle (A) before their Champions League last-16 tie against Real Madrid on February 21, with Van Dijk facing a race to be fit to play a part.
IN THREE PHOTOS:

[https://assets]

Getty

[https://assets]

Getty

[https://assets]

Getty

WHAT NEXT FOR LIVERPOOL? The Reds' first game without their centre-back stalwart comes in the FA Cup third round on Saturday night at Anfield.
 
Klopp anawabishia huko kwamba tatizo sio midfield ila ni collectively problem
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
anawabishia wataalamu wa mpira
emoji23.png
emoji23.png
Ubishi wa huyu mzee hua ni kiwango Kingine i admire him for that....

Najiuliza alitegemea aje hawa wachezaji wakishagonga 31+ waedelee ku perform kila wiki kwa kucheza high line, high intensity hapa ndio Klopp anafeli maana kwa namna hali ilivyo mapema tu angeelewa Fabinho over used hana tena miguu ya ku cover ground ya kutosha matokeo yake ni kwamba defence inashambuliwa muda mwingi na kwa kasi ya ajabu sana na kwa kua hawana ulinzi lazima wataachia tu na kufungwo...

Swali la kujiuliza ni kwamba huu ushukaji wa kiwango haukuja kama mafua hapana ulionekana mapema 2020 kwamba tunaekelekea Kusini kwa spidi kali sana Klopp kama kawaida yako alipuuza aidha kusudi ama kwa kua hakupewa bajeti wala ahadi ya bajet ndio maana akawa anasimama na kutetea kikosi chake.. Ni ngumu kuelewa on stat perceptive usajili wa Thiago na kumwachia Gini ambae alikua all round MF akicheza AM, HM, DM RAM nk na akiwa na ratio ya kucheza gemu 45+ kila msimu kwa output ile ile kimsingi kuodoka Gini ndio anguko la Klopp high line plan sasa changanya na hawa wachezaji wengine kuchuja form yao especially Trent na VVD pale nyuma utaona hatuwezi kua salama... Pia MF kutegemea dogo Elliott ambae sio RAM naturally ndio alete new spark ilikua a big ask for the boy. Bila uwekezaji wa maaja

Ukitazama Klopp akisema ni collective ana maanisha hili tatizo lipo kwa timu yote hivyo sio MF, defence nk na ukitazama ni kweli kabisa mchezaji pekee ni Allison anaeeleweka mishe zake Liverpool wengine hawaelewi yaani utadhani tunatazama pacha wao uwanjani na sio wao...shinda ni kwamba MF ndio injini ya timu ikafa kama sasa na timu itaelemewa.. Nilitazama namna Brentford na Leicester walivyotawala pale kati mpaka nikaona huruma sababu hatuna tena identity pale Kati zaidi ya wachezaji waliochokaa hoi.

YNWA
 
Nyie Punda saa 23:00 ndio hio inakaribia anzeni kujisogeza kibanda umiza mjifunze jinsi gani mpira wa kiume unavyopaswa kuchezwa.
Screenshot_20230106_223743.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom