Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,558
Kwani tunacheza na nani iyo alamisi?
Kwani tunacheza na nani iyo alamisi?
Sisi 😀😀😀😀😀😀😀 wait uone show za kiparaAise munatia uruma sana 😂😂😂
Mkuu any day of the week nitamchagua Klopp awe kocha wa Liverpool maana pamoja na changamoto za kufanya kazi na FSG huyu mzee ame deliver kadri awezavyo bila kulalamika kivile mpaka pale sasa amefika mwisho wa kuna punching bag ya FSG... Juzi wakati anaulizwa kuhusu usajili alitoa jibu moja linafikilisha sana kwamba mchezaji alinunuliwa lazima klabu itazame namna ya kuirejesha hio ela aidha kwa kuuza ama kuachia wachezaji wengi ili wage bill ipumue maanake ni kwamba mzee hata amtake Enzo kama hio ela hakun plan ya kuirejesha basi huyo Enzo atamsoma kwa Fabrizo... Imagine hizo fact huku unashidana na Barcelona ya Uingereza maana ukumbuke wenye maamuzi pale Ethad walikua ni waajirlwa wa Catalan kwa nyakati moja na Pep hivyo wana upeo na ushawishi mpana sana sokoni nk.. Nimeyasema sio kwa kutetea hii hali ya sasa mbali uelewe Klopp has tried his level best kufanya kazi na hawa Yankees n the man being pound for pound manager ana deserve better back up kutoka kwa umiliki wa timu.Umezunguka kwotee kasoro tuu kwa klopp, sioni tena kama ile passion na motivation ipo, timu imeoza beki, viungo na foward na mbinu za klopp,
Klopp kuruhusu hyo 69m kumnunua Nunez akubali tuu alifanya biashara kichaa, yeye sio Mungu kwamba hakosei kwenye sajili ama kila mchezaji anaweza mbadilisha, alimshindwa minamino, benteke nk
Mosdef bruv, natambua mchango wako humu but one of the things I've noticed about you is you're so biased about Arsenal, ni mara kibao nimeona ukimrate pochettino / Ten hag highly kuliko Mikel Arteta. Now bro, time is unbearable. Kwa haya yako ya kwanza inakureveals wazi, tunaupa muda nafasi yake sisi Arsenal fans.We have started poor, the season is still open, ningekuwa slightly worried kama Manchester City wangekuwa wanaongoza kwa 27 points in october, but its Arsenal.
Us, beating City ilikuwa ni so important for our season, and where we want to finish.
The season is still open, labda tujipe ugumu tena wa kuto-sign MF in january.
We are still competing in the league, CL, FA, EFL, beating City was IMPORTANT, win against Westham, we will jump to 5th, the theme is to stay around/near top 4 places mpaka january.
Being 14 points off the top in october is NOTHING, last season we were 15 points off the top in January tena kwa Manchester City, and ilipofika May, City had to beat Aston Villa to win the league in the LAST DAY, so its still early, so early in the season, and its Arsenal who are on the top of the table, i pray they dont slip and let City overtake them before WC.
The target is Manchester City, we're 10 points apart now, so the goal is to try to reduce that gap by any means, they have HAALAND now, so the task will be a bit harder, but we need to TRY.
Diaz, Jota, Matip, Kostas, Keita, Ox, Carvalho, Elliott, Salah, Robertson Hawaendi World Cup.
Thiago, Gomez, Konate, wana 80% ya kutokwenda.
Trent, Fabinho & Firmino hata wakienda hawatapata game-time ya kutosha kwasababu siyo starters.
Alisson, Nunez & VVD ndiyo main starters kwenye team zao.
So ile WC burnout itatupitia mbali kidogo, unlike City ambapo KDB, Cancelo, Dias, B. Silva, Rodri, Gundogan, Foden, Akanji, Ake etc wanaenda WC na pia ni starters kwenye team zao.
Na jana ninyi mlikosa pts ngapi, tupe mrejesho🤔🤔🤔Labda ajitokeze sasa.
Jana Manchester City kakosa pointi 2 na leo Conte na vijana wake wamepunguzwa kasi. Hii kwetu ni safi kuelekea kuingia Top 4.
YNWA
Tumekuja, kwani mada ni ipi, jana, juzi au mtondogooo?Captain Marvelous walete mashabiki wa Chelsea 😀😀😀
Wazee wa mahesabuLabda ajitokeze sasa.
Jana Manchester City kakosa pointi 2 na leo Conte na vijana wake wamepunguzwa kasi. Hii kwetu ni safi kuelekea kuingia Top 4.
YNWA
Hii kitu ya kweli kabisa...sasa si mumfukuze 😂😂Chambalain huyu jamaa ana nuksi sanaakianza mechi lazima liverpool afungwe. Ivo ivo hata alivyokuwa Arsenal
Unauza Mane unanunua Nunez!!! Hiyo ni akili au matope?Umezunguka kwotee kasoro tuu kwa klopp, sioni tena kama ile passion na motivation ipo, timu imeoza beki, viungo na foward na mbinu za klopp,
Klopp kuruhusu hyo 69m kumnunua Nunez akubali tuu alifanya biashara kichaa, yeye sio Mungu kwamba hakosei kwenye sajili ama kila mchezaji anaweza mbadilisha, alimshindwa minamino, benteke nk
Flano kwa kupenda ujinga ujinga dahnimeipenda hii nickname ya liverpunda.


Ten hag dirisha la kwanza kapewa €250m kazichezea Kununua yule Anthony ,timu haijulikan inacheza style gan ,Mosdef bruv, natambua mchango wako humu but one of the things I've noticed about you is you're so biased about Arsenal, ni mara kibao nimeona ukimrate pochettino / Ten hag highly kuliko Mikel Arteta. Now bro, time is unbearable. Kwa haya yako ya kwanza inakureveals wazi, tunaupa muda nafasi yake sisi Arsenal fans.
1 EPL in 8 yrs, Mikel akichukua itakua ni aibu kwa klopp na vijana wake, maana hata spending zake sio ghali kama kloppMkuu any day of the week nitamchagua Klopp awe kocha wa Liverpool maana pamoja na changamoto za kufanya kazi na FSG huyu mzee ame deliver kadri awezavyo bila kulalamika kivile mpaka pale sasa amefika mwisho wa kuna punching bag ya FSG... Juzi wakati anaulizwa kuhusu usajili alitoa jibu moja linafikilisha sana kwamba mchezaji alinunuliwa lazima klabu itazame namna ya kuirejesha hio ela aidha kwa kuuza ama kuachia wachezaji wengi ili wage bill ipumue maanake ni kwamba mzee hata amtake Enzo kama hio ela hakun plan ya kuirejesha basi huyo Enzo atamsoma kwa Fabrizo... Imagine hizo fact huku unashidana na Barcelona ya Uingereza maana ukumbuke wenye maamuzi pale Ethad walikua ni waajirlwa wa Catalan kwa nyakati moja na Pep hivyo wana upeo na ushawishi mpana sana sokoni nk.. Nimeyasema sio kwa kutetea hii hali ya sasa mbali uelewe Klopp has tried his level best kufanya kazi na hawa Yankees n the man being pound for pound manager ana deserve better back up kutoka kwa umiliki wa timu.
Ishu ya Nunez ni raw gem kabisa, ametoka Uruguay akacheza Spain baadae msimu mmoja Ureno na sasa Liverpool kwa maneno ya Klopp anasema hata Lewandoski alikua kama Nunez lakini leo hii ni strika safi kabisa ndio maana Klopp hakosi imani na huyu dogo.
Jambo pekee lenye kuleta maswali ni upangaji wa kikosi kama leo kwanza alijua fika Brentford has nothing to lose hivyo hatapaki basi aafu anaweka 2 pedestrians Konate na Tsimikas hapo alichemka mapema tu.
With Brentford, Brighton na Wolves hua hakuna kulala hua wanashambulia kama timu na kuzuia kama timu.. Klopp should have been wiser
Fabinho jamani nini kimemkuta.
YNWA

Ten hag dirisha la kwanza kapewa €250m kazichezea Kununua yule Anthony ,timu haijulikan inacheza style gan ,View attachment 2467465


Huyu fundi tokea alivyowachomekaga lile bao hamuishi kumchukia.