Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii fitness management kuna vile mambo hayaendi sawa. Time to address the situation and sort it.

Klopp ni jeuri ni kiburi kweli kweli inabidi tukubaliane naye tu. January ni wazi tutaingia sokoni kutafuta mid.

Let city’s trimph be a wake up call.. kuna U-turn tukitoka world cup
YNWA
 
Hata kama twachechemea ila westham wajiandae tu

Mwenye app ya kustream live tafadhali
 
LIVERPOOL VS MANCHESTER CITY.

Forget about the North West Derby, forget about the Merseyside Derby, Manchester City are LIverpool biggest rival kwasasa, and imekuwa hivyo kwa kipindi cha miaka 5-6, game ya juzi ni moja kati ya games chache sana ambazo Liverpool imekutana na Manchester City na haijawa viewed kama Title decider, but again ilikuwa ni moja kati ya game, if not, game bora zaidi mpaka sasa kwa msimu huu.

I wont highlight Pep tactical views and how he approached the game, but tangu dakika ya kwanza ya mchezo, Klopp tayari alikuwa na clear plan, it was up to players ku-execute it, na uzuri zaidi ni kuwa players waliifanyia kazi vilivyo..

It seems, Klopp amei-abandon 433, well, atleast for now, but ni good signs, maji yalikuwa yameshafika shingoni, maana kwa Klopp kui-abandon 433, ambayo ameitumia for more than 4 years at Liverpool, ilikuwa siyo jambo dogo, but kwa jinsi msimu ulivyokuwa unaelekea, ilikuwa ni lazima abadilishe mfumo, ingawa si muumini wa kubadilisha mfumo wakati msimu tayari umeshaanza, but it was clear kuwa hatukuwa na personnel ya kucheza 433.

433 ya Klopp huwa inabebwa na athletic/strong & active runners/press resistants/Counter-pressers/tactically secured MFs/Ball carriers/good & strong tacklers etc, hizi elements unazipata kwa 2018-2020 Henderson, Wijnaldum, Fabinho, Thiago, Keita, Ox and even Milner (when he was a little bit younger), but Wijnaldum is gone, Henderson cant even run anymore, Fabinho is fatigued and he's struggling phsycally, Thiago is more than capable but he needs extra care because he's injury prone, Keita + Ox are injury prone too etc, so kwa maana hii huwezi ku-implement 433 to the fullest, ni lazima kutakuwa na gaps, ili kui-sustain, you need energetic MFs with good & strong legs & bodies, na kibaya zaidi hatukufanya hivyo in the summer, so Klopp aliamua kuwa naive, kuendelea na 433 akijua kuwa his MF is bad physically, especially eneo muhimu sana la RCM ambalo lina-effect the whole system, Henderson msimu wote huu amekuwa aki-struggle at RCM, because he cant run anymore, he cant press for the whole 90 minutes, we needed a young RCM, but we chose to be naive in the summer, so 433 ilikuwa flat, holes kila sehem, na opponents were able to cut us open kiurahisi sana, tangu msimu uanze our whole defense imekuwa targeted kwa bad reviews & blames, especially Trent & VVD, which is laughable, because ukiachana na formation kuwa tweaked kidogo at RHS, pia mtu yeyote anayejua mpira hata kidogo tu, angeona kuwa 433 ya Klopp & Lijnders ilikuwa haifanyi kazi.

So Klopp decided to try 442, the formation worked against Rangers (both ties), and it worked perfectly against City.

At Arsenal, we tried 4231, he went with formation because he wanted Nunez upfront, which wasnt a bad idea, but we failed to execute it perfectly because of Henderson & Trent being short of confidence, again, Henderson played very well against Rangers kwenye tie zote (in a PIVOT) his best performances this season, but playing him against Arsenal was a mistake, Rangers hawakuwa na viungo ambao wako kwenye good form kama Partey, Xhaka & ødegaard, so ilikuwa ni lazima tuwe over-loaded kwenye MF na kwenye our RHS, haikuwa suprise kuwa Arteta ni lazima ange-target our RHS, hence he started Tomiyasu to stay compact with Salah, ili kupunguza defense burden kwa Xhaka, na kuwarushu Xhaka na Martinell ku-attack our RHS at ease, na kwa bahati mbaya Salah akiwa hana madhara, it means inakuwa rahisi kwa Xhaka kupandisha/kutengeneza nafasi za mipira kwa urahisi sana kwa Martinell, na our supposed runner, siku hizi akishapanda kurudi inakuwa ngumu sana, na akirudi hawezi ku-mark behind runs za Martnell, kwasababu hana burst anymore, so it was so easy kwa Arsenal ku-target void ya our RHS, Trent got exposed, na ukichangia yeye kuwa out of form, ilikuwa rahisi zaidi, and Arsenal game was Klopp worst in-game management this season, his 2nd half subs handed Arsenal the win, forget about ref & VAR woes, Klopp threw that game away, one of our easiest fixtures, akaigeuza kuwa ngumu sana,

And, Klopp benching Fabinho against Arsenal because he didnt want to listen to his instructions kwenye game ya Brighton, ilikuwa ni stupid idea, nilisema hapa, WC players ndiyo huwa wanakuwa ku-turn on the manager, na nikasema kuwa wont be suprised kuona kina Fabinho, VVD, Trent, Salah, Thiago etc, waki-turn on Klopp, kwa kuendelea kukumbatia his average mates au kutobadili mfumo na kuokoa msimu., kwenye game ya Brighton tuliona wenyewe ile exchange ya Klopp & Fabinho, Fabinho alikuwa anakataa kupokea instructions za Klopp, why? ni kwasababu alikuwa haziamini tena, na ikifika hatua ni kuwa wachezaji wanakuwa wanapoteza imani na wewe, na tangu lini Fabinho akawa na tabia ile? it means alikuwa amechoka, sasa kama ni vile, imagine kwenye dressing room? na tunakumbuka Klopp decided to drop Fabinho at OT for no reason, the same Fabinho ambaye ali-demand MFs kwenye medias in the summer, so it wasnt a wise choice to drop Fabinho aganst Emirate, YES, ukiachana na ile bust up yake na Klopp kwenye game ya Brighton, pia its safe to say he's been struggling with form this season, but siyo kosa lake, ni sababu za poor squad planning ya Klopp, na hata kama yupo out of form, you cant drop our best DM kwenye big games, Fabinho angecheza ile game ya Arsenal, naamini matokeo yangekuwa tofauti kabisa, it took Klopp months kum-badilisha Fabinho kutoka kwenye his "pivot" game kwenda kwenye lone DM game, now amerudi kwenye pivot ambayo ndiyo strength ya Fabinho, anamueka bench, tena against Arsenal.

Sas, against Manchester City, we played with 442, (Alisson/Robertson-VVD-Gomez-Milner/Jota-Thiago-Fabinho-Elliott/Salah-Firmino), sasa swali why the formation succeeded, in the MF we had Thiago & Fabinho, both tactically secured MFs, with strong ability to control, press, counter press & recycile possesion at ease, having Thiago+fabinho in the MFs, allowed Jota & Elliot to room/attack/defend our our Left & Right channel kwa ufanisi zaidi.

Harvey Elliot, was deployed as RM, his main job was to help Milner & nullfy any form ya attacking threat kutoka kwa Foden, hence it was so easy for Milner (36 year old) to deal with Foden, and pia ikampa room kubwa zaidi Gomez ya ku-deal na Haaland, bila pressure ya ku-cover kwa kila mara for Milner, as Elliott was already doing the dirty work, akiwa hana mpira, kama Klopp angemuanzisha Henderson as RM, ingekuwa ni disaster, you can say i hate Henderson, but sometimes unatakiwa uone ni kwa kiasi gani anai-cost team akianza, na kuwa muda wake wa kucheza as RCM/RM umeisha, he's 32, na strength zake zote zimeisha, kwasasa anaweza ku-perform agaist team ambazo zinakuwa zinampa a lot of space (mf ni rangers), but angeanza at RM or in a pivot, eneo lote la kulia lingekuwa ni disaster, you see Fabinho hana pace, but ni tactically secured MF, anajua wapi awepo, na anajua ku-anticipate counters/second balls, so rahisi sana ku-cover spaces/yards anazoacha Elliott akiwa na mpira au akiwa anashambulia, na kwa hii inter-change, ilikuwa rahisi sana kwa Fabinho kupunguza threats za KDB from deep areas, for the last 8 games in the league, tuli-fail kumpa Trent hii protection, na kama Klopp angeamua ku-switch mapema tusingekuwa na points 13 now, na pia kwenye large parts, form yetu ya mwanzo wa msimu imeharibu confidence ya Trent kabisa, so it will take time.

So, 442 is the way forward now, Salah kucheza kwenye touchline ilikuwa ni BAD IDEA, so kwenye hii formation tunamruhusu kukaa central. against City, alikuwa ni yeye na Bobby upfront, but Bobby alikuwa ana-drop as an inverted 10, tukiwa tunashambulia tukiwa tunakaba alikuwa anacheza kama 3rd number 8, behind Fabinho+Thiago, but main role ilikuwa ni ku-link our MFs and attack, na kuzuia City transitions from their zones, hence B silva & Gundogan walikuwa nullified the whole game.

In a 442, Salah can start with Nunez upfront in a 2, Salah can start with Firmino upfront in a 2, or Firmino & Nunez can start together upfront in a 2.
 
With Jota & Diaz out.

It allows us to use 442 even more, kwasababu hatuna personell ya kucheza 4231, ukiachana na 433 ambapo hatuna BODIES in midfield.

We have a lot of players who are well suited for 442, with Ox & Keita close to returning, inakuwa interesting zaidi, because wote ni wazuri kwenye 442, Keita is a pivot player, Ox can cover at RM with ease, him & Elliott can rotate.

Keita can rotate with Thiago at LCM, but at the same time, he can play very well at LM, and we have Carvalho & jones who can provide a good cover there, and lucky enough, 442 suits Jones even better., so we will be fine, atleast until the WC, then start to plan for january transfer window, we need a MF, should be a priority, extra attacker is needed, but siyo muhimu sana kama MF, Jota & Diaz wote watarudi after WC, so tuna good depth kwenye attack, we need a body kwenye MF.

4-4-2 going forward

ALISSON

Robertson/Kostas-VVD/Matip-Konate/Gomez-Trent/Ramsay

Carvalho/Jones/Keita-Thiago/Keita-Fabinho/Henderson-Elliott/Ox

Nunez/Firmino-Salah/Firmino

Should be enough until WC.

Strong case of trying Trent at RM, and put Gomez at RB when Konate comes back.

But, as it stands, the squad is good enough, enough to finish in strong positions before the WC.
 
We have started poor, the season is still open, ningekuwa slightly worried kama Manchester City wangekuwa wanaongoza kwa 27 points in october, but its Arsenal.

Us, beating City ilikuwa ni so important for our season, and where we want to finish.

The season is still open, labda tujipe ugumu tena wa kuto-sign MF in january.

We are still competing in the league, CL, FA, EFL, beating City was IMPORTANT, win against Westham, we will jump to 5th, the theme is to stay around/near top 4 places mpaka january.

Being 14 points off the top in october is NOTHING, last season we were 15 points off the top in January tena kwa Manchester City, and ilipofika May, City had to beat Aston Villa to win the league in the LAST DAY, so its still early, so early in the season, and its Arsenal who are on the top of the table, i pray they dont slip and let City overtake them before WC.

The target is Manchester City, we're 10 points apart now, so the goal is to try to reduce that gap by any means, they have HAALAND now, so the task will be a bit harder, but we need to TRY.

Diaz, Jota, Matip, Kostas, Keita, Ox, Carvalho, Elliott, Salah, Robertson Hawaendi World Cup.

Thiago, Gomez, Konate, wana 80% ya kutokwenda.

Trent, Fabinho & Firmino hata wakienda hawatapata game-time ya kutosha kwasababu siyo starters.

Alisson, Nunez & VVD ndiyo main starters kwenye team zao.

So ile WC burnout itatupitia mbali kidogo, unlike City ambapo KDB, Cancelo, Dias, B. Silva, Rodri, Gundogan, Foden, Akanji, Ake etc wanaenda WC na pia ni starters kwenye team zao.
 
El Nino alikua mtu na nusu hatari sana.. Liverpool has been blessed kua na ma strika hatari balaa tazama Torres El Nino, Surez, Salah na sasa Nunez...

Kwa umri wake na ile price tag sijashangaa sana alipo sasa na ile kadi yake vs Crystal Palace ilimchanganya sana kiasi fulani...

Atakaa sawa na pia kingine wakati yeye hapati dakika mwenzie anaefananishwa nae anapewa dakika za kutosha lakini Nunez dakika kwake ni adimu sana na lazima tukumbali game time itampa zaidi kujiamini case study alivyo hit ground Fabinho alivyotua Liverpool baada nae kusugua bechi mwishowe akapewa namba ilikua one way ticket hakarudi nyuma tena.

YNWA
Darwin Nunez ana traits zote za Fernando.

Pacey, strong, aggresive, and can strike a ball.

The kid is just overwhelmed kuwa at Liverpool, and people should be concerned naye kama angekuwa ha-create chances au kufunga, but he's scoring goals and anatengeneza chances for fun.

90% ya games alizoanza msimu huu kafunga na kutengeneza chances za kutosha.

Juzi, against City he had a very good game, although alifanya 2 bad decisions, but overall he was good, created chances and pinned man city back for 10-12 minutes, City couldnt get out of their 1st phase when he came on, took the city defense apart everytime he had the ball, you can blame him for his bad decisions, he created 3-4 big chances ndani ya dk 10, City especially Akanji didnt know how to defend against him.

He has EVERYTHING as a proper number 9, good/timed decision making can be coached, Klopp coached Mane, Coutinho, Henderson, Origi, Jota, Gomez etc kuhusu decision making, so it wont be a tough job kwa Nunez.

Forget the price-tag, Pep bought Grealish for 100m, and it took him a season to train Grealish his way of football (Ona Grealish anavyodeliver now), price-tag means nothing, as long as the POTENTIAL is there.

And, Liverpool fans, hawahitaji ku-prove nothing, because he's scoring goals, his goal-tally ingekuwa kubwa kama asingepigwa ile red card na ku-sit out for three games.

Then, amekuja muda ambao Liverpool ilikuwa kwenye bad form, Salah, VVD, Fabinho, Trent etc werent performing, sasa how can you single him out? Diaz alikuja January team ilikuwa kwenye very good shape, so ilikuwa easy ku-adjust, na hata kama ange-fail ku-adjust ningempa time, because the TALENT is there, same kwa Nunez.

Gabriel Jesus who is in the form of his life, ana goal moja zaidi ya Nunez, ambaye he barely start at Liverpool, you got to factor the minutes too, Haaland got KDB at City, our main creator who is capable katika kutengeneza chances/passes kama za KDB kwa kiasi chake, happens to be so out of form and he thinks he's Lucky Dube, so Nunez got it tough, but he's still trying to deliver, his numbers are just fine, considering the number of games alizonazo on his belt, plus the season has just started.
 
Nini maoni yako kuhusu transfer policy ya City season hii?wameuza zaidi na wamenunua cheap Akanji...
Liverpool tumeanza kuzidiwa na hawa wanao Tu copy?
 
Price tag ni muhimu kuzingatiwa, Nunez ni mchezaji wa project, anahitaji kupikwa upya, unanunuaje mchezaji wa mil 100 na umfundishe kufanya decision? Mil 100 ni pesa ya kubuy a superstar player anayeingia direct kwenye team.
 
Screenshot_20221019_180147_com.android.chrome_edit_208109371639076.jpg

Tazama hizo namba za huyu dogo Nunez ana EPL highest stat kwa na forward pale EPL ... Hii inaonyesha yupo kwenye laiti track ni suala la muda tu kabla hajaanza kufumania nyavu balaa.

Sijawai kukosa imani na huyu dogo regardless ya anacho deliva sasa naamini anaedelea pazuri sana ni suala la muda tu.

Klopp kwa kuwanoa ukali hawa ma dogo yupo vizuri tazama Auba, Lewandoski, Mane, Salah, Marco Reus, Mario Gotez nk th list is endless... Sasa kwa huyu dogo Nunez ni suala la muda maana movement akiwa na mpira na akiwa hana mpira zinaonyesha vyema sana anakoelekea ni pazuri. Nina subira nina imani boy will come big. Kingine ni mpaka Surez anawatonya Barcelona wamsajili huyu dogo kipindi anakipiga Almeria Spain na walivutiwa sana ishu ikawa Barcelona hawana ela ndio Benfica wakamnunua knowing ni suala la muda tu kabla hawajauza ela nyingi tu....

Kukosa KDB kind of player kutoa ma assist fulani amazing pia imechangia sana kukosa new dimension pale mbele lakini dogo Nunez ana instinct fulani hivi za Street football he is looking for opportunities left, right hasubiri fursa zimkute anazisaka mwenyewe...

In Nunez i trust na leo huyooo katuletea pointi muhimu sana,tulipo na kushinda back to back games ni ishara njema kujijenga upya kimkakati. Vijana wanapambana makosa ni mengi lakini winning attitude imeanza kurudi mdogo mdogo....

YNWA
 
Price tag ni muhimu kuzingatiwa, Nunez ni mchezaji wa project, anahitaji kupikwa upya, unanunuaje mchezaji wa mil 100 na umfundishe kufanya decision? Mil 100 ni pesa ya kubuy a superstar player anayeingia direct kwenye team.
Nunez is not a project player.

Mchezaji kuhitaji adjustment period/time kwenye his new club, haimaanishi kuwa ni "project" player, na adjustment period/time huwa inahitajika mara nyingi mchezaji anapokuja/sign kwenye team ambayo inacheza mfumo tofauti ambao aliuzoea, so either coach aamue kubadilisha mfumo ili ku-suit his playing style, au am-coach mchezaji na kumvuta katika style na mfumo wake, hence some playees takes a lot of time kuzoea new mazingira/mifumo na tactical variations.

Nunez amecheza in a 4231 career yake yote, Klopp ni muumini wa 433, so it was either ku-abandon 433 for the sake of Nunez, au kum-coach in a 433, and thats what Klopp was trying to do, play a wide/stretched 433, ili kumpa Nunez time/space ya ku-hurt opponent from central areas, kwa ku-build in a 2-1 shape kama kwenye 4231, ambapo hiyo tweak ilionekana kuwa ngumu kuwa implemented as it needed Salah ku-play so wide, Trent ku-invert, etc left us so open on our RHS.

Now, switching 442 inakuwa rahisi kwa Nunez, as anakuwa na uwezo wa ku-interchange na Salah/Firmino kwenye central areas/upfront, akitokea kushoto/kulia, depends Salah anakuwa wapi wakati tuna-attack.

Klopp had to coach an experienced player and Ligue 1 winner Fabinho how to play as a Lone DM, he had to coach one of the best MFs in the world Thiago how to time his runs & ball screening as a 2nd holding LCM, so coaching a 23 year-old ambaye 3 years ago alikuwa kwenye segunda division ya La Liga, kuhusu proper decision making, ni jambo la kawaida sana, unless kama unadhani kazi ya coach ni ku-instruct mchezaji kuingia uwanjani na ku-kick a ball.

Price tag ya Nunez ni justified, kutokana na inflated market ya sasa, last season he scored 26 goals out of 28 league games, scored plenty goals in the CL pia, player of the year & top scorer kwenye portugal league, top 5 league in europe, Benfica started a bidding war, considering they bought him for their club record fee of 24m, ni record signing ya Benfica, na tayari enquires zilikuwa nyingi after just 2 seasons kwenye club, so Benfica had to make sure wanapata profit kubwa, hence wakawa open for a bidding war, mnasahau kuwa Nunez alikuwa ni top 3 targets za Ten Hag at Utd, De Jong, Nunez and a CB, that was his spine, Utd matched our offer pia, but Nunez chose our project, sp theres no way Nunez angeuzwa for cheap.

And, kuwa na price tag kubwa, haimaanishi kuwa hutakiwi kupata nafasi ya ku-settle kwenye team, and kwa baadhi ya wachezaji huwa inawachukua muda ku-settle, na pia kuna makocha huwa wanachukua muda kuwa-adjust new players kwenye system yao.

As i said, Klopp tried to tweak baadhi ya vitu kwenye his system ili kumu-accomodate Nunez, while Guardiola changed the whole shape of his attacking patterns ili kumu-accomodate Haaland, na it showed against us, as Man city failed to to accumulate or interchange/try quick & penetrative passes kwenye final third because they had a target man, hence once we nullified KDB & Silva transitional threats, it became easier for us to minimize Haaland chances.

And, Nunez is a STARTER at Liverpool.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom