Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
👍👍👍👍👍👍Ingekua combination matata sana.Klopp na Mourinho..😀😀😀
Ni kiungo mshambuliaji mara false 9. Naona kote yupo.Kwani Kai anacheza namba ngapi pale chelsea tuanzie hapo
Hiyo 300K labda unamlipa wewe, mfumo wetu mzima ndio tunaufanyia kazi ili wafungaji waweze kufunga japo sio lazima Havertz afunge kama Haaaland, Erling ni natural striker ambaye akihudumiwa vizuri kazi yake ni kufunga magoli. Kai Havertz ni Attacking Mildfilder ambaye kazi yake ni kuwapikia wengine. Mlinganishe Kai na Gungugan au KDBView attachment 2465826
Chelsea hapa mlipigwa ama tazama EPL rekodi ya Kai vs Erling .
Huyu Kai alinunuliwa ghali sana around 70m hivi na analipwa vzuri tu around 300k kwa wiki.
Mkuu lembu hii imekaa aje.
YNWA
Heri ya mwaka mpya ndugu.Hiyo 300K labda unamlipa wewe, mfumo wetu mzima ndio tunaufanyia kazi ili wafungaji waweze kufunga japo sio lazima Havertz afunge kama Haaaland, Erling ni natural striker ambaye akihudumiwa vizuri kazi yake ni kufunga magoli. Kai Havertz ni Attacking Mildfilder ambaye kazi yake ni kuwapikia wengine. Mlinganishe Kai na Gungugan au KDB
View attachment 2465867
🤔🤔🤔Labda ajitokeze sasa.Captain Marvelous hakuna msemaji wa Spurs humu.
Watakwambia amewapa UEFA.View attachment 2465826
Chelsea hapa mlipigwa ama tazama EPL rekodi ya Kai vs Erling .
Huyu Kai alinunuliwa ghali sana around 70m hivi na analipwa vzuri tu around 300k kwa wiki.
Mkuu lembu hii imekaa aje.
YNWA
Lig ngumu hii balaa🤔🤔🤔Labda ajitokeze sasa.
Jana Manchester City kakosa pointi 2 na leo Conte na vijana wake wamepunguzwa kasi. Hii kwetu ni safi kuelekea kuingia Top 4.
YNWA
Dogo mwenyewe alisema yeye sio Ronaldo wamuache afanye yake bila kumtegemea miujiza... Ukumbuke ile bei yake alitarajiwa aamshe balaa.Watakwambia amewapa UEFA.
OllaChuga Oc njooo huku.Captain Marvelous walete mashabiki wa Chelsea 😀😀😀
Anatamani Faes angekuwa Nottingham 😀😀😀
FSG hao biashara zao hua nu uza nunua hata hawana wanaonunuliwa sasa Klopp kasema hivyo hivyo kwamba ela inapatikana ndio itumike na ndio maana kuona Enzo ni zaidi ya 100 wenyewe wakaona isiwe shinda kumpambania.
Wachezaji wazuri ni bei na wanahitaji pia mishahara na marupurupu ya kutosha ndio maana Klopp akasema huyu Cody kwa namba zake uwanjani magoli na ma assist angekua anacheza Spain La Liga bei yake tusingeiweza, hii inaonyesha FSG wao wanachungulia unapolished gem wanatua mazima ananunuliwa kwa mpango ule ule huko miaka ijayo aje kuuzwa ela ndefu kama ya C10.
Panic Buy ndio zilileta akina Kabak Liverpool yaaani ile ilikua danganya toto kwa mashabiki maana walisema mwalimu apewe silaha uwanjani Edwards kipindi kile akaambiwa ebu leta wachezaji ili mradi kuwatuliza mashabiki.
Bila hii timu kuuzwa mbona tutazidi kua wasidikizaji. Epl moja kwa miaka 7 haikumbaliki kabisa.
Ngoja muda utasema.
YNWA
Jinsi unaichulia arsenal, huwa naiona Liverpool km chama langu dogo pale Uingereza, toka kwa Steven Gerrard. Akichukuaga kombe liver moyo una tabasamu kuliko chelsea na man U(ndio kabisaaa)Hata tusipo chukua ubingwa nacho omba tupambanie big 4 ila Arsenal akichukua ubingwa nitakuwa na furaha japo sio shabiki wa Arsenal.
Alikuwa ni watu wawili na ¾
Ajikaze saana, si rahisi, kabakisha world cup 2/3Mbape