verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Hebu kua na adabu wewe usimfananishe kagere na watu wapuuzi, uyu ni Yikpe wa ulaya (Lukaku mweupe)[emoji81][emoji81]kagere wa Liverpool View attachment 2467114
Hebu kua na adabu wewe usimfananishe kagere na watu wapuuzi, uyu ni Yikpe wa ulaya (Lukaku mweupe)[emoji81][emoji81]kagere wa Liverpool View attachment 2467114
Marehemu kaacha mayai matatu alikua anaatamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2467130
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeipenda hii nickname ya liverpunda.Liverpunda
Huyu jamaa anapitia kipindi kigumu, ila bado naamini ni mshambuliaji mzuri sana, ngoja msimu huu uishe, tuone itakavyokuwa.[emoji81][emoji81]kagere wa Liverpool View attachment 2467114
Kuna siku nilisema Tatizo ni muda ndio hatuna.Huyu jamaa anapitia kipindi kigumu, ila bado naamini ni mshambuliaji mzuri sana, ngoja msimu huu uishe, tuone itakavyokuwa.
Una roho ngumu fellow kop yaaani una imani kabisa na Keita kwenye hizi mbio za Big 4...We were lucky vs Leicester na Leo tunaendeleza upuuzi ule ule. Toa chambalain toa Elliot sogeza anorld mbele then Ingiza gomez na k3ita
Itakuwaje vs Galacticos, au ndio basi hadi season ijayo.Una roho ngumu fellow kop yaaani una imani kabisa na Keita kwenye hizi mbio za Big 4...
Kwa hali ya wachezaji wetu wapo kama gari ya dizeli ikitegwa kwa kustua mlamani kwenye mteremko inaweza ikawaka na jino moja ama jino la 2 au 3...kwa hizi gemu 2 wameanza tulipoonzia Ligi. Kwa ufupi ili tuingie Big 4 lazima aidha Manchester United, Chelsea, Tottenham, Newcastle wapoteane zaidi yetu ili tuweze kusogea sogea lakini kwa hali hii ya leo hakika nasimama na Klopp kudai 250m kujenga upya kikosi hiki. Kama sio beki kupoteana basi MF ama wote kwa pamoja kama leo na vs Leicester...
Ifike mahala wachezaji wengine wasisubiri kuonyeshwa njia ya kuodokea wenyewe wajitadhimini.
Konate ni Kieta mpya huyu ajiangalie sana kwa kweli.
Tumepoteza pointi 3 muhimu sana.
YNWA
Umezunguka kwotee kasoro tuu kwa klopp, sioni tena kama ile passion na motivation ipo, timu imeoza beki, viungo na foward na mbinu za klopp,Una roho ngumu fellow kop yaaani una imani kabisa na Keita kwenye hizi mbio za Big 4...
Kwa hali ya wachezaji wetu wapo kama gari ya dizeli ikitegwa kwa kustua mlamani kwenye mteremko inaweza ikawaka na jino moja ama jino la 2 au 3...kwa hizi gemu 2 wameanza tulipoonzia Ligi. Kwa ufupi ili tuingie Big 4 lazima aidha Manchester United, Chelsea, Tottenham, Newcastle wapoteane zaidi yetu ili tuweze kusogea sogea lakini kwa hali hii ya leo hakika nasimama na Klopp kudai 250m kujenga upya kikosi hiki. Kama sio beki kupoteana basi MF ama wote kwa pamoja kama leo na vs Leicester...
Ifike mahala wachezaji wengine wasisubiri kuonyeshwa njia ya kuodokea wenyewe wajitadhimini.
Konate ni Kieta mpya huyu ajiangalie sana kwa kweli.
Tumepoteza pointi 3 muhimu sana.
YNWA
Anashangaa kaa vile anakata gogo 😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2467210
Nyie Thursday mtapapaswa hadi mfukuze Kocha…. Niko paleeeeeMatakataka mumelambwa 😂😂😂