Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
For Milner, Henderson, Fabinho, VVD haha nk...End of an era mzee wangu kubali tu kaka
For Liverpool tumooo sana.
For Klopp apate mpunga tu ajenge kikosi
YNWA
For Milner, Henderson, Fabinho, VVD haha nk...End of an era mzee wangu kubali tu kaka
😂😂😂😂😂😂Jamani mbona picha zake hazina shinda... Tazama hapa ujue kufunga si kufunga tu mbali kufunga na kuzoa makombe sidhani kama tangu 2016 mpaka sasa kuna strika pale Epl anamzidi huyu bwana kufunga magoli mengi lakini tazama sasa upande wa kuzoa makombe alivyomweupeee peeeee.Nasubiri kaka mtu wa nyunyezi,aje amteteee
Toto limejaza picha za magazeti mwilini
Ila bado akina Captain Marvelous watamtetea tu
Haya.
Kwanini mnapenda kutafuta visingizio vingi kumbeba huyu dogo?😂😂😂😂😂😂Jamani mbona picha zake hazina shinda... Tazama hapa ujue kufunga si kufunga tu mbali kufunga na kuzoa makombe sidhani kama tangu 2016 mpaka sasa kuna strika pale Epl anamzidi huyu bwana kufunga magoli mengi lakini tazama sasa upande wa kuzoa makombe alivyomweupeee peeeee.
View attachment 2469223
Nunez hata msimu mmoja Epl hana na tayari ana Ngao Hisani.
YNWA
Ingekua hapati nafasi ama hana mishe ya kutengeza wengine kwa kweli ningekua na hofu sana lakini anafanya yote safi kasoro kufunga na kuua off side trick wakati sahihi...Kwanini mnapenda kutafuta visingizio vingi kumbeba huyu dogo?
Haya leo umejifichia kwenye Chaka la Kane.
Huyu dogo tulipigwa.
Yankees confused man prices of players are high note... Gone are th days when 37m player was seen as huge amount for Liverpool to pay now we are even quoted at 100m n man that scares FSG really big time.Still we need to react positively on this transfer window but in a hurry way, smartly in accordance of needy.
YNWA
Tukisema timu apewe Gerrard mnakataa kwamba hatutaki majaribio,Kipara hana utaniIngekua hapati nafasi ama hana mishe ya kutengeza wengine kwa kweli ningekua na hofu sana lakini anafanya yote safi kasoro kufunga na kuua off side trick wakati sahihi...
Utakuja kumpenda bure tu kama Mr Out of Context Liverpool..
YNWA
Apumzike tuu, ameshakua uchochoro, ila pia iwe red alert ya kutafuta beki wa maana
Apumzike kaka wa watu.
Mapema sana hili suala Klopp alitakiwa aone huyu kisiki anahitaji msaada labda Konate ndio under study wake.Apumzike tuu, ameshakua uchochoro, ila pia iwe red alert ya kutafuta beki wa maana