Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mwamba kama mwamba. Hakuna kama yeye mpaka sasa.
YNWA
View attachment 2465357
Hii rekodi ya kushinda Kombe La Dunia mara 3 kweli kuna mchezaji wa kizazi cha sasa anaweza kuja kuipata...
YNWA
View attachment 2465358
Hawa wenye timu hii nao sifa tu hivi hawajaiona Liverpool waje kuinunua
YNWA
MbapeView attachment 2465357
Hii rekodi ya kushinda Kombe La Dunia mara 3 kweli kuna mchezaji wa kizazi cha sasa anaweza kuja kuipata...
YNWA
FSG hao biashara zao hua nu uza nunua hata hawana wanaonunuliwa sasa Klopp kasema hivyo hivyo kwamba ela inapatikana ndio itumike na ndio maana kuona Enzo ni zaidi ya 100 wenyewe wakaona isiwe shinda kumpambania.Hahah tunawatamani sana wanunuzi wa hivi.
Hii january tayari ungesikia Enzo, Caicedo, Ambrabat tayari. Tunasubiri summer kufanya another 3 signings.
Under FSG last two summer and winter kuna sajili zilifanyika kihuni tu.
Kabak
Davies
Arthur
Departure ya kihuni
Gini (imetuhunt sana hii).
Let us expect entrance za kimafia in case take over mpka june wawe wenye mkwanja.
Kwani Kai anacheza namba ngapi pale chelsea tuanzie hapoView attachment 2465826
Chelsea hapa mlipigwa ama tazama EPL rekodi ya Kai vs Erling .
Huyu Kai alinunuliwa ghali sana around 70m hivi na analipwa vzuri tu around 300k kwa wiki.
Mkuu lembu hii imekaa aje.
YNWA
Klopp na Mourinho..😀😀😀View attachment 2465824
🤓🤓🤓🤓 EL Cholo na Conte ingekua full vurugu hawa wangechezea kadi kila kukicha.
Will Klopp na Ancelot.
YNWA
Alafu hawasemi😀😀😀😀View attachment 2465826
Chelsea hapa mlipigwa ama tazama EPL rekodi ya Kai vs Erling .
Huyu Kai alinunuliwa ghali sana around 70m hivi na analipwa vzuri tu around 300k kwa wiki.
Mkuu lembu hii imekaa aje.
YNWA