Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Kina Henderson wanafanya hilo zoezi liwe gumu, dahh watu wakiona Mids zetu zinavyocheza wanaongeza bei.Huyu Enzo tumteme to £120m zanini alafu aje kuwaBig flop?View attachment 2464191
Kina Henderson wanafanya hilo zoezi liwe gumu, dahh watu wakiona Mids zetu zinavyocheza wanaongeza bei.Huyu Enzo tumteme to £120m zanini alafu aje kuwaBig flop?View attachment 2464191
Kina Henderson wanafanya hilo zoezi liwe gumu, dahh watu wakiona Mids zetu zinavyocheza wanaongeza bei.





Kwa hio tuna Ballod D'or Contender kwa Captain Chaos ... Hii ni habari njema sanaa.Klopp anasema Nunez kama Lewandoski alivyoanza
🙃🙃🙃🙃Hawa ma jamaaa walikua na balaa sana.
Steven ndiye aliyenifanya niwe Liver.Hawa ma jamaaa walikua na balaa sana.
Enzi hizo tulikua na kawaida moja tukukamia mechi kubwa tu na derby kama kawaida...
YNWA
🤔🤔😎😎😎😎😎😎😂😂😂😂Una utani na Captain haha ana kazi moja tu kumleta Bellingham Liverpool 🤣🤣🤣🤣hii dili kwa huyu dogo kushiriki mbona tushamkosa...Kina Henderson wanafanya hilo zoezi liwe gumu, dahh watu wakiona Mids zetu zinavyocheza wanaongeza bei.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jamaaa ni mkali sana.
Fundi sanaJamaaa ni mkali sana.
Simply the best Captain Liverpool ever.
YNWA
Abaki kua best Captain ila hio ya kumpa timu hapana atulie hukooo sanaa hatuna muda wa ku testi wakati unaona Kipara hatanii🤣🤣🤣.Fundi sana
Bado tu sisi kumpa timu,
Ntakua shabiki lialia wa Liver.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwani Klopp naye si anatania tuAbaki kua best Captain ila hio ya kumpa timu hapana atulie hukooo sanaa hatuna muda wa ku testi wakati unaona Kipara hatanii🤣🤣🤣.
YNWA
🤔🤔😎😎😎😎😎😎😂😂😂😂Una utani na Captain haha ana kazi moja tu kumleta Bellingham Liverpool 🤣🤣🤣🤣hii dili kwa huyu dogo kushiriki mbona tushamkosa...
Ila duh kwa ile performance ya jana mbona naona tukipigwa ela sokoni yaaani jana MF ilikua head less kitchen
YNWA
Gerrard bado sanaFundi sana
Bado tu sisi kumpa timu,
Ntakua shabiki lialia wa Liver.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Na imshinde tu... Jude tetesi ni kwamba release clause ni chini ya 80m sasa mtihani uliopo ni ofa ya mshahara wake.Hiyo kazi imemamshinda, binafsi hawa English players siwakubali sana, wako wachache wanaupiga ila waliobaki wanakuzwa na media.
120 kwa jude kwelii?? Sasa wale kina Pedri, Gavi watanunuliwa kwa pesa ngapi???
😂😂😂Huyu alimchukulia powa Kipara ujue.Kwani Klopp naye si anatania tu
Naamini watatufanyia suprise kama kwa Fabinho.. naomba tu awe tayari kwa matumizi.😂😂😂 Na imshinde tu... Jude tetesi ni kwamba release clause ni chini ya 80m sasa mtihani uliopo ni ofa ya mshahara wake.
Dortmund hua ni wa siri sana kujua hata hizo release clause zao.
Liverpool hatuna muda wa kusubiri mwezi wa June 2023. Tunahitaji usajili sasa.
YNWA
Alafu watu wameuchuna tu.Attackers who cost more than Darwin Nunez (64 million):
-Grealish 100 million
-Lukaku 100 million
-Havertz 75 million
-Pepe 71 million
-Sancho 73 million
-Antony 82 million
..
Kama Havertz hata kufunga hafungi siku hizi...lakin kimyaaAlafu watu wameuchuna tu.
£300mHiyo kazi imemamshinda, binafsi hawa English players siwakubali sana, wako wachache wanaupiga ila waliobaki wanakuzwa na media.
120 kwa jude kwelii?? Sasa wale kina Pedri, Gavi watanunuliwa kwa pesa ngapi???



Last time na Bournemouth kafunga sheikhKama Havertz hata kufunga hafungi siku hizi...lakin kimyaa