verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Tap ins
Tap ins
Mkuu hizo ni £ au €?Attackers who cost more than Darwin Nunez (64 million):
-Grealish 100 million
-Lukaku 100 million
-Havertz 75 million
-Pepe 71 million
-Sancho 73 million
-Antony 82 million
..
😀😀😀😀tutautoboa
Ila uwanjani nlikua naona 5-3-2, low block ya maana kwelikweli
Yes, wamejitahid kuzuia sana.Ila uwanjani nlikua naona 5-3-2, low block ya maana kwelikweli
Ishu ni nidhamu ya mchezoYes, wamejitahid kuzuia sana.
Hakuna rangi tutaacha ona.Hata tusipo chukua ubingwa nacho omba tupambanie big 4 ila Arsenal akichukua ubingwa nitakuwa na furaha japo sio shabiki wa Arsenal.
Klopp husema "its has to be the right player with the right price, otherwise we wont buy"... Hivyo ngoja tuone dirisha likishafunguliwa watasajili nani.Naamini watatufanyia suprise kama kwa Fabinho.. naomba tu awe tayari kwa matumizi.
80m+ tukienda Kule latino tunaweza pata wachezaj wazurii tu ila muda ndio Tatizo.
Ccccccc DullyJr na Aaron Arsenal naona njia ya ya ubingwa taratibu inaanza kukaa anapotaka Arteta na vijana wake.Hata tusipo chukua ubingwa nacho omba tupambanie big 4 ila Arsenal akichukua ubingwa nitakuwa na furaha japo sio shabiki wa Arsenal.
Dahhh hiyo “we won’t buy” na nikikumbuka jana mbona kama anatupa taulo mapema hiviKlopp husema "its has to be the right player with the right price, otherwise we wont buy"... Hivyo ngoja tuone dirisha likishafunguliwa watasajili nani.
Nina imani na Julian Ward.
YNWA
😀😀😀😀 sitafurahishwaCcccccc DullyJr na Aaron Arsenal naona njia ya ya ubingwa taratibu inaanza kukaa anapotaka Arteta na vijana wake.
YNWA
Arsenal tunahitaji kushinda mechi 10 ,Ccccccc DullyJr na Aaron Arsenal naona njia ya ya ubingwa taratibu inaanza kukaa anapotaka Arteta na vijana wake.
YNWA
Adui mwombee njaa.Arsenal tunahitaji kushinda mechi 10 ,
Man city hapa Kati ana game ngumu na atadondosha point tu Tena zakutosha,
City huyu ukibishana nae unaweza hata kumfunga kabisa ,rejea Vs man u ,2nd half Hadi possession man u aliongoza .
View attachment 2464936