makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,594
Akituliza akili, magoli yakija, atakuwa ni mmoja ya washambuliaji ambao mabeki hawapendi kukutana nae.Endeleeni kumsema Nunez
View attachment 2465843
Akituliza akili, magoli yakija, atakuwa ni mmoja ya washambuliaji ambao mabeki hawapendi kukutana nae.Endeleeni kumsema Nunez
View attachment 2465843
Haya MAmbo ya kuanza kufungwa kila siku yananikera sana
GarasaChance miss...Nunez, clear chance. View attachment 2466993
Nunez huyu au Nan?Sijui unaweza waambia nini watu kuwa hapa jamaa kakosa.View attachment 2466999
Ingekuwa Firmino au hata Chama tuu,huyo beki angefinyiwa kulia angeangukia kushoto...an easy goalChance miss...Nunez, clear chance. View attachment 2466993