Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hajawahi kushindwa kwenye kupika wachezaji.

I think this january we need Mid. Too atleast one CAM/DM (if possible) aingizwe kwenye mfumo
Henderson is tired
Milner is tired
Thiago is tired
Fabinho is lost
Keita is winding up Reds tenure
Chamberlain same as Kieta
Tunahitaji new idea, new breed pale kati paaamshe haswa na ndio itakua nguzo kuu pia kuzuuia mashambulizi pale nyuma kutua kama mvua huku tukijua fika tuna beki dhaifu hivyo huu usajili uedane kimkakati kwamba winga mmoja ili Nunez abakie pale kati na sio kama anavyo cheza sasa kutokea pembeni imekua ishu kwake ku adjust shooting accuracy.

YNWA
 
Why Liverpool mnapenda Sana kumfananisha huyu Nunez na Gabriel Jesus kila huyu Dogo anapozingua

Kwanini msikubali huyu Nunez Ni average player na Kuna uwezekano tukawa tumepigwa?

Nunez Bei yake full package Ni €100m

Jesus full package Bei yake Ni €50m

Profile , umuhimu katika timu Huyo Nunez hawez kumfikia Jesus ,

Nunez Ni mchezaji aliye shine msimu mmoja tu benfica, Liverpool kwa tamaa zao wakapigwa €100m

Kwenye usajili Ni kawaida kupigwa ,Nunez ana poor first touch,hajiamini ,

Nunez ajitetee mwenyewe asifananishwe na wengine , Ni mchezaji wa €80-100m

Hatutegemei utetezi mwingi
Kwa akil yako unaona aliyefananishwa hapo ni jesus pekee?
 
Mimi nikajua Salah alivyofika miaka 30 spidi ya kukimbia itapungua atawaachia kukimbia akina Diaz kumbe wapi ndio kama ana miaka 23

Ila kwa Nunez nakaribia kuanza kukata tamaa
 
Haya haya kwa Coady ulikuwa mwanzo tu
IMG-20221227-WA0017.jpg
 
Haya haya kwa Coady ulikuwa mwanzo tu View attachment 2459926
Huyu anajua mara 2 ya Bellingham

Bellingham akikutana na Viungo wenye akili kidogo huwez kumuona

Ila media za UK zinavyojua kuwapamba wachezaji wao Ni hatari


Enzo Fernandes mechi iwe ngumu au nyepes utamuona , technically yupo vzr ,passing yupo vzr , physical yupo vzr

Bellingham eti anauzwa €130m huu Ni utapeli katika soka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom