Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nunez na minamino wamepishana kidogo SanaVery low confidence from Nunez but he will score!
Nina imani sana na Klopp kubaadili watu
We are Liverpool
Welcome boy Gapko
Nunez na minamino wamepishana kidogo SanaVery low confidence from Nunez but he will score!
Nina imani sana na Klopp kubaadili watu
We are Liverpool
Welcome boy Gapko
Nina imani na dogo ni suala la muda tu ata click... Anafanya mengi mema kama ambavyo walimu wanamfundisha kasoro yake kuu ni kufunga na hilo naamini atalifanyia kazi kadri siku zinasonga.Mnajaribu kumpamba na kumtetea ila huyu dogo hata mikimbio yake tuu bora Embolo,
Kufunga atafunga ila shida ni timing ya kufunga hayo magoli
Huyo gakpo
Aiseeklopp is cooking something
Tukibeba na Jude basi basi wanangu imeisha![]()
Nina imani na dogo ni suala la muda tu ata click... Anafanya mengi mema kama ambavyo walimu wanamfundisha kasoro yake kuu ni kufunga na hilo naamini atalifanyia kazi kadri siku zinasonga.
Price tag yake ya £64m kufika £100m kama performance bonus sio ya kitoto ikiwa ni club record hivyo dogo anacheza kwa presha kubwa sana anajua "all eyes on me" pazuri ni pale mashabiki wa Liverpool wamemkubatia na kumtia moyo jana kapewa sub japo hakufunga lakini wimbo alipata kwa kua harakati zake zinaonekana.
Akisharudisha ile confidence ambayo uliona gemu ya Uefa Anfield Liverpool vs Benfica dogo atakua habari nyingine kabisa. Ni suala la muda tu.
YNWA
Few stat for the new boy
View attachment 2459468
Klopp has got his man. Boy might be ready for 2/1/23 game.
Zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Liverpool.
Kuumia kwa Jota na Diaz ni pigo kubwa kwetu hivyo huu usajili umekuja wakati mwafaka.
YNWA
View attachment 2459473
Asante Ward kwa kutuletea huyu dogo chini ya Klopp tumepata jembe haswa.
YNWA
Sio usajili m baya kwa hiyo pesa, shida isije ikawa ndio U - turn ya JudeView attachment 2459473
Asante Ward kwa kutuletea huyu dogo chini ya Klopp tumepata jembe haswa.
YNWA
Nafikiri Salah ataingia top five mapema sanaAll time top-goalscorers for Liverpool:
1. Rush 346 (660 games)
2. Hunt 285 (492)
3. Hodgson 241 (377)
4. Lidell 228 (534)
5. Gerrard 186 (710)
6. Fowler 183 (369)
7. Dalglish 172 (515)
8. Salah 171 (275)
Salah is one goal behind Dalglish, having played 239 fewer games!
DM napendekeza Sofyan AmrabatHajawahi kushindwa kwenye kupika wachezaji.
I think this january we need Mid. Too atleast one CAM/DM (if possible) aingizwe kwenye mfumo
Huyu ndio anaenda kumuweka sawa nunezView attachment 2459473
Asante Ward kwa kutuletea huyu dogo chini ya Klopp tumepata jembe haswa.
YNWA
Ongeza na Kudus...DM napendekeza Sofyan Amrabat
DM napendekeza Sofyan Amrabat
Huyu dogo anatumia miguu yote kama Jota hivyo Nunez klosi zitashuka kwake kama mvua.Huyu ndio anaenda kumuweka sawa nunez