1. United ni one of the most interesting projects right now, they've got a young and ambitious manager ambaye ana clear vision, Enzo can develop at United, ETH is a good coach, na kama akiwa solid na project anayotaka kuitengeza ETH at United, sidhani kama atakataa, plus itakuwa ni big advantage kwa United, kama LFC, City, Madrid wakishindwa kukubaliana na Benfica, United inaanza kuwa solid project now baada ya kupitia changamoto nyingi za usimamizi, hii denial tuliyonayo tuachane nayo.
2. If anything, ile interview ya Ronaldo imeharibu zaidi reputation yake kuliko United/ETH, na zaidi imeonesha kuwa ETH can manage "egos", na kwa shabiki yeyote yule anayeangalia mpira, ataelewa kuwa United wapo kwenye mikono salama na project yao ina-mature chini ya ETH, hence Ronaldo alikuwa hana nafasi tena, kama nilivyosema itakuwa ngumu sana kwa united kutengeza team from the scratch, but ETH vision is so clear, and the last thing i needed as a united hater ni wao kumu-hire ETH, atafanya vizuri at United, Time is a good healer.
3. Habari ya United kutaka ku-trigger RC ya Enzo, sijaitoa kwa hiyo source, i dont even know that source.
4. Glazzers wanachotaje hela kwenye A/C za club? Board inawazuaje Glazzers kuchota pesa kwenye A/C za club? ni saving A/C? suala la kuzuiwa na board kuchota pesa ina maana kuwa Glazzers wana direct link na A/C za United/business entity? how? then £24m tu? ndiyo ipo kwenye A/C ya MANCHESTER UNITED? are you hearing yourself? hii ni aina gani ya A/C?
5. United wanatumia RCF model kupitia BOA (Bank Of America), kila wanapotaka ku-make big signings, na sometimes siyo. lazima kwao kabisa kama Broadcasting, matchday & retail revenues zinakuwa zimejipa vizuri, RCF wanatumia sana kwenye emergency situations or kwanye big "pocket" signings, guess Sky Kaveh alikuwa anahitaji kuwaeleza hiyo loan inafanyaje kazi pamoja na applicability yake, and hakuna big (record) signings ambazo zinafanyika bila LOANS, unless uwe FSG (Sell 3 players to buy 1 big signing) ambayo ni very bad & terrible model.
United as a Company went public in 2012, na ni one of the very few clubs kama siyo wao tu, kuwa registered kweny NYSE (New York Stock Exchange) kitu ambacho big bonus kwa Glazers na kwa United at Large, United ni big LFC rival, but i've admitted mara nyingi sana kuwa ni one of the most biggest brands kwenye dunia ya michezo, na wamejizatiti heavy kwenye business placements, ni club pekee pale UK ambayo inayoweza ku-turn in billions of shillings kwenye revenues (broadcating, matchdays, merchandises etc) bila CL wala trophies zozote, mwezi wa sita mwaka huu kwenye report yao ya fedha wameingia zaidi ya £500m revenues, ukiachana na deni lao kubwa, what makes you think watashindwa ku-trigger RC ya Enzo? BOA hawatotoa mkopo? other banks (England, China, UAE, USA etc) hawatowapa mkopo? nani atakataa kwa hizo numbers za REVENUES? you think why Madrid wanapata kiburi cha kutoa 70m kwa a 16 year-old kid? Barcelona walijaharibia big time, na tumekuwa tukisubiri United wajiharibie kwa kipindi. gani mpaka sasa? from Di Maria, to Pogba, to Sancho, to Ronaldo, but the brand is still strong.
They want Gakpo now, you think PSV will settle for less? they were ready to pay up to 90m for De Jong, kitu gani kitawashinda kwa Enzo? a 21 year old with the whole world ahead of him?
United wont be "bad" for too long.