Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpaka saa nne asubuhi jana stori ilikua ia kwamba Ruud van Nistelrooy kocha wa Psv na ambae ni old boy pale Trafford angewasaidia sana huyu Cody kutua Trafford kumbe dogo ana mipango yake kwamba anahamu kukipiga pale Liverpool hii habari kwamba ameichagua Liverpool na kuwaacha wengine kama Manchester United kwa kweli ni habari murwa sana. Ilikua ni nadra sana wachezaji kuichagua Red side lakini tangu atue Firmino akiwakacha mashetani imekua ni jambo la murwa sana wengine kuiga kwamba wanaweza kufanikisha ndoto zao hapa hapa Liverpool.

Tunafarijika sana kama mashabiki kusoma taarifa kama hizi zinaonyesha namna gani Klopp anakumbalika na vijana wanaojitambua.

YNWA
Shida pale man u haijulikani wanacheza aina gani ya football , wachezaji nao wanaangalia future zao

Where is Sancho? Hata huyu Anthony ashaanza kutiliwa shaka
 
Naendelea kusisitiza kuwa Nunez ni famba.Hakuna mambo ya "imani" kuwa watu wakikesha na kuomba atakuwa mshambuliaji hatari.He is just another Andy Carroll...Nunez hamna kitu
 
Shida pale man u haijulikani wanacheza aina gani ya football , wachezaji nao wanaangalia future zao

Where is Sancho? Hata huyu Anthony ashaanza kutiliwa shaka
Idara ya usajili ilikua imesinzia pale Manchester United yule babu wa miaka na miaka maana alimsajili Ronaldo enzi za Fergie na akaja akamsajili tena enzi za Ole kwa sasa alishaachia ngazi na wapo wengine maanake ni kwamba watafanya makosa along the way kwa mfano huyu Cody June 2022 Manchester United walianza mazungumzo ya ndani ya kumhitaji akiwemo na Antony na amabe bei yake ilikua ni ghali sana lakini kwa kua kocha alikua nae Ajax basi huyu Cody wakamdiss chap nak kupeleka ofa Ajax baada ya hapo walifika bei Leeds, Newcastle lakini dogo aligoma kuodoka PSV kuamua kujituma zaidi na hatimae akawa na msimu na kombe la dunia safi na akawa amejiweka sokoni chap sana.

Manchester United watakaa sawa wana makosa mengi kadhaa walifanya sokoni na itachukua kama dirisha 3 tena kujiweka sawa.

Antony uchezaji wake ungewafaa zaidi Tottenham kuliko Manchester United.

YNWA
 
Jina langu ni Frankie Manyanza. Hela zilipotea kitapeli aisee humu humu JF. Kikoba kingine chote kimekauka nacho kuna mwenzetu yupo hapa Muhimbili siku ya 12 hana fahamu aligongwa na gari ndio tunamuuguza

Kila kicoba unachogusa kina majanga

Kila nikiona ID yako huwa najisikia kucheka sana
Hii stori ilinichekesha mno

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
YNWA
20221228_005931.jpg
 
Huyu dogo anatumia miguu yote kama Jota hivyo Nunez klosi zitashuka kwake kama mvua.

On a side note inaonekana jeraha la Diaz sio la kitoto maana mpaka wanatoa hizi ela kwa huyu dogo si mchezo...

Sasa tusubiri sapraizi ya MF kwa Enzo mh naona big take hio ela inayotajwa kwa kweli asepe zake Manchester United... In the meantime Fabio ingekua powa apate mkopo na pia gym inamhusu ajenge stamina maana dogo akiguswa huyo chini na mikiki ya Epl inahitaji stamina design kama Eliot ule mkopo BB ulimsaidia sana kabla ya jeraha lile kumrudisha nyuma.

Tumeanza dirisha la January 2023 kwa laiti traki.

YNWA
FSG ni mabahili wanaojua kucheza na hisia za mashabiki!

Baada ya kuona Tim haifanyi VIZURI ku divert attention waka announce kuuza club wakati hawana nia Hiyo!

Juzi baada ya kukosolewa KWA kutokusain midfield na kumpoteza mane Sasa wamekuja na Gakpo halafu wata spin kupitia VYOMBO vya habari Mwezi mzima na inaweza ikawa ndio usajili pekee wa Mwezi huu Halafu maneno kibao kwenye makala za liverpool echo na Anfield index!!full ku spin halafu club haiuzwi na mashabiki watasahau!!
 
Few stat for the new boy

View attachment 2459468

Klopp has got his man. Boy might be ready for 2/1/23 game.

Zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Liverpool.

Kuumia kwa Jota na Diaz ni pigo kubwa kwetu hivyo huu usajili umekuja wakati mwafaka.

YNWA
Nunez had those,But still he's Andy carroll replica!

Stats for non competetive league players doesn't count in epl,it's better to have a ten league goals striker from a mid table clubs in epl than a thirty league goals players in non competetive leagues like eridevese and portugal!

Still not impressed by the activity, better to have pulisic or Tammy abraham!
 
FSG ni mabahili wanaojua kucheza na hisia za mashabiki!

Baada ya kuona Tim haifanyi VIZURI ku divert attention waka announce kuuza club wakati hawana nia Hiyo!

Juzi baada ya kukosolewa KWA kutokusain midfield na kumpoteza mane Sasa wamekuja na Gakpo halafu wata spin kupitia VYOMBO vya habari Mwezi mzima na inaweza ikawa ndio usajili pekee wa Mwezi huu Halafu maneno kibao kwenye makala za liverpool echo na Anfield index!!full ku spin halafu club haiuzwi na mashabiki watasahau!!
Kwaio unafikiri usajili wa Gapko ndio uta solve kiungo cha liverpool kilichooza? Hujui Gapko ni quick solution kwa ajili ya jota na diaz ambao wako majeruhi? Wao wauze wasiuze lakini kiungo cha liverpool kinahitaji reshuffle, atleast 1 dirisha hili then wawili june.
 
Kama Klopp mwenyewe amesema hivi mimi ni nani wa kumpinga Mwalimu bora Dunia.

Code:
Nunez, who has nine goals in 20 appearances since an £85m summer move from Benfica, wasted two fine openings in the first half before dragging wide when clean through after the break.

But Klopp feels he will become more clinical as he adapts to life at Anfield.

“He’s unstoppable in the moment when we keep the ball and pass it in the right moment, there’s no defender who can really catch up speed-wise,” said Klopp.

“I know all the stories around and it’s all fine but we are completely calm, everything will be fine. He played an exceptional game and we won 3-1 and that’s all that counts.

“I haven’t been in the business since yesterday and I’ve had some strikers around. I know scoring at the beginning is really not important. There are so many other things that are much more important. You just have to stay calm.”
 
Nunez had those,But still he's Andy carroll replica!

Stats for non competetive league players doesn't count in epl,it's better to have a ten league goals striker from a mid table clubs in epl than a thirty league goals players in non competetive leagues like eridevese and portugal!

Still not impressed by the activity, better to have pulisic or Tammy abraham!
Sancho came from a well documente league yet he ain't near his price nor his wage package..

Werner came from well known league and you know the history..

Lukaku came from winning the Seria A with Inter yet he couldn't shine at Chelsea he is back at Inter confused..

Di Maria came from the ever conquering White Boys yet at Manchester United he couldn't nab regular assist or goals, he was gone even before he knew what's next.

Pepe came to Arsenal with a ridiculous price tag yet he couldn't even be a serial bench warmer as he deemed surplus to requirement and a loan away was the only option..

Antony is Manchester United second expensive signing after Pogba and yet he has only 3 goals having played almost same games as Nunez and yet he dont get the stick as this raw talent of ours...

Players adapt differently to the new clubs there are those who hit the ground running like Halaand etc and there those who take time to adjust to new system, new town, new team mate, new pressure etc and Nunez fall into that category.. He is being played out of his best position due to injuries, he got that red card and its took his confidence away making things a bit rough for him. Even the boy from Mars Messi didn't hit the ground running at PSG he took almost a full season to start registering his influence on the proceedings at PSG, if Messi the most gifted wizard can take time to adjust why not give Nunez the time benefit to get his house in order... Am positive with this boy.
As Klopp says "its gonna all cool with Nunez" and i stick with Klopp.

Nunez has 4 goals as many as Antony whom they share almost same price tag... This is Epl man. Its a tough place

YNWA
 
FSG ni mabahili wanaojua kucheza na hisia za mashabiki!

Baada ya kuona Tim haifanyi VIZURI ku divert attention waka announce kuuza club wakati hawana nia Hiyo!

Juzi baada ya kukosolewa KWA kutokusain midfield na kumpoteza mane Sasa wamekuja na Gakpo halafu wata spin kupitia VYOMBO vya habari Mwezi mzima na inaweza ikawa ndio usajili pekee wa Mwezi huu Halafu maneno kibao kwenye makala za liverpool echo na Anfield index!!full ku spin halafu club haiuzwi na mashabiki watasahau!!
FSG ni ma bingwa wa ku spin manenos watakavyoona na hii wamefanya kwa mafanikio makubwa sana kwa nyakati tofauti... Hii idara ya spinning hakika nawapa big up kwani wakikuamulia huchomoki tazama ishu ya Coutinho, Can, Gini, Mane, Gerrard nk nk hawa wote ni waadhirika wa hio spinning squad...

Kwa sasa realistically nafasi yenye uhakika EPL ni kuingia Big 4 kwani la ubingwa lazima wengine wapoteane zaidi yetu ili angalau tusogee kuwaza ubingwa hivyo usajili wowote utakaotusogeza kuingia Big 4 kwangu naukaribisha hata kama hawatanunua tena kwa kuhitaji unrealistic target ni powa tu na itakua powa zaidi wawe wameuza timu by June 2023 ili tuwe na uhakika wa mpunga wa maana kuliko haya mashaka ya sasa...

Cody analeta changamoto sana pae mbele naona kama alivyotua Diaz mwaka huu mwanzoni akaleta ari mpya na huyu ni hivyo hivyo

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom