Aisee hata hivyo wamemstai sana huyu mwamba maana zile drama zake pale touch line hua classic.Mwamba kesho hatakuwepo kafungiwa mechi moja tu baada ya ku appeal View attachment 2413897
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
huu ni wakati wa kukinywa kile kikombe ambacho tumekikwepa misimu mingi😩😩😩
halaaa nawaambia hiki kikombe hamkikwepi. Na wote tuseme aminaView attachment 2409363
At last tunapata nafasi adimu sana kuwazima Real Madrid kwa mechi mbili nyumbani na ugenini.
Nimeipenda hii.
YNWA
Haaah..!! acha kunywa pombe weweHawa tunawapiga finally ina likes ya kuwa Liverpool na psg au Liverpool na man city
Kuna mashabik walimporomoshea klop matusi baada ya ile red card leo naona wanejikausha kama hawapoNunez tumepigwa??? Au kelele zimeisha?
Nunez tumepigwa??? Au kelele zimeisha?