Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2409499

Aiseee kwa taarifa hii ni dhahiri kuna wateja kama watatu hivi wameonyesha nia na ofa ambayo FSG wamevutiwa. Ukishaona taarifa kama hizi zinatolewa ujue FSG wanataka bidding war ili wapate highest bidder.

Kazi ipo.

YNWA
Jamaa wajanja Sana, wameona kuwekeza pesa ndefu itakula kwao tu, maana wanataka sell Kisha buy,

Klopp ka demand aletewe Bellingham , Dortmund anataka atleast £120m-150m

Hapo hapo wachezaji nafasi nyingine Wana umri unaelekea over 30, wamepiga hesabu wameona ikifika summer hawataweza kumleta Bellingham, na kuziba nafasi nyingine ,

Wameona wapate Chao mapema , ukiangalia hata hii Liverpool imejengwa kwa pesa za mauzo ya coutinho mwaka 2018 , rekodi zinaonesha ndio kipind Liverpool walitumia £177.5m , January na summer 2018 jumla walispend almost £210m

Ukifatilia utagundua Mzigo mkubwa ulitokana na Mauzo ya coutinho, Baada ya hapo Bila kuuza mchezaji hawawezi kutoa fungu kubwa.

Ili wasiingie mgogoro na mashabiki hiyo summer Wakati Bellingham akielekea Madrid, mancity au Chelsea , wameona Bora Wauze timu mapema wavune faida ,waliinunua Liverpool kwa £300m ,Kama sikosei, Sasa wataiuza kwa £4.5B
 
IMG_0250.jpg

Kuna news imetembea sana mchana waleo pale Liverpool.
Watafiti wamesema FSG wanatafuta shareholders kama ikitokea mnunuzi atafika bei nzuri wataamua kuiuza timu.
 
Kaa taarifa iliyopo.

FSG ndio wenye hisa kubwa pale Anfield hivyo inawapa dhamana ya kuwa wenye nguvu kubwa klabuni. Hiyo jana mchana walikaribisha wanunuzi wenye hisa ikiwa watafikia makubaliano kwa donge nono basi watauza klabu.
 
Attachments

  • IMG_0251.png
    IMG_0251.png
    373.7 KB · Views: 14
Sisi tulipita njia ya kawaida kabisa ,unacheza inaonekana unacheza CL sio Hawa mamluki walivokuwa wanapewa Porto ,benefica , Villarreal Kila siku nakuja nawauliza hivi Liverpool anacheza CL au Europa maana ilikuwa ni vituko ....
Hzo porto na Benifica ilikuwaje mpaka zika qualify?
 
#Liverpool take-over #live : Prince Al Waleed bin Talal Al Saud of Saudi Arabia has sent his representatives to Boston Massachusetts to speak with the chairman of FSG hodings John W. Henry after the American sports group officially put the majority of shares of English soccer franchise Liverpool football club on sale on Monday.

Al Waleed bin Talal who is the cousin of Crown Prince Salman bin Abdulaziz is the chairman of The Kingdom Holding Company, which is one of the largest investment conglomerates in the world. The Saudi Prince is reportedly ready to offer $3.5 billion plus $500 million for infrastructure renovation for a complete takeover.

More updates to follow soon, next 48 hours are crucial.
IMG-20221108-WA0008.jpg
 
Jamaa wajanja Sana, wameona kuwekeza pesa ndefu itakula kwao tu, maana wanataka sell Kisha buy,

Klopp ka demand aletewe Bellingham , Dortmund anataka atleast £120m-150m

Hapo hapo wachezaji nafasi nyingine Wana umri unaelekea over 30, wamepiga hesabu wameona ikifika summer hawataweza kumleta Bellingham, na kuziba nafasi nyingine ,

Wameona wapate Chao mapema , ukiangalia hata hii Liverpool imejengwa kwa pesa za mauzo ya coutinho mwaka 2018 , rekodi zinaonesha ndio kipind Liverpool walitumia £177.5m , January na summer 2018 jumla walispend almost £210m

Ukifatilia utagundua Mzigo mkubwa ulitokana na Mauzo ya coutinho, Baada ya hapo Bila kuuza mchezaji hawawezi kutoa fungu kubwa.

Ili wasiingie mgogoro na mashabiki hiyo summer Wakati Bellingham akielekea Madrid, mancity au Chelsea , wameona Bora Wauze timu mapema wavune faida ,waliinunua Liverpool kwa £300m ,Kama sikosei, Sasa wataiuza kwa £4.5B
On the spot...

Baada ya covid kuzuka hawa jamaa wameonyesha mara kadhaa wana jambo lao kwanza walianza kuwapa wafanyakazi likizo bila malipo mashabiki wakisema haiwezekani bhana wakafyata, ikaja ishu ya Super League nako wakaangukia pua kote huko utaona ni dhahiri kabisa hua wanawaza namna ya kubakisha ela zaidi klabuni, ikaja suala la Gini kudai 200k ambayo alikua entitled kulipwa kwa kua dogo ni kazi hana stori nyingi, ikaja suala Mane akadai alipwa 240k na marupurupu wakasema no way.. Sasa kunakucha ndio wanastuka hakuna mchezaji wa kuuza ili wampe Klopp funding design kama C10 kipindi kile ndio hapo wakaona watue kwa Nunez ambae miaka 4 mbele atakua na resale value ya zaidi ya £150 m.
Klopp pamoja na mapungufu yake ya ualimu na upangaji kikosi hawa FSG amewapa utajiri balaa, unavyosema hawa wanasepa sababu ya Bellingham wala sishangai kabisa kwa kua hii ela lazima waitoe wao na sio eti tuuze ndio tununue.. Na unavyosema pia ishu ya Liverpool is way deep than MF ni kweli klabu inahitaji uwekezaji kila idara kuanzia MF, defence na mbele sasa hapo Klopp mwenyewe alishasema yupo tayari kusubiri dirisha moja ampate Bellingham na wengine kuliko kununua ili mradi kwa hilo tu Klopp kaingizwa chaka yaaani jamaa wameona timu ipo down ward trend wameamua wahesabu chao mapema wasepe. Kingine sasa ni kwamba Epl ina super powers zaidi Liverpool, wakiwemo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Newcastle, Tottenham nk hawa wote wanaingia sokoni mazima hawatanii hapo tu inaonyesha usajili tu ndio utakua silaha kuu kushinda makombe sio bla bla za FSG.

Mambo ni mengi, aje mwarabu wa kwanza kutua ni Mbappe, Neves, Gapko, Bremer 😝😝😝day dreaming

Hapa aje tu Mwarabu tusahau maumivu ya hawa jamaa.

Mambo ni mengi, aje mwarabu wa kwanza kutua ni Mbappe, Neves, Gapko, Bremer day dreaming

YNWA

Hapa aje tu Mwarabu tusahau maumivu ya hawa jamaa.
Tutaua mtu,me klopp namkubali sana alipata kikos cha maana atatupa makombe sana
 
Mukesh Ambani wanted to buy Liverpool in 2017, 2018 and 2021. But, FSG refused each time. He even bid £3 billion one time and is now preparing a £4 billion bid with guaranteed squad investment.

Mukesh is a senior member of the Ambani Family and has assets of £830billion. #LFC

Apewe tu huyu Mhindi maana alishawahi ku bid aisee.
FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...

Hivi Klopp kibarua chake kitakua salama kiasi gani na wamiliki wapya wakija. EPL moja kwa miaka 7 sio jambo la kujivunia hata kwa vipi regardless ya kua na wamiliki wa ajabu kama FSG na yeye Klopp amechangia kutuangusha na same time kutupaisha.

Klopp na vijana wake sasa wajitazame upya hakuna mwenye ujira wa kudumu inaweza kua kama pale Chelsea alivyo ingia new hommy mambo yakawa bye bye kwa Thomas.

YNWA
 
(🟢) NEW:

Klopp was made aware of FSG’s intentions in October. [The Athletic]

Ndio maana nilishangaa habari zilivozuka kwamba Liverpool will go all in kwa Bellingham ili hali bei yake ni £120-150M nikajiuliza ni hawa hawa Yankees au kuna nini kumbe walishaongea na klopp klabu inauzwa, na inasemekana mpaka hawa jamaa wametoka hadharani hivi tayari kuna mzigo mnene wamewekewa wao kusema sahivi wanaiuza liverpool ni kufanya bidding war mwenye nacho apate, ila bid nono tayari wanayo mezani na Klopp kashaambiwa. Ndio maana hata game ya TOT ilipoisha aliwafata mashabiki akapiga fist pumps.
 
FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...

Hivi Klopp kibarua chake kitakua salama kiasi gani na wamiliki wapya wakija. EPL moja kwa miaka 7 sio jambo la kujivunia hata kwa vipi regardless ya kua na wamiliki wa ajabu kama FSG na yeye Klopp amechangia kutuangusha na same time kutupaisha.

Klopp na vijana wake sasa wajitazame upya hakuna mwenye ujira wa kudumu inaweza kua kama pale Chelsea alivyo ingia new hommy mambo yakawa bye bye kwa Thomas.

YNWA
Daah waki wafavour wa America wenzao watakua wametukatili sana aise.
 
Liverpool’s confirmed names for the World Cup:

Alisson
Fabinho

Likely inclusions:

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Trent Alexander-Arnold
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Jordan Henderson
Virgil Van Dijk
Darwin Nunez

Thiago () and Ibrahima Konate () also outside contenders to go to Qatar.
 
FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...

Hivi Klopp kibarua chake kitakua salama kiasi gani na wamiliki wapya wakija. EPL moja kwa miaka 7 sio jambo la kujivunia hata kwa vipi regardless ya kua na wamiliki wa ajabu kama FSG na yeye Klopp amechangia kutuangusha na same time kutupaisha.

Klopp na vijana wake sasa wajitazame upya hakuna mwenye ujira wa kudumu inaweza kua kama pale Chelsea alivyo ingia new hommy mambo yakawa bye bye kwa Thomas.

YNWA

Ngumu sana Klopp kusepeshwa amini hili, especially timu ikinunuliwa na mwarabu ndio kabisaaa…

January tutaingia sokoni tufanye 2-4 signings… atleast tuwe na deapth
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom