Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Huyu dogo anaspeed balaaKuna mashabik walimporomoshea klop matusi baada ya ile red card leo naona wanejikausha kama hawapoView attachment 2414894
Huyu dogo anaspeed balaaKuna mashabik walimporomoshea klop matusi baada ya ile red card leo naona wanejikausha kama hawapoView attachment 2414894
Ndio ndio hasa kwenye makala za Anfield index Huwa wanachambua Sana!Sasa tutarajie viingereza vingi na komenti kama makala za magazeti.😂
Kutesa kwa zamu.huu ni wakati wa kukinywa kile kikombe ambacho tumekikwepa misimu mingi😩😩😩
Defense yetu Jana ilikuwa uchochoro sema watu hawaez kuongeza kwa sababu tumeshinda Ila Kuna kaz kubwa ya kufanya defensively pia fabinho anahitaji mbadala maana Ana fatigue vibaya mnoGame ya jana Alison deserved man of the match kwa zile saves za second half
Allison changed FSG fortunes forever the moment he left Rome for Liverpool things has never been same again...Game ya jana Alison deserved man of the match kwa zile saves za second half
Huyu dogo sikuwahi kumsikia wala kumuona. He's good left footer. Hakika anaweza kuwa mbadala mzuri sana wa Egyptian king, ana kasi ya ajabu.View attachment 2415489
Huyu dogo Ben Doak is the next MF/RAM wizard pazuri Klopp anakwenda nae taratibu sana mpaka pale ataona sasa muda mwafaka umefika ku unleash the boy.
Take him as our new Foden type of boy.
Keep that name in Mind... He is the next big product from Kirkby.
YNWA
Huyu dogo amezaliwa Scotland ana miaka 17 ni generation talent endapo akiwa well managed..Huyu dogo sikuwahi kumsikia wala kumuona. He's good left footer. Hakika anaweza kuwa mbadala mzuri sana wa Egyptian king, ana kasi ya ajabu.
Huyu Elliott naye ni kama Messi fulani au Derby walikuwa wabovu akapata nafasi ya kuwakimbiza?
Dogo yuko vizuri mno. Anajua kuutumia mguu wake, ana mguu mqepesi mithili ya Bernado Silva na anakimnia kumfuata beki. Ndiposa akikutana na beki mithili ya Kulibaly lazima azoe penati za kutosha tu.Huyu dogo amezaliwa Scotland ana miaka 17 ni generation talent endapo akiwa well managed..
Liverpool walimnasa kutoka Celtic kwa £600,00 June 2022 akaingia timu ya vijana chini ya miaka 18 na kule ana balaa kwa mfano Uefa ana magoli ma nne na assist nne katika mechi nne na pia amefunga Premier League 2, EFL Trophy na Under 18 Premier League kote ametupia.
Klopp angekua kipofu asingeona ubora wa huyu dogo na ndio maana hata mechi ya juzi EPL vs Southampton dogo alikua pale benchi anaanza kupata ma feelings ya real action. Ile ya Derby ilikua kudhihirisha kwamba tuna pure gem kwa vijana.
YNWA
Coolberry katoka zake Napoli kaja kwa meli inayozama Darajani ni balaa tupu wakati kule Stadio Maradona taa limewaka wanautaka ubingwa wa Serie A msimu huu.Dogo yuko vizuri mno. Anajua kuutumia mguu wake, ana mguu mqepesi mithili ya Bernado Silva na anakimnia kumfuata beki. Ndiposa akikutana na beki mithili ya Kulibaly lazima azoe penati za kutosha tu.
We fwalaaaa labda mufukuze kochahii liverkuku inacheza mupira wa hovyo hovyo sana. Ivi ninyi mukikutana na Chelsea mutalia Walahii..
Chelsea ipi hio hii ambayo kwa sasa inagawa pointi ama ipi.hii liverkuku inacheza mupira wa hovyo hovyo sana. Ivi ninyi mukikutana na Chelsea mutalia Walahii..
Chelsea ipi hio hii ambayo kwa sasa inagawa pointi ama ipi.
Wewe pambana na yako usiiwazie kabisa hii Liverpool maana taratibu tunaanza kuelewana
YNWA
Huyu na yule aliyewanyima Everton penati siku waliyocheza dhidi ya Man City(iliyowanyima ubingwa Liverpool) ni kati ya marefa wa ovyo mno.Premier League referee Michael Oliver has personally apologised to Jürgen Klopp and held his hands up for his mistakes in the match between Liverpool and Arsenal this season. #LFC
Haya mambo hukera kweli. Points zote zimeenda siye tunaishia kupata Samahani.
Unaamini huu ujinga, vipi everton walivyonyimwa goli pale anfiled ,waliombwa msamaha?Premier League referee Michael Oliver has personally apologised to Jürgen Klopp and held his hands up for his mistakes in the match between Liverpool and Arsenal this season. #LFC
Haya mambo hukera kweli. Points zote zimeenda siye tunaishia kupata Samahani.