Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

On the spot...

Baada ya covid kuzuka hawa jamaa wameonyesha mara kadhaa wana jambo lao kwanza walianza kuwapa wafanyakazi likizo bila malipo mashabiki wakisema haiwezekani bhana wakafyata, ikaja ishu ya Super League nako wakaangukia pua kote huko utaona ni dhahiri kabisa hua wanawaza namna ya kubakisha ela zaidi klabuni, ikaja suala la Gini kudai 200k ambayo alikua entitled kulipwa kwa kua dogo ni kazi hana stori nyingi, ikaja suala Mane akadai alipwa 240k na marupurupu wakasema no way.. Sasa kunakucha ndio wanastuka hakuna mchezaji wa kuuza ili wampe Klopp funding design kama C10 kipindi kile ndio hapo wakaona watue kwa Nunez ambae miaka 4 mbele atakua na resale value ya zaidi ya £150 m.
Klopp pamoja na mapungufu yake ya ualimu na upangaji kikosi hawa FSG amewapa utajiri balaa, unavyosema hawa wanasepa sababu ya Bellingham wala sishangai kabisa kwa kua hii ela lazima waitoe wao na sio eti tuuze ndio tununue.. Na unavyosema pia ishu ya Liverpool is way deep than MF ni kweli klabu inahitaji uwekezaji kila idara kuanzia MF, defence na mbele sasa hapo Klopp mwenyewe alishasema yupo tayari kusubiri dirisha moja ampate Bellingham na wengine kuliko kununua ili mradi kwa hilo tu Klopp kaingizwa chaka yaaani jamaa wameona timu ipo down ward trend wameamua wahesabu chao mapema wasepe. Kingine sasa ni kwamba Epl ina super powers zaidi Liverpool, wakiwemo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Newcastle, Tottenham nk hawa wote wanaingia sokoni mazima hawatanii hapo tu inaonyesha usajili tu ndio utakua silaha kuu kushinda makombe sio bla bla za FSG.

Mambo ni mengi, aje mwarabu wa kwanza kutua ni Mbappe, Neves, Gapko, Bremer day dreaming

Hapa aje tu Mwarabu tusahau maumivu ya hawa jamaa.

YNWA

Mkuu hii ilikuwa wazi, sell to buy ilikuwa iwatoe KO mbaya na timu ingeanza kupungua mapato kwenye baadhi ya maeneo.

Hiyo summer haswaa wasingeweza maana
Milner
Keita
Ox

Hawa bye bye wasingetoboa kusajili more than 5 quality players kwa mkupuo. Walishakosea kwenye summer mbili kutosajili atleast 2-3 players.

Aje mwarabu au mhindi Ambani au atleast mchina, tofauti aje mmarekani tena
 
America 1st ndio policy ya ma Yankees, kwanza FSG wenyewe wamewatega hao wateja tarajiwa maana FSG hawajasema kama wanauza mazima ama wanauza share kadhaa kwa sababu hio wanafanya vile kujilinda na vurugu za mashabiki na pia kua na plan B... Ina maaana akitokea mteja akatoa 2b atapewa hisa kadhaa design kama vile walivyo muuzia Redbird mwaka jana.

Matukio yanayowasukuma ni mengi kwanza nguvu ya mashabiki kwa kila jambo walilotaka wamefeli kuanzia kutaka kuongeza bei ya tiketi, adhari za corona, kikosi kua hoi kikihitaji zaidi ya 200m kikae sawa, kingine wameshinda kila kombe kwa ngazi ya klabu na kuipaisha timu majuu, kingine walichemka kutaka kuuza brand ya Liverpool kibishara nk kwa hio hawa wanatafuta pakutokea kabla timu haijachuja zaidi kwa kutazama kwamba huwezi kushindana na Mansour oil cash ukabaki salama.

Kwa sasa hata Dangote atupelekee mahela pale achukue timu.

YNWA
 
Ngumu sana Klopp kusepeshwa amini hili, especially timu ikinunuliwa na mwarabu ndio kabisaaa…

January tutaingia sokoni tufanye 2-4 signings… atleast tuwe na deapth
Itakua ngumu hii dili kukamilika kwa mwezi mmoja. Hapa sana sana ni June 2023 ndio mwarabu atakua na uwezo wa kununua hao wachezaji sana sana hao FSG wanaweza kununua tu kufanya damage control ukashangaa wameleta Kabak type January kuzima kelele za mashabiki...

Sina hakika kama Klopp atakua salama kazini kama ataedelea na yale mambo yake ya kutaka wachezaji untouchable kama. Valverde, Saka, Mbappe nk

Muda utasema. Sie mashabiki tunahitaji kusikia FSG wamesepa they have served thier purpose.

YNWA
 
Liverpool tuna future nzuri haya mambo hayaji tu ghafla team imeongeza thamani kubwa na amini haya maneno tutasajili wacheza big names watano next season quality players.
 
America 1st ndio policy ya ma Yankees, kwanza FSG wenyewe wamewatega hao wateja tarajiwa maana FSG hawajasema kama wanauza mazima ama wanauza share kadhaa kwa sababu hio wanafanya vile kujilinda na vurugu za mashabiki na pia kua na plan B... Ina maaana akitokea mteja akatoa 2b atapewa hisa kadhaa design kama vile walivyo muuzia Redbird mwaka jana.

Matukio yanayowasukuma ni mengi kwanza nguvu ya mashabiki kwa kila jambo walilotaka wamefeli kuanzia kutaka kuongeza bei ya tiketi, adhari za corona, kikosi kua hoi kikihitaji zaidi ya 200m kikae sawa, kingine wameshinda kila kombe kwa ngazi ya klabu na kuipaisha timu majuu, kingine walichemka kutaka kuuza brand ya Liverpool kibishara nk kwa hio hawa wanatafuta pakutokea kabla timu haijachuja zaidi kwa kutazama kwamba huwezi kushindana na Mansour oil cash ukabaki salama.

Kwa sasa hata Dangote atupelekee mahela pale achukue timu.

YNWA

Lakini chanzo cha mengine ukiangalia ni sera mbovu ya “SELL to BUY”… ndio imeleta mambo mengi yashindwe ukiondoa covid.

Fsg walikuwa wanatuaminisha corona imetuvuruga, mara hatusajili kama wengine, tunasajili kwa mahitaji yooooote haya yapo kwenye “sell to buy”.

John W Henry aliwahi kusema mwenyewe biashara ya mpira ya Marekani na Ulaya ni tofauti sana. Kwao kuuza kununua, ulaya kununua bila kuangalia kuuza.

Kwa kifupi FSG hawana pumzi tena ya kuendelea na LFC kwa biashara ya mpira ilipofika.

Season kadhaa huko nyuma walikuwa wakiziuza hisa ila bado hazijawasaidia ipasavyo kuendesha timu, maji shingoni kwa sasa. Na wamezoom wakaona huenda timu ikaporomoka vibaya sana uwanjani ambapo athari mpka nje ya uwanja zitatokea na kitabu cha mahesabu kitayumba, bora kuchukua mapema.

Ukweli under Klopp they have generated huge profit, huge, huge, profit. Bora wachukue chao mapema.
 
Itakua ngumu hii dili kukamilika kwa mwezi mmoja. Hapa sana sana ni June 2023 ndio mwarabu atakua na uwezo wa kununua hao wachezaji sana sana hao FSG wanaweza kununua tu kufanya damage control ukashangaa wameleta Kabak type January kuzima kelele za mashabiki...

Sina hakika kama Klopp atakua salama kazini kama ataedelea na yale mambo yake ya kutaka wachezaji untouchable kama. Valverde, Saka, Mbappe nk

Muda utasema. Sie mashabiki tunahitaji kusikia FSG wamesepa they have served thier purpose.

YNWA

Kabisa haya mengine tuyaache kwanza

La msingi tuone FSG Sold Liverpool to Arabian
 
Liverpool tuna future nzuri haya mambo hayaji tu ghafla team imeongeza thamani kubwa na amini haya maneno tutasajili wacheza big names watano next season quality players.

Ikiwa tu FSG watasepa, wakiendelea kuwepo sahau big names hizo
 
Ikiwa tu FSG watasepa, wakiendelea kuwepo sahau big names hizo
Wanaondoka kwa kuwa wamesema wenyewe nadhani faida tu watakayopata 130% kwa bei waliyoinunua Liverpool inawavutia. Lakini lazima tuwapongeze kuongeza thamani club kuifanya leo ni hot property yenye thamani sio kitu kidogo. Tumechukuwa vikombe vyote ila wataondoka kwa heshima tuweze kusonga mbele na sisi.
 
Breaking news: Liverpool have been sold now waiting for approval and acceptance from the premier league and the government's.
FSG are no longer LFC owners
lfc

.
.
Done
Qatari Royal Family LFC
The Thani Qatar royal family and they are worth £345 billion.

Can anyone validate this please?
 
Screenshot_20221109-152242.png
 
Kabisa kabisa…
 
Jurgen Klopp has committed his future to Liverpool regardless if the club is sold.

"Whatever happens, I really like how we work with the owners. But, if anything changes, I am really committed to the club." https://t.co/KBizuInXrK
 
Breaking news: Liverpool have been sold now waiting for approval and acceptance from the premier league and the government's.
FSG are no longer LFC owners
lfc

.
.
Done
Qatari Royal Family LFC
The Thani Qatar royal family and they are worth £345 billion.

Can anyone validate this please?
Iwe tu kweli aiseee
Mwee afadhali

Ngoja aje MosDef kutoa neno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom