Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama libabu Milner na Handerson hawataondoka basi naye abaki.

Haiwezekani tumuondoe baba Halafu mibabu ipo inadunda tu.
Khaaa hii timu ishakua ya ma babu balaa. Tazama 👇
1)AlissonOct 2, 1992 ana miaka 29

2)AdriánJan 3, 1987 ana miaka 35

3)Joel MatipAug 8, 1991 ana miaka 31

4)RobertsonMar 11, 1994 ana miaka 28

5)FabinhoOct 23, 1993 ana miaka 28

6)ThiagoApr 11, 1991 ana miaka 31

7)Kieta Feb 10, 1995 ana miaka 27

8)HendersonJun 17, 1990 ana miaka 32

9)Ox Aug 15, 1993 ana miaka 28

10)MilnerJan 4, 1986 ama miaka 36

11)SalahJun 15, 1992 ana miaka 30

12)FirminoOct 2, 1991 ana miaka 30

Duh tuna hali mbaya na hawa wazee na wannabes wazee ina maana kikosi cha kwanza damu changa ni Trent, Diaz, Jota, Nunez, Gome, Konate.

Haya FSG mnatunyoosha haswa.

YNWA
 
Bora adhalilike tu. Stevie G tunampenda sana ila bado hajakwiva kabsaaa
Kuna uhaba wa makocha sokoni maana unavyosoma eti Arteta awe kocha Barcelona ndio utaona tulipofikia maana ndio kwanza Arteta project inaelekea anakotaka sasa itakua sapraizi ya mwaka kuacha utulivu wa Gunners na kwenda kwneye siasa za Catalan nwa kwenye mpira kuna mambo hutokea ambayo hayana majibu...

StevG kwetu bado ni amateur tunahitaji kocha mwenye cv nzito kama Zidane vile...

Klopp huyu mpaka January 2023 asipopewa sapoti sokoni January naona akinyanyua mikono na kusepa zake. Media za UK noma sana hawampi muda eti akae sawa tayari washaanza mapema kulinganisha Dortmund ya 2013 2014 na Liverpool hii ya sasa tena wakisema kikosi cha wazee, majeruhi, kuodoka kwa Mane/Lewandoski kama sababu ya Klopp kuchemka kibaruani... Ngoja tuone maana mwenyewe kashasema ni hali mbili ambazo zipo tofauti kabisa na wala hana mpango wa kusepa.

YNWA
 
Mbona tutambonda kichwa na maparachichi
Labda akila super mbeya na ma parachichi atakua huamii hovyo kama sasa maana dogo ni hasara kwa klabu amecheza mechi 160 hivi na kukosa mechi zaidi ya 70 katika misimu mi nne pale Liverpool. Hapo akilipwa £120k kwa wiki.

Actually Keita na Ox wanashikilia wage ya £240k kwa wiki huku muda mwingi wakiwa wodini. Hawa hata bure waachiliwe ni gharama sana kua nao klabuni sababu output yao ni kiduchu sana.

YNWA
 
Surez was the beast...
Woow.. And he missed kind of 5 games plus no penalties on that season..

Screenshot_20221106_151453_com.android.chrome_edit_410773879060235.jpg



YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom