Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale watoto wa Anceloti bana dah, Rodrygo, Camavinga na Aurelien, herimimi sijasema

1667834305674.png
 
Nimesikitika sina hela ya kuinunua Liverpool .....kwakweli jamaa walinunua Kwa bei poa Sana ..Leo wanaiuza Kwa bilioni 4...atakae nunua ataweza hata kuiuza Kwa bilioni 10 huko baadae
 
Arab owners please! We need you! We need fire power

Ni jambo njema ishu hapa ni je wanauza asilimia zote ama kiasi.

Waarabu waje hata leo na Klopp apate sapoti sokoni sio mambo ya sell to buy.


YNWA
 
Kumbuka kocha bado ni Don Carlo na timu yenyewe ni Real Madrid kwahiyo usije sema hatukukuambia mkuu 😀😀😀.
Once beaten twice shy...

Tupo tayari tuna jambo letu na hawa weupe weupe tena oiled by Arab money💃😂😂😂🥂🥂🥂 soon mkae mkao wa kusubiri mema kutoka kwa majogoo.

YNWA
 
Screenshot_20221107_191548.jpg


Aiseee kwa taarifa hii ni dhahiri kuna wateja kama watatu hivi wameonyesha nia na ofa ambayo FSG wamevutiwa. Ukishaona taarifa kama hizi zinatolewa ujue FSG wanataka bidding war ili wapate highest bidder.

Kazi ipo.

YNWA
 
ila.mwaka jana mlipata mseleleko aisee ,kudadeki ....
imagine

16 Bora ---porto mkampiga Tano kwake

Robo final ---benefica mkamchakaza

Nusu final ---villareal mbaya zaidi yalikuwa hayashituki kuwa ni mtego yakaona basi uefa ni yao wakati kuna wanaume wanapita kwenye tanuri la moto

Final

Real Madrid --- mlipigwa kifo Cha mende paaaaaaa chalii kimoja tu mkatoka nduki ,kudadekiii


This is uefa CL ....
Ile mechi ya fainali ukiacha lile goli uliiangalia kwa makini kweli? Waliokuwa na hali mbaya ni Madrid
 
Naona wazee wa ku-walk alone mnafarijiana huku mkijua mna Salah pekee wakati wenzenu wana Ostadhi, Vini na Rodrigo.
Pale kati wana damu mbichi inapiga kazi ngumu nyie mnategemea vipenzi vya Clop Henderson na Milner, na kule nyuma wanaongozwa na mjuu wa Hitler jambazi kuu Rudger nyie mnategemea wachovu na uchochoro akina TAA.

Kwa kifupi tunasema RIP Liverpool

Mkuu hizo mechi ni mwakani mwezi wa pili huko,acha kukalili.
 
Mkuu hizo mechi ni mwakani mwezi wa pili huko,acha kukalili.
Timu yako yenyewe iko sokoni, hivyo usitegemee january kuongezwa mchezaji yeyote.
Wale Madrid wamewekeza cash ndefu kwenye kila idara kuliko timu zetu nyingi, hivyo hata wanapotwaa mataji mbalimbali ni haki yao japo huwa tunajisahau tunawachukulia poa.
 
View attachment 2409499

Aiseee kwa taarifa hii ni dhahiri kuna wateja kama watatu hivi wameonyesha nia na ofa ambayo FSG wamevutiwa. Ukishaona taarifa kama hizi zinatolewa ujue FSG wanataka bidding war ili wapate highest bidder.

Kazi ipo.

YNWA
Mukesh Ambani wanted to buy Liverpool in 2017, 2018 and 2021. But, FSG refused each time. He even bid £3 billion one time and is now preparing a £4 billion bid with guaranteed squad investment.

Mukesh is a senior member of the Ambani Family and has assets of £830billion. #LFC

Apewe tu huyu Mhindi maana alishawahi ku bid aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom