zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Au tunafungwaHii game tuna draw
Au tunafungwaHii game tuna draw
Watu wamebana mbupu mpk zinataka kupasuka.Mmeshinda lakini mnaogopa.
😂😂😂😂😂😂😂Tukisema tuna hali mbaya sana ujue hali ni tete sana.Kumbe ndo kwa mara ya kwanza mnashinda mechi ugenini msimu huu😂😂😂
Halafu mkitoka hapo mnaenda kufungwa na Southampton wikiendi.😂View attachment 2408810
Ugenini London tumerejea na pointi 3 kutoka kwa opponent wa Big 4.
Well done boys.
YNWA
🤓🤓😂😂😂Mtuache sie tupo pre season ligi tunaanza January 2023.Halafu mkitoka hapo mnaenda kufungwa na Southampton wikiendi.😂
Mtuache sie tupo pre season ligi tunaanza January 2023.
YNWA









Vikombe vya uji na balon d'or ya makopoYNWA ndyo tumeanza ligi sasa hatuachi kombe lolote mbele yetu
MO SALAH BALLON DOR![]()
REAL MADRID VS LIVERPOOL. #UCLdrawView attachment 2407706
Hahaha ile goli ya Allison ni classic all time hata uangalie mara ngapi huboreki.
YNWA
RIP Liverpool