Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

You don't need to trust in klopp
Mpira ni investment watu wana invest wapate fan base wapate na faida wasichojua fsg ni kwamba liva tunapoteza mvuto kabisa kwa sasa na wanafanya utoto... Na klopp sijui kwa nini yupo upande wao
Mimi ntamlaum klopp mpaka mwisho kwa yanayoendelea unauza mane unaleta nunez
Klopp umesahau mzee wa kujaribu yanayopingwa na wengi yeye hua upande wake peke yake.. Tazama Carragher anamwambia Klopp lazima umbakishe Mane kikosini amekua mchezaji bora tangu January 2022 kwetu akichangia pointi muhimu na ushindi muhimu wakati huo Salah amepoteana kabisa lilibaki jina lakini Klopp huyu huyu wala hakujuli ushauri wa Carragher akaona aa mie sipangiwi kamwe huyu Mane asepe zake... Sasa come October 2022 Klopp kimya kimya kimya anajilaumu mwenyewe bila kwa nini hakusikiliza...

Huyu Mzee ana roho ngumu sana yaaani anaulizwa eti unasajili MF anadai hapana MF imejaa kuna Kieta,Milner, Henderson, Jones, Oxlade-Chamberlain haha like serious hao wote ni medium players wa hukoo nafasi ya 10+kimsingi MF ya Liverpool ina wachezaji wawili tu Fabinho na Thiago... Elliott na Fabio ni raw talent wana future ila kwa sasa bado sana.

Carragher alishauri vyema sana bakisha ever fit Mane kwa gharama yoyote na tetesi anakula 250k+ pale Bayern ela ambayo pale FSG ipo ila ubahili tu...

Klopp shame on you.

YNWA
 
Ni kupambana nae tu hakuna namna na kwa sasa Arsenal wana udhubutu, wana harmony, wana endurance, resilience, wana perseverance, wana mission, wamemwalewa Kocha nk hizo zote ni aspect za mshindani...

Kipara ashushwe tu tupumue.

Kwa sasa Liverpool bora kujiwekeza kusaka vipaji wanunue January 2023 na kujipanga kwenda kushinda UCL msimu huu inakua na asilimia kubwa kushiriki Uefa msimu ujao bila kutegemea kuingia Big 4.

YNWA
Hii team bila Milner hatuendi mbali 😂😂😂
 
Klopp umesahau mzee wa kujaribu yanayopingwa na wengi yeye hua upande wake peke yake.. Tazama Carragher anamwambia Klopp lazima umbakishe Mane kikosini amekua mchezaji bora tangu January 2022 kwetu akichangia pointi muhimu na ushindi muhimu wakati huo Salah amepoteana kabisa lilibaki jina lakini Klopp huyu huyu wala hakujuli ushauri wa Carragher akaona aa mie sipangiwi kamwe huyu Mane asepe zake... Sasa come October 2022 Klopp kimya kimya kimya anajilaumu mwenyewe bila kwa nini hakusikiliza...

Huyu Mzee ana roho ngumu sana yaaani anaulizwa eti unasajili MF anadai hapana MF imejaa kuna Kieta,Milner, Henderson, Jones, Oxlade-Chamberlain haha like serious hao wote ni medium players wa hukoo nafasi ya 10+kimsingi MF ya Liverpool ina wachezaji wawili tu Fabinho na Thiago... Elliott na Fabio ni raw talent wana future ila kwa sasa bado sana.

Carragher alishauri vyema sana bakisha ever fit Mane kwa gharama yoyote na tetesi anakula 250k+ pale Bayern ela ambayo pale FSG ipo ila ubahili tu...

Klopp shame on you.

YNWA
Mimi lawama zote namtupia Klopp
Yeye kama Mwalimu anaruhusu Mane aondoke ila ameitunza kabatini ya kina Milner..huu ni upumbavu wa kiwango cha lami.

Aondoke naye..muda wake umekwisha
Klopp must Go
Hatumtaki tenaa.
 
Timu apewe Steve G

Klopp katumia 4-3-3 kakuta imebuma

Katumia 4-2-3-1 imesanda

Haya katumia 4-4-2 diamond anachezea vipigo TU

Klopp anashindana na Nature ,Klopp kila mwaka wa 7 lazima aonje joto ya jiwe na huwa ana shusha hata timu daraja

Waulize Mainz05

Kuna dalili had round ya 1 inaisha akawa ameachwa 20points
 
Naunga mkono hoja
Our son Gerrard must come
 
Timu apewe Steve G

Klopp katumia 4-3-3 kakuta imebuma

Katumia 4-2-3-1 imesanda

Haya katumia 4-4-2 diamond anachezea vipigo TU

Klopp anashindana na Nature ,Klopp kila mwaka wa 7 lazima aonje joto ya jiwe na huwa ana shusha hata timu daraja

Waulize Mainz05

Kuna dalili had round ya 1 inaisha akawa ameachwa 20points
mbona umesahau 4312 mkuu?
 
Leeds wameshinda at Anfield after 21 years...

Van djik apoteza gemu Anfield for first time after 71 games..

Liverpool wanapoteza game Anfield ikiwa na mashabiki after 5 years...

Hatari sana
 
Saa 2 unusu..🏀 single and sure bet code ya kurudisha hela waliyochukua sporty kwenye code niliyoileta mchana. 💯 Sure....
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-193114.png
    Screenshot_20221030-193114.png
    11.6 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom