Kama wachezaji wenyewe wanaendekeza ngono zembe unategemea nini?Heeeeeee I agree Liverpool imefika mwisho enzi zina mwisho
[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Arsenyani hawahawa ninaowajua mimi ndio unawalia yamini ya kutunishiana misuli na Pep?Ni kupambana nae tu hakuna namna na kwa sasa Arsenal wana udhubutu, wana harmony, wana endurance, resilience, wana perseverance, wana mission, wamemwalewa Kocha nk hizo zote ni aspect za mshindani...
Kipara ashushwe tu tupumue.
Kwa sasa Liverpool bora kujiwekeza kusaka vipaji wanunue January 2023 na kujipanga kwenda kushinda UCL msimu huu inakua na asilimia kubwa kushiriki Uefa msimu ujao bila kutegemea kuingia Big 4.
YNWA
Klopp the Legendary Pound for Pound manager the heavy weight no more at least for now 😂😂😂😂...Kumkimbiza kipara aliye serious Kwa njia za janjanjanja lazima achoke.
Hili lizee umefika muda kuondoka.. Captain sijui hata mnang'ang'ania Nini huyu Baba.
Hilo Kopo lenu kipigo cha jana amesingizia nini kwenye press?Kumkimbiza kipara aliye serious Kwa njia za janjanjanja lazima achoke.
Hili lizee umefika muda kuondoka.. Captain sijui hata mnang'ang'ania Nini huyu Baba.
😂 😂 😂 😂 Kwamba Arsenal hawatafanya yale ya Leicester aaa najua wana kibarua kikali sana mbele yao lakini msimu huu wameonyesha ukomavu wa hali ya juu ya kua na mipango kusaka ushindi,...[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Arsenyani hawahawa ninaowajua mimi ndio unawalia yamini ya kutunishiana misuli na Pep?
Hapo jiandae kwa maumivu mengine Captain.
Ninakuhakikishia mechi za mwisho za ligi mtakua mnshindana na Arsenyeto kupambania kuingia kwenye top 4.
Kuna kila dalili Arsenyani Europa inamhusu tena msimu ujao.
Wako busy kuvaa vitambaa ku support ushogaGoli la Kwanza VVD sijui mawazo yake yalikuwa wapi yaan hamna concentration kabisa, Jamaa keshajichokea kabisa .
In Klopp i Trust Hahaha.... Ajali kazini hakuna kingine hakuna namna ni kua na subira mpakaaaaa January kama wenye pesa wakiamua kuwekeza tutakua salama angalau kupambana nafasi ya 6 mpaka 7😂😂Hata kama tumeipenda,
Huu upuuzi anaotufanyia jamaa imetosha.
They will never walk alone, always they will be with kaswende alongside........ Hehehe kaswende foreverMimekaa na dictionary yangu hapa ila mpaka muda huu sijaona uchambuzi wowote wa kiingreza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nijisomee kitabu cha THINGS FALL APART View attachment 2401929