Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20221030_180733.jpg

Mechi ndio hizi. Mambo yatakua magumu twendako.

Ni kama mechi kila baada ya siku 3 kama kawaida ni marathon...

YNWA
 
Nasimama na Nunez kwamba sio new Carroll nina imani kubwa huyu dogo kwa service kama ya Debruyne... Kwa sasa lawama zitakua nyingi lakini hii timu ishapoteana... Klopp is losing control of scenarios hana tena magic touch to turn this around... Lucky Klopp World Cup is coming in November 2022...

Kwa sasa ni Allison tu anaejua nini jukumu lake uwanjani hawa wengine kwenye ku wa rate ni below 5 out 10.

Liverpool inasifika kwa kucheza ubora wao wakicheza kama unit na sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja kwa hivyo kwa sasa mbele hakuna pressing, kati wankua outpassed, backline wanakua out classed...

Upande wa pili shiliingi ni kwamba tumecheza vyema sana hizi gemu 2 ukiacha hata zile tumeshinda maara ukitazama nafasi za kufunga tulizopata gemu ya Nottingham na Leeds ni nyingi tu lakini hatukua clinical wakati sahihi.

Mazoezini Klopp anyooshe maneno aseme laivu bila chenga mfumo ni huu na Salah au Nunez ndio focal point period... He has to borrow some notes from Fergie kwenye hilo.

YNWA
Nunez ni new carrol chance za wazi kabisa anakosa
 
Kuna mashabiki wa Liverpool walikuwa wanasema mbona hatujasajili na tumechukua makombe?

Kwa hali ilivyo sasa hawatathubutu kusema hivi.

FSG OUT KLOPP STAY
Almost the same starting line up since 2018 sababu Klopp ni muoga wa ku demand investment kutoka kwa wenye timu na hata anapo demand ni mwendo wa sell to buy wenyewe FSG wakisingizia ela zao wanawekeza kwa ujenzi na sio ela yao ni mikopo long term....

Tuna wamiliki clueless na uedeshaji wa timu kwenye transition wao wanaona kwa sababu hawa wachezaji wame deliver UCL na EPL basi na waedelee kuwepo hao hao na ni wagonjwa wengi wao na wale wenye injury list chache wanaachwa kuodoka klabuni... Haisaidii sana kulalamika ukweli ni kwamba timu ishafika...

Klopp mbishi aliambiwa mapema uza dead woods Ox, Keita, Taikumi, Origi, Matip, Gomez, Phillips, Milner, Henderson, Firmino nk aafu huo mkwaja watue Liverpool wakiwa below 27 miaka waje sasa kuanza vyema rebuilding ya Klopp awamu ya pili especially baada ya sasa kuona 4 3 3 imefika kikomo chake kutokana na wachezaji kuchoka na timu pinzani kutujulia udhaifu wetu upo upande wa kulia...

Mambo ni mengi

YNWA
 
Toka preseason sikuwahi kuamini huyu Nunez ana maajabu yoyote

Hana tofauti yoyote na Minamino au Origi

Tony Cascarino:

“Darwin Nunez is only a minor upgrade on Divock Origi and is not the right man to lead Liverpool’s line. The Uruguay international does not appear technically good enough and he loses the ball too quickly.” #lfc [times]
 
Haya sasa,
Kwako Captain Marvelous
Njoo umtetee mdogo wako huku.
 
Ndio uwezo wetu Miss Liverpool.

Hakuna namna.

Kuna giza nene sana. Hivi kwa mfano huyu VVD tangu aanze kulipwa 220k kwa wiki ameona amefika sio... Ishu sasa hata acheze vimbaya vipi hakuna mbadala wake...

YNWA
Uwezo wetu haujaishia hapa ila upumbavu wa wakubwa huko juu ndio uliotufikisha hapa.

Kitendo Cha kutokuwa na substitute ya VVD ndo upumbavu wenyewe sasa😁
 
Uwezo wetu haujaishia hapa ila upumbavu wa wakubwa huko juu ndio uliotufikisha hapa.

Kitendo Cha kutokuwa na substitute ya VVD ndo upumbavu wenyewe sasa😁
Aafu unamkimbiza Kipara nafasi ya VVD kuna Stones, Laporte, Diaz, Ake na Akanji🤔🤔🤔asa hapo unadhani akiumia mmoja, hao wengine wanatoa out put ile ile ama even more better... Sasa kwetu actually mwenye mbadala wa uhakika ni Robertson ambae anasaidiana na Tsimikas ambae kwa nyakati kadhaa amekua super substitute....

Hii timu ilikua inatembelea bahati kwa miaka mingi sana na bahati ilivyo hua ina favour prepared mind lakini sasa lol tupo likizo maana hata wachezaji wakihojiwa wanaulizwa nini kimewakuta wanabaki kujing'atang'ata mara hivi mara vile...

We are poor because we are poor how we get back to the best of the best is accepting kwanza we are in deep shit aafu ndio tuanze recovery haya ya kushinda leo tunaanza kuota then next day kipigo tunaanza kununa hayasaidii kabisaa... Its a collective efforts wachezaji mashabiki nk

Sisi mashabiki hatuna msaada wowote kama watu wameamua kuwa walafi,wanabubuna Hela zote pekeyao na wanataka wachezaji wacheze kama mashine,hata daktari hawana.
 
Aafu unamkimbiza Kipara nafasi ya VVD kuna Stones, Laporte, Diaz, Ake na Akanjiasa hapo unadhani akiumia mmoja, hao wengine wanatoa out put ile ile ama even more better... Sasa kwetu actually mwenye mbadala wa uhakika ni Robertson ambae anasaidiana na Tsimikas ambae kwa nyakati kadhaa amekua super substitute....

Hii timu ilikua inatembelea bahati kwa miaka mingi sana na bahati ilivyo hua ina favour prepared mind lakini sasa lol tupo likizo maana hata wachezaji wakihojiwa wanaulizwa nini kimewakuta wanabaki kujing'atang'ata mara hivi mara vile...

We are poor because we are poor how we get back to the best of the best is accepting kwanza we are in deep shit aafu ndio tuanze recovery haya ya kushinda leo tunaanza kuota then next day kipigo tunaanza kununa hayasaidii kabisaa... Its a collective efforts wachezaji mashabiki nk

YNWA
Klopp pamoja na wamiliki wametuangusha kutosajili wachezaji kwenye nafasi ya kiungo ambapo ndio Engine room,its a major failure
No VVD replacement
No Salah replacement
No TAA replacement
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom