Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa hivi hili limekua ni jukwaa la maumivu, kila sehemu unayogusa ni kilio tu

Misimu miwili iliopita mlisahau maandiko matakatifu Luka 6:25

" Ole wenu nyinyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia"

Hiki ni kipindi chenu sasa cha kuyaishi maneno ya Bwana.
 
Kutesa kwa zamu... Yaaani msimu haujaisha ila hii timu inatuhenyesha balaa.

Najiuliza haya mateso jamaa zetu mliweza kuishi nayo tangu miaka hiooooooo.... mpaka sasa angalau Arsenal na Manchester United mashabiki hata vibada umiza wamerejea kwa fujo kali sana.

Kucheka kwa zamu.

Tutarejea ni lini hata sijui aisee kwa sasa mtucheke, mtufunge hakuna namna upepo ndio huu huu.

YNWA
 
Screenshot_20221101_113338_edit_233651069295076.jpg

YNWA
 
Sasa hivi hili limekua ni jukwaa la maumivu, kila sehemu unayogusa ni kilio tu

Misimu miwili iliopita mlisahau maandiko matakatifu Luka 6:25

" Ole wenu nyinyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia"

Hiki ni kipindi chenu sasa cha kuyaishi maneno ya Bwana.
😂😂😂😂
 
View attachment 2403825
Paul Joyce bhana utulie wewe simama na Klopp maana nyie si ndio huna mnasimama na Klopp kwamba kikosi kipo kamili wakati sie hukooo bondeni tunaona kabisa pale kati hakuna utulivu.

YNWA
Wamgeuke hivyohivyo,
Haiwezekani atusaliti mashabiki Kwa kufanya ujinga wake wa kufumba macho na kujidai haoni shida ili awafuraahishe wazito wachache.
 
Net spend summary under Klopp:
•2016/17 - £5m profit
•2017/18 - £10m profit
•2018/19 - £127m spend
•2019/20 - £31m profit
•2020/21 - £60m spend
•2021/22 - £52m spend
•2022/23 - £13m spend

£206m total net spend in 7 seasons.

For context:
Man City’s total in the same period - £486m.
West Ham spent £148m alone in one transfer window
 
Kwa data hizi itakua ukichaa FSG kumtema Klopp kazini yaaani huyu wanae mpaka Klopp aseme amechoka kazi....

Hapa Liverpool ma kocha kama Conte, Mourinho, Pep wangekimbia msimu wa kwanza maana mpira ni pesa sasa mambo ya kusubiri miujuza kutoka kwa over 30yrs players ni ndoto....

Kwa sasa ni mpira pesa. Data za ubahiri hazina trophy actually ni mashabiki wachache sana wanajali hayo mambo...

Pep ali summarise hii ishu akauliza je hao makocha wanaosema Manchester City inatumia ela ingekua ni wao(akina Klopp nk) wanapewa hizo pesa kununua wachezaji wasingenunua.

YNWA
 
Wamgeuke hivyohivyo,
Haiwezekani atusaliti mashabiki Kwa kufanya ujinga wake wa kufumba macho na kujidai haoni shida ili awafuraahishe wazito wachache.
Klopp aka miracle worker....

Tuna kazi ngumu sana.

Tuna Kocha anaependa ku prove wanaomshauri hivi na vile kwamba wao ndio hawajui japo kuna kipindi amefanikiwa lakini muda mwingi hua anafeli.. Tujikumbushe Klopp alishauriwa mapema sana kwamba hana kipa wa kumpa kombe hata la chai akaambiwa vyema asajili lakini alivyo chaubishi akasema Mignolet na Karius wanatosha kumpa ubingwa wote tunajua nini kilifuata na kumbukumbu safi ni ile fainali ya 2018 UCL vs Real Madrid Bale anafanya yake Karius chaliii... Haya ikaja ishu ya beki bora Lovren, Sakho, Moreno nk hapa napo Klopp akaambiwa hutakaa upate hata kombe la kahawa kwa beki hawa duh badala achukue ule ushauri aufanyie kazi yeye akawapa bichwa wale beki kwamba wao ni bora wote mnajua tulikua tunafunga goli 4 huku sie tumefungwo 3 yaaani ilikua presha muda wote... Dirisha hili Klopp ameshauriwa mapema sana baada ya kushindwa EPL kwa pointi 1 na kupigwa na Real Madrid ma pundits, mashabiki wengi waliona tatizo ya Liverpool ni injini ya timu ambapo tuna MF mfu kabisa ipo kama haipo haisaidii kupunguza mashambulizi na haisaidii kupeleka mashambulizi matokeo yake hatufungi badala tunapigika na sare nyingi.

YNWA
 
Sasa hivi hili limekua ni jukwaa la maumivu, kila sehemu unayogusa ni kilio tu

Misimu miwili iliopita mlisahau maandiko matakatifu Luka 6:25

" Ole wenu nyinyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia"

Hiki ni kipindi chenu sasa cha kuyaishi maneno ya Bwana.
Nakukubali Sana mwanangu, very humble

Umetoa maandiko matakatifu yanayosadifu uhalisia

Wazee wa Imagine being us
 
Net spend summary under Klopp:
•2016/17 - £5m profit
•2017/18 - £10m profit
•2018/19 - £127m spend
•2019/20 - £31m profit
•2020/21 - £60m spend
•2021/22 - £52m spend
•2022/23 - £13m spend

£206m total net spend in 7 seasons.

For context:
Man City’s total in the same period - £486m.
West Ham spent £148m alone in one transfer window
Hiyo £127m Ni Baada ya mauzo ya Coutinho

Huwa namwambia rafiki yangu kopities , Liverpool hii imejengwa kwa mauzo ya Coutinho

Liverpool inahitaji £200m tu irejee tena
 
Kweli kabisa ndugu mauzo ya C10 ndio yaliwaleta Allison, Fabinho na VVD i guess...

Wamiliki sasa wamevurugwo hakuna tena mchezaji mwenye value ya £100m pale kama wangehitaji kuuza yaaani wamevurugwa ndio maana hata sasa ukitazama net spend ipo chini sana compared na wengine sababu wao ni jambo moja sell to buy hawana kingine...

Ilikua model nzuri sana kwamba wananunua generation talent wanaikuza na kuja kuuza kwa faida kubwa baadae mitihani sasa hao ma generation talent wenyewe wamekua adimu na hata wakisajiliwa wengine wanashindwa kuedana na price tag yao kwa mfano pale kwenu Arsenal mtazame Pepe kawatia hasara nk..

Hawa FSG wapo clueless kabisa na hii ligi wametembelea nyota ya Klopp na wachezaji wake muda mrefu ni wakati sasa FSG waache bla bla watoke huko Houston waje na mapesa kuwekeza klabuni tumechoka kuchekwa, kufungwo, kua wasidikizaji...

Aliyeshauri Mane na Gini wasipewe mikataba kama yupo klabuni atakua anatuhujumu na ni mamluki.

YNWA
 
Klopp aka miracle worker....

Tuna kazi ngumu sana.

Tuna Kocha anaependa ku prove wanaomshauri hivi na vile kwamba wao ndio hawajui japo kuna kipindi amefanikiwa lakini muda mwingi hua anafeli.. Tujikumbushe Klopp alishauriwa mapema sana kwamba hana kipa wa kumpa kombe hata la chai akaambiwa vyema asajili lakini alivyo chaubishi akasema Mignolet na Karius wanatosha kumpa ubingwa wote tunajua nini kilifuata na kumbukumbu safi ni ile fainali ya 2018 UCL vs Real Madrid Bale anafanya yake Karius chaliii... Haya ikaja ishu ya beki bora Lovren, Sakho, Moreno nk hapa napo Klopp akaambiwa hutakaa upate hata kombe la kahawa kwa beki hawa duh badala achukue ule ushauri aufanyie kazi yeye akawapa bichwa wale beki kwamba wao ni bora wote mnajua tulikua tunafunga goli 4 huku sie tumefungwo 3 yaaani ilikua presha muda wote... Dirisha hili Klopp ameshauriwa mapema sana baada ya kushindwa EPL kwa pointi 1 na kupigwa na Real Madrid ma pundits, mashabiki wengi waliona tatizo ya Liverpool ni injini ya timu ambapo tuna MF mfu kabisa ipo kama haipo haisaidii kupunguza mashambulizi na haisaidii kupeleka mashambulizi matokeo yake hatufungi badala tunapigika na sare nyingi.

YNWA
Tumemchoka sasahivi
Akapambane na jeuri yake kwake
 
Kweli kabisa ndugu mauzo ya C10 ndio yaliwaleta Allison, Fabinho na VVD i guess...

Wamiliki sasa wamevurugwo hakuna tena mchezaji mwenye value ya £100m pale kama wangehitaji kuuza yaaani wamevurugwa ndio maana hata sasa ukitazama net spend ipo chini sana compared na wengine sababu wao ni jambo moja sell to buy hawana kingine...

Ilikua model nzuri sana kwamba wananunua generation talent wanaikuza na kuja kuuza kwa faida kubwa baadae mitihani sasa hao ma generation talent wenyewe wamekua adimu na hata wakisajiliwa wengine wanashindwa kuedana na price tag yao kwa mfano pale kwenu Arsenal mtazame Pepe kawatia hasara nk..

Hawa FSG wapo clueless kabisa na hii ligi wametembelea nyota ya Klopp na wachezaji wake muda mrefu ni wakati sasa FSG waache bla bla watoke huko Houston waje na mapesa kuwekeza klabuni tumechoka kuchekwa, kufungwo, kua wasidikizaji...

Aliyeshauri Mane na Gini wasipewe mikataba kama yupo klabuni atakua anatuhujumu na ni mamluki.

YNWA

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom