Hamna cha kiungo wala nn, wachezaji wamechoka hamna rotation kila siku majeruhi.klopp kutosajili kiungo sasa ndio kinachotugharimu
Hao hawauzikiMilner, Nunuz,Salah na Henderson uza wote next season alafu leta vifaa vipya maana hzo zote ni project zilizo feli.
Nasimama na Nunez kwamba sio new Carroll nina imani kubwa huyu dogo kwa service kama ya Debruyne... Kwa sasa lawama zitakua nyingi lakini hii timu ishapoteana... Klopp is losing control of scenarios hana tena magic touch to turn this around... Lucky Klopp World Cup is coming in November 2022...Milner, Nunuz,Salah na Henderson uza wote next season alafu leta vifaa vipya maana hzo zote ni project zilizo feli.
Nunez ni mchezaji wa hovyo kuwahi kuvaa shati ya livapuu ukitoa AndyNasema World Cup ije tu kwanza tupumzike vipigo hivi aisee timu ipo ipo ni lini itakupa sapraizi ni ngumu kuelewa... Kila tukiona mwanga fulani tunachapwa KO sio haoooo...
Klopp almost nusu ya msimu na hana mfumo unaeleweka utaona 4 4 2 au 4 1 4 1 ama 4 3 3 yaaani hatuna identity mpaka sasa matokeo yake hatuna main threat pale mbele kila mmoja anakljipambania kusaka namna ya kumpata Halland kwenye ufungaji bora.
Nitoe Big Up kwa kipa wa Leeds hakika anastahili MOTM leo kapambana sana lakini hii inaonyesha tulivushuka kiwango cha umaliziaji pale mbele maana mechi ya pili EPL tuna shot on target zaidi ya 10 kwa kupata goli 1 ni aibu ya karne.
Kwa sas matarjio ni tutaishia kucheza Europa msimu ujao.
YNWA
Nunez mpumbavu salah ndo mpumbavu kabisa players wanacheza for their own gloriesNasimama na Nunez kwamba sio new Carroll nina imani kubwa huyu dogo kwa service kama ya Debruyne... Kwa sasa lawama zitakua nyingi lakini hii timu ishapoteana... Klopp is losing control of scenarios hana tena magic touch to turn this around... Lucky Klopp World Cup is coming in November 2022...
Kwa sasa ni Allison tu anaejua nini jukumu lake uwanjani hawa wengine kwenye ku wa rate ni below 5 out 10.
Liverpool inasifika kwa kucheza ubora wao wakicheza kama unit na sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja kwa hivyo kwa sasa mbele hakuna pressing, kati wankua outpassed, backline wanakua out classed...
Upande wa pili shiliingi ni kwamba tumecheza vyema sana hizi gemu 2 ukiacha hata zile tumeshinda maara ukitazama nafasi za kufunga tulizopata gemu ya Nottingham na Leeds ni nyingi tu lakini hatukua clinical wakati sahihi.
Mazoezini Klopp anyooshe maneno aseme laivu bila chenga mfumo ni huu na Salah au Nunez ndio focal point period... He has to borrow some notes from Fergie kwenye hilo.
YNWA
You don't need to trust in kloppIn Klopp i Trust Hahaha.... Ajali kazini hakuna kingine hakuna namna ni kua na subira mpakaaaaa January kama wenye pesa wakiamua kuwekeza tutakua salama angalau kupambana nafasi ya 6 mpaka 7😂😂
maisha yanakwenda kasi ajabu
YNWA
Nunez ni mchezaji wa hovyo kuwahi kuvaa shati ya livapuu ukitoa Andy
Anafuata yeye
Kijamaa kipumbavu Sana na kina ego hatari hamna kitu kinajua kuhusu mpira movements zake mbovu kinacheka cheka tu utafikiri gay






Kama Klopp na FSG wangekua wasikivu wala haya ya leo hayapo, udhaifu wa Liverpool unajulikana tangu 2020 upo pale kati kati na Klopp analijua hilo mara 2 amewanyatia wachezaji kutoka Ufaransa kwa nyakati tofauti alianza na Camavinga baadae kwa Tchouameni na wote wakaishua kutua Real Madrid ajabu Klopp baada ya kuwakosa akaona lady luck atazidi kusimama nasi na hakika kwa hii miaka 2 we have been lucky timu nyingi zilipoteana kwanza wachezaji kuchuja na pia piga la uchumi kutokana na janga la Corona fast forward timu sasa zina recover financially zimeweza sasa kuwekeza kwa kujenga vikosi vya ushindani haswa wakati huo sis Liverpool tunaamini kwa vile since 2018 tuna perform wonders kicking above our financial means basi mambo yatakua kama kawaida well we guessed wrong n dearly wrong... Idara ya usajili inapata sifa nyingi sana za kununua wachezaji wa kawaida kwa bei safi na wame deliver na hapo nawapa big up lakini idara hio hio lazima wajue cycle ya wachezaji wanakwenda na kufika mwisho hivyo transition haiepukiki hata iwe vipi you can't repair old mattresses once its gone... Ukitazama dakika za hawa jamaa tangu 2017 henceforth utajua wamepambana mno nawapa big up jambo ambalo FSG walitakiwa wafanye ni smart buying ku support hawa wa siku zote na Klopp awe a man kusema Salah ni dakia 50 tu anaingia Trosard, nk kuliko ilivyo sasa wachezaji wana hati miliki ya namba they care less kwa sababu kwenye mikataba yao pia kuna ma bonus ya kutosha just being on the field,Hao hawauziki
Dunia ya leo nani utampiga kwa Nunez
Labda mfanye kama Chelsea M90 ipo inter kwa mkopo
Salah mkataba mpya ndio mlipoingia mkenge
Mshahara ni kipengele hiko
Na yeye haumizi kichwa hadi mkataba uishe
Babu milner labda mgawe bure
Henderson labda M8 au bure. Umri ni ukuta
Nakuongezea na hawa hapa
Fabio, Alcantara, Firminho, Anderson, Van D, keita, Chamberlain,
Hao wote ukiweza kutengeneza ata M50 sokoni, basi wewe utakua afisa masoko mzuri sana
Maana unajua kupromote na ku negotiate bei kiwango sio cha dunia hii
Dokta uwe na utulivu hii timu ukiwa na hasira itakutia presha tu.Nunez mpumbavu salah ndo mpumbavu kabisa players wanacheza for their own glories
No team work pale mbele
Beki imekua utumbo vvd kawa matako kabisa
I got uKama Klopp na FSG wangekua wasikivu wala haya ya leo hayapo, udhaifu wa Liverpool unajulikana tangu 2020 upo pale kati kati na Klopp analijua hilo mara 2 amewanyatia wachezaji kutoka Ufaransa kwa nyakati tofauti alianza na Camavinga baadae kwa Tchouameni na wote wakaishua kutua Real Madrid ajabu Klopp baada ya kuwakosa akaona lady luck atazidi kusimama nasi na hakika kwa hii miaka 2 we have been lucky timu nyingi zilipoteana kwanza wachezaji kuchuja na pia piga la uchumi kutokana na janga la Corona fast forward timu sasa zina recover financially zimeweza sasa kuwekeza kwa kujenga vikosi vya ushindani haswa wakati huo sis Liverpool tunaamini kwa vile since 2018 tuna perform wonders kicking above our financial means basi mambo yatakua kama kawaida well we guessed wrong n dearly wrong... Idara ya usajili inapata sifa nyingi sana za kununua wachezaji wa kawaida kwa bei safi na wame deliver na hapo nawapa big up lakini idara hio hio lazima wajue cycle ya wachezaji wanakwenda na kufika mwisho hivyo transition haiepukiki hata iwe vipi you can't repair old mattresses once its gone... Ukitazama dakika za hawa jamaa tangu 2017 henceforth utajua wamepambana mno nawapa big up jambo ambalo FSG walitakiwa wafanye ni smart buying ku support hawa wa siku zote na Klopp awe a man kusema Salah ni dakia 50 tu anaingia Trosard, nk kuliko ilivyo sasa wachezaji wana hati miliki ya namba they care less kwa sababu kwenye mikataba yao pia kuna ma bonus ya kutosha just being on the field,
Haya mambo ya small squad yalitakiwe yaishe 2019 baada ya kua timu inavutia wawekezaji na ela ipo tanua kikosi kuwe na quality na sio quantity tena yenye wagonjwa wengi tu akiwemo Keita, Ox, Matip yaaani hawa kua Liverpool mpaka sasa ni ajabu ya karne maana rarely unavyowahitaji utawaona.
Ni Liverpool pekee utaona mchezaji tegemezi kama Mane na Gini wakiachiwa sababu tu wanadai haki sawa kutokana na dakika na output yao uwanjani haina mashaka huku wakibaki vituko Henderson, Milner, Keita nk kikosini na Klopp hana hata chembe ya aibu kiwaachia na fighter hivi hivi....
Klopp kajichongea haya mambo mwenyewe.
YNWA
Aisee una una ubavu kama unawabetia Liverpool... Tumerudi kuleee tulikotoka kukamia gemu kubwa na kutoa free points kwa timu ndogo ndogo...Hili litimu maku sana imenifanya kuacha rasmi kubet football 4ever....
Now am glad to be here.....🏀💯💯💥
Ajali anazipata yeye tu??In Klopp i Trust Hahaha.... Ajali kazini hakuna kingine hakuna namna ni kua na subira mpakaaaaa January kama wenye pesa wakiamua kuwekeza tutakua salama angalau kupambana nafasi ya 6 mpaka 7😂😂
maisha yanakwenda kasi ajabu
YNWA
Fresh tu😂Jana vipi?