Was bad bwana weweMy advise, Liverpool performance was not bad, just relax you will bounce back
Nunez mbovu mkuu hana skills zozote zile ni kama kateguka miguuNunez tuliwaambia toka preseason hamsikii ,mnadai Klopp anabadilishaga wachezaji average kuwa world class
Mbona alimshindwa Minamino
Nunez niliwawekea had takwimu zake humu amefluke msimu mmoja tu ,then kanunuliwa Liverpool kwa €80m Cha ajabu mnadai Klopp atamfanya awe hatari
Wakati Ni mbahatishaji
Kituko kingine mlidai atashindana na halland , Cha ajabu mnamfananisha na G.Jesus
Jesus hata Bei inambeba Ni £45m tu

Go Arsenal Go Arsenal...Aseno will win this league Liverpool we are down
Finally
Klopp era imefika mwisho nlsema humu mkaniona chizi
YNWA.![]()
HÀTUTOKUANGUSHA,YAANI KIPARA ANAPAMBANA NA KIVULI CHAKE,HATOBOI KWA MIKEL.....KINYAGO KACHONGA MWENYEWE....Go Arsenal Go Arsenal...
Kwa kushinda EPL nipo na jamaa zangu wa Gunners.
Ishu hapa ni kipara huyu mwamba kumshusha awe 1st Runner Up sio jambo jepesi Klopp kamkimbiza kaishia kuchoka balaa na sasa hata uhakika wa Big 4 kila kukicha unazidi kutukimbia kwa mwendo wa 5G.
Klopp yanayotukuta kayataka mwenyewe wala hakuna mwingine, wachezaji wa bei chee tangu 2020 wapo sokoni lakini mzee baba anakomaa na wachezaji wale wale. Ukisoma vyema historia ya Bill Shankly utaona haya ya sasa Klopp yalimkuta kwa kukomaa kikosi cha wazee kwa kuchelewa kusajili damu changa wakati sahihi, Liverpool kwa sasa ni ya nafasi ya tatu kwa kua na kikosi chenye wazee wengi maanake ubora wao umechuja parefu sana na hili limepelekea hakuna timu inatuogopa aidha tuwe ugenini au tuwe nyumbani.
YNWA
Nasema World Cup ije tu kwanza tupumzike vipigo hivi aisee timu ipo ipo ni lini itakupa sapraizi ni ngumu kuelewa... Kila tukiona mwanga fulani tunachapwa KO sio haoooo...Vvd anajua kutuma tu,
Thiago ndio nguzo pekee na Beker zimebaki
Salah hawez Tena kurejea kiwango Cha miaka miwili
Fabinho fatigue ishamfikia
Msimu huu hata top 6 Europa mpambane sana