Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,052
Malalamiko ndio kawaida ya mtoto wa kambo.Tulistahili kupata sare
Penalty ya Arsenal sio halali
Na penalty yetu ni halali tumenyimwa
Tunarudi Anfield kujipanga
Acheni kutafuta excuses wazee..
Malalamiko ndio kawaida ya mtoto wa kambo.Tulistahili kupata sare
Penalty ya Arsenal sio halali
Na penalty yetu ni halali tumenyimwa
Tunarudi Anfield kujipanga
Sijui alimwambia nini huyu mwamba kmmmk, Henderson ni mataikei kweli,Kinachosemekana mabrazil wamemaindi sanaView attachment 2382361
Inasemekana alimuita 'nyani'Sijui alimwambia nini huyu mwamba kmmmk, Henderson ni mataikei kweli,
Ukiangalia hii picha vile Firmino anamuangalia captain wake ni wazi kuwa ata yeye ameshangazwa Kwa kilichotokea, ni kama vile haamini kuwa captain wake ndio kafanya hivoKinachosemekana mabrazil wamemaindi sanaView attachment 2382361
Upo sahihiLeo Arsenal awezi shinda
Uliona mbali,achen kukaririmechi pekee ambazo hatuwezi kushinda iwe home au away
1. Spurs
2. Everton
3. Westham
4. Chelsea
5. Brighton
hizo zote ni sare
ila sio Arsenal
Shukran mwana Liverpool halisi,Haya Arsenal ndugu zangu DullyJr na Aaron Arsenal nawapa hongera sana.
Mkimbizeni Kipara tuliemshindwa mpaka alegee. Nawapa sapoti yangu msimu huu mpo vzuri mna benchi safi nimeona hata sub mnatoa jembe mnaingiza jembe kwa kweli mambo mazuri sana kwenu.
Kwa sasa Liverpool wazee wetu hakuna namna wapo hoi sana tutakwenda hivi hivi mpaka dirisha la January kama Klopp ataacha ubishi asajili angalau tupambane kuingia Europa... Kwa hawa wachezaji ni ishara sasa wameshafika mwisho wanahitaji damu changa kuwaamsha na kuwapa changamoto...
Hii ndio madhara ya kikosi kua finyu wachezaji wametumikaaaa mpaka basi aafu they care less wanavyocheza sababu wanajua namba watapata tuuuuuuuu next gemu...
YNWA
Wewe mech mbili za mwisho umekula goal 8Nyie matakataka munaliwa kimasikhara adi na wale arse8
Sujui kwenye hili anaponaje huyu mwambaUkiangalia hii picha vile Firmino anamuangalia captain wake ni wazi kuwa ata yeye ameshangazwa Kwa kilichotokea, ni kama vile haamini kuwa captain wake ndio kafanya hivo
Kama ni kweli aliongea maneno mabaya juu ya Gabriel, kutokana na Heshima yake pale Liverpool na England Kwa ujumla atakuwa amekosea sana, na ataandamwa sana kutokana na uwepo wa wabrasil katika team yake
View attachment 2382496