Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool tunapita kipindi kigumu na hii ni kawaida ya team zote huwezi kwenda tu umenyoka kuna wakati mgumu na sisi washabiki wa Liver hii wala sio mara ya kwanza labda kama wewe ndio umeanza kuipenda Liver leo, ila pamoja na hayo tukosoe mimi tatizo kubwa naloliona kwenye kiungo kuna haja kubwa sana ya kueleta upgrade watu wawili kwa maana zaidi ya hawa tulioo nao ila shida nyingine kubwa Mo anatakiwa abadilike awe feeder sio main striker system inabadilika anakaa sana na mpira badala ya kuachia kwa striker Darwin, team inajengwa kumzunguka number 9 yeye bado yuko katika 433
Case study ni KDB kutoka kua mfungaji tegemezi na kua feeder mkuu wa Halaand hakika kwa haya mabadiliko yamesaidia kuwapaisha Manchester City parefu sana maama wengi focal points ni Halaand...

Hapa kwetu wala Klopp hana huo ubavu wa kukomalia Salah au Diaz kum feed Nunez kama main threat wetu.... Nunez akomae mwenyewe kusaka magoli kivyake akisubiri aletewe na Salah hakika atasubiri sana kwanza Salah mwenyewe anakitaka kitu cha ufungaji bora hivyo mwenyewe anataka magoli.... Mind set ya wachezaji wetu pale mbele inabidi waelewe mfungaji ni Nunez wampe sapoti kadri wawezavyo...

YNWA
 
hii ndio faida ya ubahili, kwangu hivi vipigo natamani viendelee, ili klop na wale yanks wajue mpira wa ujanja ujanja umepitwa na wakati, inatakiwa wale hasara msimu huu, tukose hata CL tuende conference huko ndio washike adabu


uhuni uhuni una mwisho, waache ujinga kabisa
 
Ukiangalia hii picha vile Firmino anamuangalia captain wake ni wazi kuwa ata yeye ameshangazwa Kwa kilichotokea, ni kama vile haamini kuwa captain wake ndio kafanya hivo

Kama ni kweli aliongea maneno mabaya juu ya Gabriel, kutokana na Heshima yake pale Liverpool na England Kwa ujumla atakuwa amekosea sana, na ataandamwa sana kutokana na uwepo wa wabrasil katika team yake

View attachment 2382496
Tumefungwa tena?
Nishaacha hata kuangalia mechi.
 
Shukran mwana Liverpool halisi,

Liverpool mnahitaji overhaul kubwa ,salah toka asain mkataba mpya kawa vetaran Kama Kagere

Tupo na Arteta since day one , kwenye shida na raha , now tumebakiza mech 1 ngumu against City

Ambayo itachezwa after world cup

Kiukweli mech ngumu kwetu ilikuwa no hii ya Liverpool , ndio mech pekee tuliyofosiwa hata kubadili mbinu ,hata buildup hatujaitumia ,

Nilisema juzi Zile Mechi mbil round ya 2 dhidi ya Liverpool na city pale Emirates tulikuwa tunatuma ujumbe wapi tunaelekea .
Nimemwelewa vyema sana Legend Edu kumbe alikua na road map nini anataka kuleta Arsenal.. Yaaani sasa Arsenal mna kikosi kipana na kichanga kuliko Liverpool damn interesting....
Kwa sasa Liverpool ni namba 3 kua na kikosi cha wazee... Hio sio rekodi powa lakini pia sio ajabu kwani umri sio mafua ulijulikana mapema tu kwamba wachezaji tegemezi 8 watakia over 30 mwaka 2022 hivyo Klopp na Edwards wamejichongea wenyewe hii hali na Edwards mapema aliona hii picha akasepa zake... Kazi kwa Klopp sasa kuweka mambo kwenye mstari...

Ukitaka kujua well coached team tazama hio team wakiwa hawana mpira,na jana Arsenal were on top kwenye second ball recovery, crucial body positioning, building pressure etc...
Watching Arsenal jana reminded me of Liverpool ile ya miaka 2018, 2019 n seems we have been caught pant down hatuna pakutokea...

Confidence ya mashabiki wa Arsenal hata gemu ikiwa 2 2 ni kama walijua mtafunga tu yaaani Arteta ana connect na wachezaji, mashabiki in tandem jambo ambalo hua haliji kwa kubahatisha...

Kwa sasa tunapambana kuisaka Big 5 hivyo haya masuala ya ubingwa hatumo tena.

YNWA
 
Skizeni nyie kuku ..huu msimu kwa sasa mutaishia nafasi ya kumi, salah atafunga bao saba tu. Nunez mutaishia kumtoa kwa mkopo, klopp atafukuzwa, mutaitaji misimu mingine mitatu ama minne kuweza kujenga ile “anibiteni liverpool”🤣🤣🤣😭😭
 
Case study ni KDB kutoka kua mfungaji tegemezi na kua feeder mkuu wa Halaand hakika kwa haya mabadiliko yamesaidia kuwapaisha Manchester City parefu sana maama wengi focal points ni Halaand...

Hapa kwetu wala Klopp hana huo ubavu wa kukomalia Salah au Diaz kum feed Nunez kama main threat wetu.... Nunez akomae mwenyewe kusaka magoli kivyake akisubiri aletewe na Salah hakika atasubiri sana kwanza Salah mwenyewe anakitaka kitu cha ufungaji bora hivyo mwenyewe anataka magoli.... Mind set ya wachezaji wetu pale mbele inabidi waelewe mfungaji ni Nunez wampe sapoti kadri wawezavyo...

YNWA
Kuongezea tulikuwa tunasajili wachezaji wanao fit mfumo wa 433 sasa kama tunaenda 4231 au 352 basi tusajili wachezaji wanoweza kuendana na mfumo huo kwa maana recruitment yetu ni lazima ibadilike ila kama tutatumia mifumo yote jambo naloliona sawa basi Mo sio lazima acheze kila mechi itakuwa mtu anapangwa kutokana na mahitaji ya mfumo unaweza kuwa mchezaji mzuri sana lakini system tunayocheza siku hii haufit hii linataka ujasiri lakini pia linahitaji muda ili team ikae imara.
 
Sub za jumapili zinaonesha klopp amekubali yaishe na kutumia 4-2-3-1 2nd match Ni udhihirisho amekubali mid Hana.

TAA & SALAH

Let's see our journey Kule itafikia. January tutaingia sokoni I wish Klopp aendelee kubaki.

YNWA
Liverpool till the end.
 
Siijui saikolojia vyema Ila klopp anashida ambayo naweza kusema anapata ugumu kumfanya mabadiliki, ni ngumu kuukabili ukweli kwa wakati. Hii nafananisha na mtu aliyeachwa na mtu na anabaki kujipa tumaini kuu ipo siku atabadilika Ila anaumizwa na Hali hiyo. Na hua akibadilika anapata matokeo.
Next summer
Keita
Ox
Milner
Mkono wa kwa heri


If I were Klopp next games ningeanza na
Beckor
Gomez
Matip
Konate
Tsimikas
Thiago
Fabinho
Carvalho
Bobby
Elliot
Nunez
Kwa 4-2-3-1
 
Kuongezea tulikuwa tunasajili wachezaji wanao fit mfumo wa 433 sasa kama tunaenda 4231 au 352 basi tusajili wachezaji wanoweza kuendana na mfumo huo kwa maana recruitment yetu ni lazima ibadilike ila kama tutatumia mifumo yote jambo naloliona sawa basi Mo sio lazima acheze kila mechi itakuwa mtu anapangwa kutokana na mahitaji ya mfumo unaweza kuwa mchezaji mzuri sana lakini system tunayocheza siku hii haufit hii linataka ujasiri lakini pia linahitaji muda ili team ikae imara.
Huyu Mr Ward ana kibarua kigumu sana pale klabuni kwani ameridhi kikosi kilichochoka balaa kuanzia mbele kati na nyuma panahitaji uwekezaji mkubwa sana ishu sasa ni pale FSG wanataka kuedelea na sell to buy unajiuliza sasa hii timu tumuuze nani haswa kuzichanga mapene ya kununua je tuuze Keita, Ox, Phillips nk hao hii January kwa pamoja hata 25m hatupati kwa sasa..

Nionavyo sasa ni wakati sahihi Klopp kwanza akomae na FSG watoe ela bila kutegemea kuuza mchezaji na pia Julian awe na realistic target haya mambo sijui tunataka Valvade wa Real Madrid waachane nayo yule ni injini ya team hatuwezi kupata...

Kuhusu mfumo hilo lipo wazi timu nyingi washatujulia kwamba tuna threat kuu ya Trent na Robbo kwa kua tunatumia 4 3 3 heavy metal na ambayo tangu 2018 ndio inatumika ja sasa timu pinzani washatujulia vyema sana namna ya kutuzuia na kutupiga pia hivyo ilikua wakati sahihi Klopp kuja na 3 4 2 1 au 4 4 2 au 4 2 3 1 ili kua hatua moja mbele ya upinzani lakini sasa Klopp alifanya kosa kubwa sana sababu huu mfumo unahitaji baller MF ambae atakua link kati ya front n defence design kama Bissouma ku dictate tempo na flow ya mpira na mwenye kasi jambo ambalo kwa sasa hatuna mchezaji huyo japo kwa mbali Jones angeacha utoto fulani angeweza kusimama hapo.

Tuna safari ndefu, Klopp n uongozi wa Klabu hawakujua impact ya kucheza fainali 4 msimu uliopita zitawaadhiri vipi wachezaji wetu maana kwa sasa unaona kabisa impact ya last season kukosa Epl na UCL inaonekana sasa.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom