Pazuri Klopp alitonywa mapema sana around Mei 2022 usajili unaotakiwa ili kumpiku Kipara lakini kama unavyojua mzee wetu Klopp hua hapangiwi yeye ni much know... Alishauriwa vyema sana asajili MF wawili na awaachie Kieta na Ox, asajili CB mmoja na strika mmoja...hapo ilikua pia kumbakisha Mane kikosini tena Carragher alimwambia ampe Mane anachotaka ili mradi dogo abakie Liverpool.. Lakini Klopp wala hakutaka kupangiwa aliona as usual anajua kila kitu sasa mambo yalivyoanza kua sivyo baada ya kuumia Henderson Klopp huyu huyu akajikataa na kusema maswali ya usajili sio yeye wa kujibu hivyo asiulizwe kabisaaa... Mambo yalivyokua taiti sana huyooo kwa Melo baada ya kujaribu kununua dakika za mwishoni dirisha kufungwa bila mafanikio...Yaani beki anamsindikiza mtu anaingia nae mpk ndani ya box.mabeki wamepwaya sana
Wameacha ile ya kusindikiza kwa macho 🤣🤣🤣🤣Mabeki wetu saivi wamesha pata mbinu mpya ya kukabia makalio![]()
Looking for the negative side sana... Mbona Ile elbow aliyopigwa Jesus huileti, na ilikuwa red card kwa Tmiskas.... Kubali tu tumekufunga leo since 2016/17 2016/17 season ulipokufa 4-1, kwa kukuzidi shot on target, msimu wa 2018/19 tulikufunga ila ulituoutshine in every aspect tofauti na leo
Regardless ya hii ishu we were beaten ki roho safi....
Huyu Arthur mlimsajiri famba ,hatacheza mech yoyote LiverpoolHahahaaaa hali mbaya sanaView attachment 2381976
Nipo safari na nimepata notification ya pongezi hizi tunashukuru sana kwa niaba ya Gunners fans,Haya Arsenal ndugu zangu DullyJr na Aaron Arsenal nawapa hongera sana.
Mkimbizeni Kipara tuliemshindwa mpaka alegee. Nawapa sapoti yangu msimu huu mpo vzuri mna benchi safi nimeona hata sub mnatoa jembe mnaingiza jembe kwa kweli mambo mazuri sana kwenu.
Kwa sasa Liverpool wazee wetu hakuna namna wapo hoi sana tutakwenda hivi hivi mpaka dirisha la January kama Klopp ataacha ubishi asajili angalau tupambane kuingia Europa... Kwa hawa wachezaji ni ishara sasa wameshafika mwisho wanahitaji damu changa kuwaamsha na kuwapa changamoto...
Hii ndio madhara ya kikosi kua finyu wachezaji wametumikaaaa mpaka basi aafu they care less wanavyocheza sababu wanajua namba watapata tuuuuuuuu next gemu...
YNWA
Wewe umeliwa mara ngapi?unàjisahaulishaNyie matakataka munaliwa kimasikhara adi na wale arse8
Hahahaaaaaa mkuu NANI ASIYEYAJUA MAJOGOO....????Tulistahili kupata sare
Penalty ya Arsenal sio halali
Na penalty yetu ni halali tumenyimwa
Tunarudi Anfield kujipanga
Hahahaaaaaa mkuu NANI ASIYEYAJUA MAJOGOO....????Tulistahili kupata sare
Penalty ya Arsenal sio halali
Na penalty yetu ni halali tumenyimwa
Tunarudi Anfield kujipanga
Klopp out au sio wazee?
Hii ilikuwa ni handball lakin refa akapeta tu
Waliona kwanini wasindikize kwa macho? Ni bora watumie njia mbadala ya matakoWameacha ile ya kusindikiza kwa macho![]()


