mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,598
- 19,241
Mkuu unasubiri hadi tumuadhibu Liverpool? Unachelewa kutangaza niaAnajitoa ufahamu, hajui Arsenal imekuwa ikipitia phase tofauti kuanzia aje Arteta katika kutengeneza timu, katika kuweka style of play, had ku recruit wachezaji wanaoingia kwenye huo mfumo.
Ni kweli Liverpool na city walitufunga mech zote msimu uliopita ,ila Kama aliangalia hizo game hasa za round ya 2 angeelewa Arsenal inaelekea wapi , Mancity pale Emirates alikutana na arsenal tofaut kabisa na ya round ya 1, bila red card, arsenal kunyimwa penalty ,had 2nd half mancity muda mwingi alikuwa forced kukaa nyuma
Mech ya Liverpool pia asilimia 90 ilikuwa balance kabla 2nd half magoli ya fitminho na jota ,but performance ilikuwa tofaut na Liverpool aliyoizoea akikutana na Arsenal , na Baada ya mech ikafichuka GK aliumia akaendelea kudaka rejea goli la jota,
Na hiyo mech ndio Arnod Trent alisumbuliwa Sana na Gab Martinell
But for me Zile performance mbili dhidi ya city na Liverpool zilinipa mwanga ,Arteta anaipeleka hii timu wapi .Hata performance ya msimu huu sijawa surprised ,niliiona zaman .
Kwahiyo hata mechi ya jumapili ,Ni mech ambayo Liverpool ajiandae kukutana na Arsenal ambayo sio ile aliyoizoea ya kucheza kaunta au kuogopa ,itakuwa mech ya kupishana
For me Tukipata matokeo hi mechi nitatangaza Rasmi Sasa tunaenda kubattle epl na Huyo city , maana Hizi middle teams hazitusumbui Tena .
Mimi msimu huu nshasema
Arsenal NDOO
haaland kiatu
Pep ameamua kupiga kwenye mshono

Pep Guardiola on Manchester City’s start to the season: “We cannot forget one thing, ladies & gentlemen, there is one team that have been better than us, this is the reality. Arsenal have been better than us, so far. We are not top of the league.” #afc