Milner bro? Milner sio wakubadili matokeo ni mtu ambae unamhitaji team ikiwa imeshinda wa kusaidia ku protect the lead. Sio kutafuta goli.Ajax wapo vizuri.Hii mechi bila Milner hakieleweki.
Klopp akaona isiwe tabu wacha nimueke mzee mwenzangu milner aonje ladha ya ushindi



huwa hataki kabisa kumuacha huyo babu 

Kuna mchango wa mdau hapo juu kidogo anaitwa MosDef Ungeusoma uelewe.I think the experiment of playing Elliot and Trent on the same wing has failed klopp needs to do the needful and rest Elliot and put a defensive cover for Trent as he keeps getting exposed easily
Huyu jamaa atakua pale klabuni ni very influential maana hata acheze vipi kiwango kiwe vipi bado yumoo kikosini... Klopp anajua wapi amekamatika sie tunataka ushindi sio bla bla za upepo, barafu nk.Unaweza ukadhani kwamba uwepo wa Klopp pale Liverpool labda unategemea na maamuzi ya Henderson anahisi akimuudhi Henderson kwa kumuweka Benchi ataivuruga Dreessing room Ndiyomana anambembeleza Henderson kwa kila kitu.
Mkuu hatujificha humo kwa hao jamaa wawili.. Ishu ni kwamba msimu huu pekee wametucost zaidi ya goli nne, sasa mbona wengine wakisababisha magoli Klopp anawatia benchi au sub fasta bila kupepesa macho...ni kweli ila naona tunajificha sana kwenye kichaka cha henderson na milner, maana kuna siku wanakuwa hawapo ila dizaini ni ile ile, tunawaonea aibu fabinho, VVD, Trent, firmino nk, pengine leo tusitoke bila kuruhu goli ama kutanguliwa kabisa kufungwa , liverpool mtu ni Allison pekee ndio mwenye consinstency
ni kweli ila naona tunajificha sana kwenye kichaka cha henderson na milner, maana kuna siku wanakuwa hawapo ila dizaini ni ile ile, tunawaonea aibu fabinho, VVD, Trent, firmino nk, pengine leo tusitoke bila kuruhu goli ama kutanguliwa kabisa kufungwa , liverpool mtu ni Allison pekee ndio mwenye consinstency
Me uwa naamin kuna kipind kocha akifika level fulan ya mafanikio asa kama Klopp inabid aache tu mwnyw au management wawe clever enough kua brave na kuanzisha project mpy na ndicho Klopp angekua muelea na watu wake wangefny ivo maana kwa level aliyofika kashinda kila ki2 ilitakiwa tu awaambie bna inatocha me hapa sina way up zaid ya down pekee.
Ajax wapo vizuri.Hii mechi bila Milner hakieleweki.
Milner bro? Milner sio wakubadili matokeo ni mtu ambae unamhitaji team ikiwa imeshinda wa kusaidia ku protect the lead. Sio kutafuta goli.
Sasahivi Livapoor nitiamajitiamaji, wachezaji wanacheza kama wamelazimishwa , wanacheza utafikiri wanafanya mazoezi.Nyie liverkibidu pamoja na kushinda lakini mmekimbia Jukwaa lenu?
Wadau wenu tumemis vile viingreza vyenu vya kuchambulia maharage.
Saint Anne ukuje hapa haraka sana best yako OllaChuga Oc anataka akupongeze kwa ushindi wenu wa mchongo.
Akina Ollachuga hata ushindi wa mchongo walikosa.Nyie liverkibidu pamoja na kushinda lakini mmekimbia Jukwaa lenu?
Wadau wenu tumemis vile viingreza vyenu vya kuchambulia maharage.
Saint Anne ukuje hapa haraka sana best yako OllaChuga Oc anataka akupongeze kwa ushindi wenu wa mchongo.
TobaaaKuna mazungumzo yanaendelea Milner na OX waongezewe Mkataba ulioboreshwa 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ajax wapo vizuri.Hii mechi bila Milner hakieleweki.