Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Mzee ni kama Milner na Henderson wamem weka mtu kati yaaani bila wao kikosi hakikamiliki.

Leo nikumuona Milner nitashangaa sana Klopp anatupeleka wapi

YNWA

Unaweza ukadhani kwamba uwepo wa Klopp pale Liverpool labda unategemea na maamuzi ya Henderson anahisi akimuudhi Henderson kwa kumuweka Benchi ataivuruga Dreessing room Ndiyomana anambembeleza Henderson kwa kila kitu.
 
Huyu Mzee ni kama Milner na Henderson wamem weka mtu kati yaaani bila wao kikosi hakikamiliki.

Leo nikumuona Milner nitashangaa sana Klopp anatupeleka wapi

YNWA
ni kweli ila naona tunajificha sana kwenye kichaka cha henderson na milner, maana kuna siku wanakuwa hawapo ila dizaini ni ile ile, tunawaonea aibu fabinho, VVD, Trent, firmino nk, pengine leo tusitoke bila kuruhu goli ama kutanguliwa kabisa kufungwa , liverpool mtu ni Allison pekee ndio mwenye consinstency
 
Klopp anaibomoa Legacy yake mwenyewe
Me uwa naamin kuna kipind kocha akifika level fulan ya mafanikio asa kama Klopp inabid aache tu mwnyw au management wawe clever enough kua brave na kuanzisha project mpy na ndicho Klopp angekua muelea na watu wake wangefny ivo maana kwa level aliyofika kashinda kila ki2 ilitakiwa tu awaambie bna inatocha me hapa sina way up zaid ya down pekee.
 
Imagine being an ass
JamiiForums1825574150.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom