Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Home boys...
YNWA
Anama ajabu gani sioni ubora wake mbona?Jude, huyu dogo ni kipaji na bado umri mdogo, bei yake watiweza tuu PSG ,City au madrid
Ikitokea huyu dogo akawa na Kombe La Dunia safii basi bei yake ni zaidi ya hio £130m inayotajwa na tayari Dortmund wametulia tuli kusubiri timu zijipedekeze...Jude, huyu dogo ni kipaji na bado umri mdogo, bei yake watiweza tuu PSG ,City au madrid
Magazeti ya Uingereza ndugu kwa kupamba ndio wenyewe yaaani huyu kama sio Real Madrid, Manchester United au Manchester City basi ni PSG, sababu FSG labda wakosee kuadika cheki waongeze sufuri moja 😂😂😂Anama ajabu gani sioni ubora wake mbona?
anakipaji kikubwa sana Jude, ukiona mpaka Pep amemsifia ujue ana kituAnama ajabu gani sioni ubora wake mbona?
Liverpool ikishuka daraja na hii ligi inafutwa wewe achana na Jogoo sio size yako Chugga usihangaike sana kutuombea mambay wewe koma na timu yako uingie hata top 4 kwanza.Livakuku msimu huu munashuka daraja






Kaa kwa kutulia..Sisi kama Brighton tuna jambo letu leo hatutawaangusha![]()