Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It's about time tuachane na wamiliki wa kimarekani. Tom Hicks na George Gillet walitutumbukiza kwenye shimo ambalo ilichukuchua almost a decade kutoka, tukaangukia mwikononi mwa Yankees wenzao tena in FSG ambao walituinua ila kwa sasa ni kama walisha break even na wanaiona Liverpool kama investment ya kujipatia hela baada ya brand kukua.

Money ball hailipi tena kwenye hili soko lililo tawaliwa na big time spenders in the name of Arab oil money (Man City, PSG and the likes).

Tuachane na hawa Yankees asee la sivyo we are heading back to being mediocre. Tutaishia kumlaumu kocha ila mwekezaji ndio tatizo. Hataki kuendana na soko lilivyo.

Get the Arabs in.

MosDef Captain Marvelous niambieni kama nakosea, maoni yenu kama wadau tunaolijua soka na tunaoijua team yetu ni muhimu.

Tupeni analysis ya kinachoendelea kwenye club yetu. Who's to blame? An ageing squad, poor business model, the gaffer or the players?
Problem kubwa at LFC right now, ni matokeo ya lack of spending/investment & proper squad planning.

Team tuliyo-field jana, ni the same team ambayo tuli-field against Napoli 3/4 years ago, ni Mane & Lovren tu ndiyo hawapo at LFC now, and Henderson is out injured, but when its all said and done, this just shows aina ya owners tulionao.

LFC ni their cashcow, and i dont think they will sell this property anytime soon, unless fans waanze ku-protest/demand more actions, but again we were getting abuses kwa kuwakosoa FSG back in 2018, the sigbs were there, FSG dont care about winning as long as wanapata pesa kwa club kumaliza Top 4 every season.

Its actually surreal, Club ambayo imepata PL & CL in the last 2-3 years, bado ina-field wachezaji aina ya Milner na kutegemea wataleta impact, na worse enough, tunategemea Arthur a last minute loan deal, ataleta impact pia this season.

Club, imekuwa ikijipambanua kuwa ipo runned properly, but naweza kusema ndiyo club yenye flaws kubwa sana kwa sasa, huwezi ku-claim kuwa unasubiria "right players" kwenye Transfer window, then kila siku una-field players like Milner & Henderson on the pitch, huna proper back up for Trent, playing a 19 year-old winger at RCM etc, hizi zote zinaonesha glaring failures za FSG as owners, they have been riding on Klopp miracles for too long, but the circle is slowly coming to an end now, and i think people now will realise jinsi walivyo hovyo as owners.

People can throw abuses, but your so stupid & stone head if you think owners ambao wana only two major trophies to showcase ndani ya miaka 12, ni good owners, na tena hizo 2 trophies wamepata under Klopp, a manager ambaye wana-refuse kum-back now, we needed just two CMs this summer, TWO CMs man, and nobody was asking for 60-100m, not even Klopp, but they have failed to back him, its actually mad kama kuna watu wanaendealea ku-support FSG.

Back in 2020, nakumbuka nilisema Klopp should walk before its too late, and watu walinishangaa sana, but nilikuwa najua tu this will happen, maana kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa sioni star-player ambaye tungemuuza kwa bei ya maana ili ku-rebuld/re-shape the squad, na msimu huu hela yote (players sales) imeenda kwa Nunez, leaving us so open in the MF.

haijalishi una quality bodies za aina gani kwenye defense & attack, kama your midfield is weak, huwezi ku-compete na big guns, HUWEZI.

Again, we have outgrown FSG, and ilikuwa ni norm the moment we won the LEAGUE.

I dont feel sorry for Klopp at all, he deserves this, the proper reds deserves this, the gutless LFC jornos deserves this.
 
You look at City, spurs, utd, Arsenal & chelsea business this summer, and you, your bench & recruitment team, thinks oooh, its fine, we can still compete with them, with a MF yenye two British pensioners, a kid turned RCM, and injury prone CMs.

This is Klopp's doing, he deserves this, too loyal to FSG, hope atajifunza the hard way.
 
Liverpool na Man united ni ngumu sana kuuzwa kwa waarabu, zile ni timu za kiingereza hawatakua tayari zimilikiwe na Arabs.......

watakua wanabadilishana Yankees tu...... inaitwa football politics,

wazungu nii wabaguzi sana
 
Whilst, we are at FSG, lets talk about Klopp..

achana na ku-fail ku-call out owners for lack of funding/spending

Achana na kum-freez out Keita, wakati team haina BODIES kwenye MF

The coward, stood on the touchline, na kushuhudia performances za Milner against Palace, Utd & Everton, na bado akam-reward na game-time against NAPOLI, kwenye UCL, tena as a LCM, wakati una Arthur kwenye bench.

I get it, Thiago shouldnt have started, but Arthur? unazungumzia adjustments now? unazungumzia intensity now? intensity ipi? we have been out-ran kila game game msimu huu (except Bournemouth), kitu gani jamaa anakiona kwa Milner?

and before we put blames on Gomez, it was Milner who set the tone, dk 5 tu baada ya game kuanza kwa kutoa penalty, this dates back to when Lovren was unsettling the whole defense kwasababu ya his brainfarts.

I dont want Klopp to lose the dressing room, but kama ata-fail ku-turn this around, then the likes of Salah, VVD, Trent, Fabinho, Alisson & Thiago will turn on him.

na suala la ku-turn around this ni simple sana, drop bum players, achana na favourtism, play players ambao wapo good in form, play players amabao wanastahili kucheza, and then SHOW GUTS, change the whole system, find ne solutions, find new ways za kuokoa huu msimu, you have players capable of doing that, talk to them, give them your plans, maana its so clear now Salah, Trent, Fabinho & VVD are not enjoying football at all, especially Trent, you can see it hata kwenye screen, he's not enjoying it, the problem is deeper than fatigues.

This was bound to happen, WC players always demand more, sasa kama Manager unakuwa hauna ambition na kukumbatia your favs ambao wanai-cost team on daily basis, lazima utapoteza trust ya WC players, lets be real man, theres no way FABINHO is enjoying playing with a finished MILNER in the midfield, same can be said kwa VVD ambaye kabla window kufungwa ali-demand new CMs kwenye medias

Stop playing Milner, stop playing Henderson AND stop playing Elliot at RCM against TOUGH opponents.

Things will go back to normal, because Thiago amerudi, but we all know itakuwa ni for SOME-TIME, maana i cant see Klopp akim-chezesha Arthur ahead of Henderson/Milner, na mind you, Henderson akipona, atarudishwa straight kwenye team bila hata kuzingatia form ya wachezaji waliopo kwa wakati huo.
 
Keita amekuwa frozen out, he is not injured, ameitwa kwenye kikosi cha Guinea.

Klopp was lying.

Exling mchezaji kwa ku-demand more game-time, ni upuuzi sana.

na ni suala ambalo limetokea a week before dirisha halijafungwa, so instead ya kumu-exile, ingekuwa ni busara na jambo la maana sana kama angeuzwa na kupata replacement, kuliko hivi anavyofanya Klopp wakati hatuna reliable MFs kwenye kiungo.

Absurd.
 
Hahahahahah Kuna kijamaa kilikuwa kinashinda Kule jukwaa la pira burudani,p4a katress,pira sambusa ila Leo wameingia mitini...

This 8s football brother...
 
Whilst, we are at FSG, lets talk about Klopp..

achana na ku-fail ku-call out owners for lack of funding/spending

Achana na kum-freez out Keita, wakati team haina BODIES kwenye MF

The coward, stood on the touchline, na kushuhudia performances za Milner against Palace, Utd & Everton, na bado akam-reward na game-time against NAPOLI, kwenye UCL, tena as a LCM, wakati una Arthur kwenye bench.

I get it, Thiago shouldnt have started, but Arthur? unazungumzia adjustments now? unazungumzia intensity now? intensity ipi? we have been out-ran kila game game msimu huu (except Bournemouth), kitu gani jamaa anakiona kwa Milner?

and before we put blames on Gomez, it was Milner who set the tone, dk 5 tu baada ya game kuanza kwa kutoa penalty, this dates back to when Lovren was unsettling the whole defense kwasababu ya his brainfarts.

I dont want Klopp to lose the dressing room, but kama ata-fail ku-turn this around, then the likes of Salah, VVD, Trent, Fabinho, Alisson & Thiago will turn on him.

na suala la ku-turn around this ni simple sana, drop bum players, achana na favourtism, play players ambao wapo good in form, play players amabao wanastahili kucheza, and then SHOW GUTS, change the whole system, find ne solutions, find new ways za kuokoa huu msimu, you have players capable of doing that, talk to them, give them your plans, maana its so clear now Salah, Trent, Fabinho & VVD are not enjoying football at all, especially Trent, you can see it hata kwenye screen, he's not enjoying it, the problem is deeper than fatigues.

This was bound to happen, WC players always demand more, sasa kama Manager unakuwa hauna ambition na kukumbatia your favs ambao wanai-cost team on daily basis, lazima utapoteza trust ya WC players, lets be real man, theres no way FABINHO is enjoying playing with a finished MILNER in the midfield, same can be said kwa VVD ambaye kabla window kufungwa ali-demand new CMs kwenye medias

Stop playing Milner, stop playing Henderson AND stop playing Elliot at RCM against TOUGH opponents.

Things will go back to normal, because Thiago amerudi, but we all know itakuwa ni for SOME-TIME, maana i cant see Klopp akim-chezesha Arthur ahead of Henderson/Milner, na mind you, Henderson akipona, atarudishwa straight kwenye team bila hata kuzingatia form ya wachezaji waliopo kwa wakati huo.
Jamaa sijui hata nani amemroga aisee..Anapambana na akina Milner Dah!
Mkuu natamani hata tungekupa timu wewe uwe manager.
 
Nimeipenda mwenyewe...wacha nife nayo...mateso yote niliyapata 1990-2019...haya NI chamtoto

YNWA
 
hapo inapigwa penetration watu wapo high line, Allison anafikiwa, hii timu ni zaidi ya sababu za injury tactics ni janga kubwa zaidi,
Screenshot_20220908-203320_YouTube.jpg
 
Wachezaji wa Liverpool wamechoka vibaya mno ,..!

TAA,Gomez , Robertson ,VVD ,salah ,fabihno ,milner , firmino ,wametumika miaka 4 mfululizo katika peak ya hali ya juu bila mbadala ...Kila game wao wanaanza ,....

Mwaka jana makombe yote manne wamecheza game zote wao , ukicheki body language ya kina vvd ,Gomez ,TAA , inaonesha kabisa it's over ,tafuteni mbadala mwingine haraka sana kabla ghalika la nuhu halijamwagika ...

Fanyeni rotation ya hao wachezaji wanatumia damu sio mafuta

Over
Nikweli kabisa, kama Salah, VVD,TAA, Babu Milner ,Fabinho, Robertson na Allison Dah! Hawa jamaa kila game wamoo labda huwa wanahurumiwa FA tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom