Ni kweli, lakini kuna makosa mengi ya kimfumo ambayo siyo kosa la mchezaji mmoja mmoja direct, magoli mawili ya Napoli ni hiyo style ya high line, hata goli lililotucost Champions league last seazon sio la milner wala heñderson direct bali ni huo mfumo wa highline na kujisahau kwa TAA, ametucost tena mechi ya Fulham goli la mitrovic, hata mechi ya Ajax almanusura tusawazishiwe kwa kichwa kutokana na mfumo huo huo wa highline na kukosa umakini kwa TAA, tukija kwa VVD amekua bingwa wa kukabia macho sana, Gomez ndio kabisaa hajielewi uwanjani ila tunaona makosa ya JM na JH tuu,
View attachment 2360086
Man, its should be a common theme, kuwa Klopp kaanza kutumia high-line kuanzia 2018, its been 4 years now, 4 YEARS.
Klopp ni attacking minded coach, hawezi ku-coach deep/low block, hawezi ku-coach defensive patterns zinazohusiana na ku-sit back/ku-park train and play on counters, hence akaamua kutumia High-Line kama his defensive shield/pattern, our high-line ndiyo our main WAY of defending, imekuwa hivyo for years, and Klopp introduced this set-up baada ya ku-assemble/recruit his spine (Alisson-VVD-Fabinho), hii spine ilikuwa imezungukwa na other 2 pacey RCBs (Gomez before his big injury, Matip), 2 pacey FBs (Trent & Robertson), a runner and workhorse merchant with good & top physical presence (Henderson), a press resistant & good holder of the ball (Gini), a pressing machine (Firmino) and 2 pacey wingers (Mane & Salah)..
You cant coach a deep block, especially in a 433, and expect your FBs to move the ball up top and create chances at will, its impossible, Klopp needed to use Trent passing ability & Vision kwenye kutengeneza attacking channels, evade opponents defensive phases/traps kwa ku-switch pitch patterns (right to left)..
Kwenye youth set-ups zote at LFC, Trent was used as a MF, but asingekuwa one of the best RBs in the world kama Klopp asinge-utilise his abilities on the ball kama main creator from wide areas, kwa kumchezea as a basic RBs in a 433, na ku-defend from the back-foot.
High-Line, unayoi-question wewe, ndiyo imempa mileage kubwa sana JORDAN HENDERSON, ni mnufaika mkubwa sana wa hii set-up, because what could go wrong? good runner, wonderful physical strength/presence, good presser, and most of all shit on the ball/struggle akiwa pressured, but high-line inaficha hizi traits, because ukiachana na Gini kuokota mipira yote kwenye 2nd phase, Fabinho anakuwepo katika ku-stop transitions/counters, so kazi ya Henderson inakuwa ni ku-press high on the pitch, chase/being a nuisance kwa opponents na kutengeneza passing/attacking channels, as tayari anakuwa na eneo kubwa la ku-operate/ku-receive mpira bila pressure, as defensive duties zote zinakuwa kwa Gini & Fabinho, na ndiyo maana Henderson had good spells from 2018-2020, because he was relieved kwenye duties za ku-defend, its just a common theme, High-line ya Klopp ili-cover a lot of cracks.
But, years later, VVD got ACL injury, it took away a bit part of his pace, GOMEZ had a big injury, it took away his whole pace, GINI left, MANE left, FIRMINO cant press anymore, FABINHO cant protect the high-line on his own, Thiago/Keita plays 15 games per season etc, BUT again we still have Konate (Pacey, pacey, pacey RCB), we still have Diaz (good presser, good attacker, good scorer), we still have Tsimikas (Pacey, tackler, presser, creator, passer), we still have Jota (Presser & goal machine), Carvalho (very good passer, dribbler, goal scorer, presser ), and we have added a typical number 9.
Kwenye my previous posts, nimeelezea sana uzembe wa Klopp ku-fail ku-address glaring holes kwenye MF, kwasababu he knows what is required kwa wachezaji wake kucheza kwenye high-line.
Na kinacholalamikiwa hapa, baada ya kutoa MAELEZO yote hapa, ni kuwa Henderson na Milner ndiyo wanaharibu defensive patterns zote za kwenye High-line, you see? Thiago was out for last 5-6 games, kutokuwep kwa Thiago, ni kama kutokuwepo kwa Gini, sasa how can you blame Fabinho? unataka a-defend za whole high-line peke yake? kama Thiago (Gini), hawapo, Henderson anatakiwa ku-step up, na nimesema huko juu, kwanini high-line ilikuwa inafanya kazi, na sahiv unaona big flaws za High-line defending kwasababu traits zote nilizoongelea hapo juu, HANA now, na on top of that kutokuwepo kwa Gini (Thiago/Keita), kunamlazimisha a-show up sana on the ball, na ndiyo mistake zote huwa zinaanzia hapo, because he is not good on the ball and cant receive under pressure, sasa huwezi kuwa shabiki wa mpira na ukawa unawalaumu kina VVD, Trent, Fabinho etc, kwasababu a 200k p/w player and a CAPTAIN of Liverpool, cant receive the ball under-pressure.
Now, unachezesha a 37 year old, kwenye high-line, what do you expect?, Klopp should be blamed kwa kuwachezesha, but Milner & Henderson cant escape the heat pia, especially Henderson, ambaye ali-force Club impe mkataba mpya kwa kutumia medias, na fact ya kuwa he's still 31, you can excuse Milner kwasababu ni 37?, but what about Henderson?
what you wanted VVD kufanya for that Sancho goal? ajitupe kama mwehu ili kuonekana ni aggresive? you think a £80m worth player asingefunga kwenye ile position? Milner alijitupa mbele ya Sancho, for WHAT?, a £80m player kapewa mpira ndani ya box, tena baada ya MF ku-switch off, seconds later he had space ya ku-close down mpira on his preferred foot, huwa nasema kila siku mpira ni kitu cha "seconds), action ya Sancho ku-receive mpira, kutengeneza shooting angle, na kufunga, ni "SECONDS", ukisha-fail kwenye ku-anticipate the ball, unachoombea ni a-miss, kujirusha siju, ku-slide ni kazi bure, VVD wasnt ball watching, he knew what was going to happen already, His DM alikuwa ka-switch off, RB ka-switch off, Milner ka-switch off, the ball was on Sancho feet, and that angle is his breed & butter, angalia magoli mengi ya Sancho.
Goal la Vini Jr, kwenye CL final, mistake ilikuwa ilikuwa ni ya ROBERTSON, angalia tena lile goal, UTAELEWA, and that Vini Jr goal was OFFSIDE.
Then, hakuna system ambayo haina flaws, because hauchezi peke yako uwanjani, opponents will figure you out sometimes, you will concede goals, sometimes offsides traps zinakuwa beaten, but kwa offensive coach like Klopp, thats a very good way of defending, Trent is our MAIN creator, thats why you need high on the pitch kila muda, tupo vulnarable now especially upande wa Trent because RCM is not doing his job, hakuna defensive cover between Salah & Trent, ndiyo maana ku-switch off inakuwa rahisi.
Nimeshawahi kukosoa sana, High-Line wakati Klopp anaanza nayo, but nikaanza kumuelewa Klopp baada ya kufungwa 3-0 at Camp Nou while playing a simple defensive block, Klopp cant coach a deep block, Pep/Conte/Tuchel etc can do it, but Klopp cant, ndiyo maana hata his CBs wana-good offensive traits, ukiachana na Trent & Thiago, our 3rd main creator from the back is MATIP, good on ball, good passer, good ball carrier, good progressor, etc, na asipokuwepo tunam-miss.
Gomez, was on-time, a reliable VVD partner, a very RELIABLE, but tunasahau kuwa, alipata injury kubwa, tunasahau kuwa msimu uliopita ame-feature mara chache sana, na tunasahau kuwa game zote za awali he was just fine, mpaka ile game ya Napoli, and the funny thing, tunasahau kuwa at Napoli kwenye his right side kulikuwa na SALAH-ELLIOT-TRENT, hii ni disaster kwenye defending, na tumezungumzia hapa, why Trent ana-struggle, sasa kama Trent ana-struggle itakuwaje kwa Gomez? against pacey & hungry Napoli players? our MF was completely nullified siku ile, and its funny because MF yenyewe ilikuwa ni Fabinho, a 37 years old, and a kid ambaye siyo RCM na hajawahi kucheza RCM kabla ya kuja LFC, tena hii ilikuwa ni UCL, against Napoli, our bogey team kwenye hii league, how do you expect Gomez, VVD, Fabinho kuwa at their best? Elliot is a kid and not RCM so you can excuse him, and ooh you can excuse Milner too because he's 37, so here you want Fabinho to go against 3 Napoli MFs on his own? Milner lost the MF battle to Anguissa from Minute 1, Elliot lost the MF battle to Zielinsky from Minute 1, what do you want Fabinho to do? cover all 3 opps? MF ikifa inatokea nini? Trent ali-switch off completely ile game, it was Gomez on his own kwenye ile right side, of-course he was bound to struggle, bacause Napoli were targeting that side, Salah wasnt tracking back, RCM got thrown out of the game, Trent got thrown out of the game, Gomez had no shield, he was bound to struggle, we werent playing against a PL midtable team, we were playing against NAPOLI, for Gods sake. Konate & Matip wote pia wange-struggle, because the whole MF was non-exsistent, completely shut down, mpaka alivyoingia Thiago, but it was too late.