Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikweli kabisa, kama Salah, VVD,TAA, Babu Milner ,Fabinho, Robertson na Allison Dah! Hawa jamaa kila game wamoo labda huwa wanahurumiwa FA tu
imefika hatua VVD akiwa anakaba akiweka mguu akapitwa ananyoosha mikono juu kabisa kumruhusu mtu apite na mpira huku akisema wengine nao wakakabe Sasa ,hawezi hata kufanya tactical foul kumzuia ,TAA na yeye hivo hivo ,Hana uwezo Tena wa kusimama na mtu asimpite ,akipitwa tu basii anabaki nyuma anajog anamwachia Gomez ,gomezi nayeye akiweka mguu akapitwa ananyoosha kabisa na mikono ,ili asimchezee foul kumaanisha kuwa "pita baba Mimi nishafanya Kaz yangu" anabaki Allison pekee yake na goli ,Sasa unafiki Nini kitafuata Kama sio kupigwa
 
Problem kubwa at LFC right now, ni matokeo ya lack of spending/investment & proper squad planning.

Team tuliyo-field jana, ni the same team ambayo tuli-field against Napoli 3/4 years ago, ni Mane & Lovren tu ndiyo hawapo at LFC now, and Henderson is out injured, but when its all said and done, this just shows aina ya owners tulionao.

LFC ni their cashcow, and i dont think they will sell this property anytime soon, unless fans waanze ku-protest/demand more actions, but again we were getting abuses kwa kuwakosoa FSG back in 2018, the sigbs were there, FSG dont care about winning as long as wanapata pesa kwa club kumaliza Top 4 every season.

Its actually surreal, Club ambayo imepata PL & CL in the last 2-3 years, bado ina-field wachezaji aina ya Milner na kutegemea wataleta impact, na worse enough, tunategemea Arthur a last minute loan deal, ataleta impact pia this season.


Club, imekuwa ikijipambanua kuwa ipo runned properly, but naweza kusema ndiyo club yenye flaws kubwa sana kwa sasa, huwezi ku-claim kuwa unasubiria "right players" kwenye Transfer window, then kila siku una-field players like Milner & Henderson on the pitch, huna proper back up for Trent, playing a 19 year-old winger at RCM etc, hizi zote zinaonesha glaring failures za FSG as owners, they have been riding on Klopp miracles for too long, but the circle is slowly coming to an end now, and i think people now will realise jinsi walivyo hovyo as owners.

People can throw abuses, but your so stupid & stone head if you think owners ambao wana only two major trophies to showcase ndani ya miaka 12, ni good owners, na tena hizo 2 trophies wamepata under Klopp, a manager ambaye wana-refuse kum-back now, we needed just two CMs this summer, TWO CMs man, and nobody was asking for 60-100m, not even Klopp, but they have failed to back him, its actually mad kama kuna watu wanaendealea ku-support FSG.

Back in 2020, nakumbuka nilisema Klopp should walk before its too late, and watu walinishangaa sana, but nilikuwa najua tu this will happen, maana kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa sioni star-player ambaye tungemuuza kwa bei ya maana ili ku-rebuld/re-shape the squad, na msimu huu hela yote (players sales) imeenda kwa Nunez, leaving us so open in the MF.

haijalishi una quality bodies za aina gani kwenye defense & attack, kama your midfield is weak, huwezi ku-compete na big guns, HUWEZI.

Again, we have outgrown FSG, and ilikuwa ni norm the moment we won the LEAGUE.

I dont feel sorry for Klopp at all, he deserves this, the proper reds deserves this, the gutless LFC jornos deserves this.
Nacheka sana nikifungua TL ya James Pearce he cant write off his BREXIT boys Milnerson they always get a free pass! Keita or thiago are nowhere near the starting line up no one to throw the broken house
 
imefika hatua VVD akiwa anakaba akiweka mguu akapitwa ananyoosha mikono juu kabisa kumruhusu mtu apite na mpira huku akisema wengine nao wakakabe Sasa ,hawezi hata kufanya tactical foul kumzuia ,TAA na yeye hivo hivo ,Hana uwezo Tena wa kusimama na mtu asimpite ,akipitwa tu basii anabaki nyuma anajog anamwachia Gomez ,gomezi nayeye akiweka mguu akapitwa ananyoosha kabisa na mikono ,ili asimchezee foul kumaanisha kuwa "pita baba Mimi nishafanya Kaz yangu" anabaki Allison pekee yake na goli ,Sasa unafiki Nini kitafuata Kama sio kupigwa


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
imefika hatua VVD akiwa anakaba akiweka mguu akapitwa ananyoosha mikono juu kabisa kumruhusu mtu apite na mpira huku akisema wengine nao wakakabe Sasa ,hawezi hata kufanya tactical foul kumzuia ,TAA na yeye hivo hivo ,Hana uwezo Tena wa kusimama na mtu asimpite ,akipitwa tu basii anabaki nyuma anajog anamwachia Gomez ,gomezi nayeye akiweka mguu akapitwa ananyoosha kabisa na mikono ,ili asimchezee foul kumaanisha kuwa "pita baba Mimi nishafanya Kaz yangu" anabaki Allison pekee yake na goli ,Sasa unafiki Nini kitafuata Kama sio kupigwa
Hahaha ww jamaa ni bonge la story teller...
 
Ni suala la muda tu.
Akicheza non stop miaka 2 atachoka kama wenzie.
Miaka miwili?
Yote ya nini hio, huyu Ndizi Kiazi mpe miezi yake 6 tu akiona wenzake wanamtegea na yeye lazima aanze kutegea.
Kuku wenye mdondo hawana tofauti na mateja.
tapatalk_1825574150_612x408.jpg
 
Hv kweli ww mchovu na timu lako limetimua Hadi kocha nguvu unatoa wap ya kutupa ss nafas ya saba??
Achana na sisi ..sisi Ni Chelsea ..kufukuza makocha wanaofeli ndio falsafa yetu. Sisi tunataka Makombe. Tena Yale makubwa. Subiri tulia pira, kokoto, pira biriani linakuja. Mutajuta kutufahamu.
#CFC💙💙💙
 
It's about time tuachane na wamiliki wa kimarekani. Tom Hicks na George Gillet walitutumbukiza kwenye shimo ambalo ilichukuchua almost a decade kutoka, tukaangukia mwikononi mwa Yankees wenzao tena in FSG ambao walituinua ila kwa sasa ni kama walisha break even na wanaiona Liverpool kama investment ya kujipatia hela baada ya brand kukua.

Money ball hailipi tena kwenye hili soko lililo tawaliwa na big time spenders in the name of Arab oil money (Man City, PSG and the likes).

Tuachane na hawa Yankees asee la sivyo we are heading back to being mediocre. Tutaishia kumlaumu kocha ila mwekezaji ndio tatizo. Hataki kuendana na soko lilivyo.

Get the Arabs in.

MosDef Captain Marvelous niambieni kama nakosea, maoni yenu kama wadau tunaolijua soka na tunaoijua team yetu ni muhimu.

Tupeni analysis ya kinachoendelea kwenye club yetu. Who's to blame? An ageing squad, poor business model, the gaffer or the players?
Mkuu Chaliifrancisco mambo ni mengi muda ni mchache sana.

Ki ukweli hali tulionao haijaja kwa bahati mbaya kabisa sababu zipo nyingi na dalili zilishaanza tangu January 2022 au pengine huko nyuma lakini kwa sababu tulikua tunashinda gemu zetu hakuna alieona hili kama janga tarajiwa tuanze na ishu ya Mane
pale mbele kwa mwaka huu Mane ndio alikua tishio kwetu akifunga ama kusababisha magoli muhimu tangu January 2022 sasa kumuachia huku wakiwepo wakiwa wapo wapo tu lazima tuta suffer parefu.
combination ya Diaz Nunez Salah hii bado kabisa haijaclick kama tulivyotegemea. Wakiwa on move haijulikana nani focal. Work rate yao ku press kutoka mbele imeshuka sana tofauti na kipindi cha nyuma.
Upande wa Salah sapoti yake kutoka kwa Elliott haijakaa sawa kabisa.
Tangu 2022 January hata kabla ya Afcon Salah kiwango kilianza kushuka ukitazama expected goal, shot on target zipo chini sana. Amefunga magoli 7 tangu ailvyotoka Afcon na assist nadhani ana 3.
katika kipindi hicho amepiga pass nyingi sana kwenye opposition kuliko mchezaji mwingine na hii inakua ni kinyume chake ambapo hua anakua na shot on target zaidi kuliko wachezaji wengine. Lakini kwa kipindi hicho ametengeza nafasi nyingi kwa wachezaji wenzake. Ana rate ya 24 openings kutoka open play. Hivyo position yake imebadilika na magoli yamekauka sana.

Shinda nyingine ndugu ni kansa ile ya siku zote ya HIGH LINE DEFENCE. Kwa msimu huu imekua ni aibu kwetu sababu wachezaji hawafuati mpira wanakaribisha mashambulizi bila ku react kwa wakati. Kipindi tupo juu hua wachezaji wanakimbia kufuata mpira unapokwenda lakini sasa sio ajabu kuona Trent au Milner nk akitembea uwanjani huku tunashambuliwa..

Upande wa Mabeki pana tatizo kubwa sana kwa wote waliopo. Kuumia kwa Konate na Matip kumewarudisha Phillips, Gomez na dhahiri kabisa huku ikiwa na taztio kwa VVD kukosa msaada anaohiyaji. Hatupo compact.

kwa sasa timu inakosa intensity, hakuna energy, hatuna balance kikosini tupo tupo... Na hii inatuleta presha kushambuliwa.

kikosi kimemuchoka sana, kuna mental hangover. Hakuna mchezaji mwenye afadhali ndio maana karibia timu zote zimetufunga ukitazama walituzidi mengi uwanjani utaona kukimbia bila mpira tumezidiwa jambo ambalo chini ya Klopp hua ngumu kutokea kwani hua ana seti timu yake kwa kuny'ang'anya mpira kuanzia mbele na kupambana mpira usipigwa kaunta ama uvuke kati kwenda kwetu kwa sababu ya kuwalinda mabeki kupata presha ya quick attacks..

wachezaji wamepata hangover ya 4 3 3 na pia kukosa UCL na EPL ni ngumu kuelewa hapa Klopp atasake mchawi lakini jibu wazi.
Tumefika fainali za Uefa 5 na hali ni mbyaa sana Klopp kwani amechelewa saba kuanza kubadili mfumo na kuanza pia kubadili wachezaji muda sahihi akina Milner, Henderson nk kukomaa nao haya ndio madhara yake haamini tumetoboka kila eneo la timu.

Hakuna collective play na hii inafanya wachezaji kutojituma kutoka kwa Liverpool..

hatuna all round action MF. Dirisha limefungwa ikiwa hakuna wachezaji wa kusaidiana na Thiago. Hapa Klopp amefeli kabisa.

honestly tupo kwenye crisi wachezaji hawana morale hata ya kukimbia. Timu tulizokutana nazo wamesha tujua kwamba ua RB na LB na na magili tunapigwa
Msimu huu tumezidiwa karibu kila eneo na timu nyingi na hii inatokana na uelewano mdogo wa wachezaji wetu especially katikati ya uwanja. Ukicheza 4 3 3 lazima RMF na LMF wacheze kama RB na LB pindi tunashambulia lakini kwa sasa pia wenyewe wanaingia kwenye 18 kusaka magoli na pale tukipokonywa mpira tunaanza kuhaha sababu nyuma anakuwepo tu Fabinho Gomez na VVD.. Na sababu Fabinho hanaga mbio utaona hapo mabeki watazidiwa..

Tunaacha space nyingi sana uwanjani na timu wameshajua namna ya kutumia vyema nafasi.

Yankees kuuza timu ni ngumu sana kwa Liverpool inawavutia sana wawekezaji kuweka FSG kwa mfano RedBird walionunua Ac Milan wameuziwa hisa kadhaa pale FSG na hawa walivutiwa na FSG sababu ya Liverpool na si kingine hivyo ndugu usitegemee jamaa waachie hii timu leo wala kesho tunao sanaaa.

Tatizo lingine ni Klopp mwenyewe kutowaamini wachezaji wengine na ni kama mtu wa visasi vile yaaani yeye ana kopi na ku pasti..kiwango cha Henderson, Robertson, Milner kimeshuka sana lakini bado anawakomalia kama vile benchi halina wachezaji wengine, na kwa sababu ya pride atazidi kukomaa nao mpaka pale wanapata majeruhi.

Timu hua zina evolution baada ya miaka kama 4 inatakiwa major shake up ya kikosi kuanzia mbele mpaka nyuma kuleta wachezaji wenye njaa na ari mpya kikosini huku kwetu ni business as usual kilichompa mafanikio mwaka 2018 anakomaa nacho hata kama umri, form kua kikwazo...

Tuwe na subira pengine akipona Thiago atakuja na jipya maana hawa waliopo hawajiamini kabisa.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom