Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo lilianzia hapa
1662613413344.jpg
 
Klopp asked if he's worried about getting the sack like Tuchel: "Not really, our owners are rather calm and expect me to sort the situation and not think someone else will."

Translation:

"Our owners know that no other top level manager could over achieve like me, and put up with their disgraceful lack of investment"
Ndio maana amerelex tu huyu Mzee.
Si ajabu ndio maana alikuwa hataki kusajili ili aje apate sababu kwamba tulishindwa kwa kuwa wachezaji tegemezi walikuwa wagonjwa.
Jamaa amepiga hesabu za mbali sana.
 
It's about time tuachane na wamiliki wa kimarekani. Tom Hicks na George Gillet walitutumbukiza kwenye shimo ambalo ilichukuchua almost a decade kutoka, tukaangukia mwikononi mwa Yankees wenzao tena in FSG ambao walituinua ila kwa sasa ni kama walisha break even na wanaiona Liverpool kama investment ya kujipatia hela baada ya brand kukua.

Money ball hailipi tena kwenye hili soko lililo tawaliwa na big time spenders in the name of Arab oil money (Man City, PSG and the likes).

Tuachane na hawa Yankees asee la sivyo we are heading back to being mediocre. Tutaishia kumlaumu kocha ila mwekezaji ndio tatizo. Hataki kuendana na soko lilivyo.

Get the Arabs in.

MosDef Captain Marvelous niambieni kama nakosea, maoni yenu kama wadau tunaolijua soka na tunaoijua team yetu ni muhimu.

Tupeni analysis ya kinachoendelea kwenye club yetu. Who's to blame? An ageing squad, poor business model, the gaffer or the players?
 
Cha ajabu wamarekani ndio wamemiliki almost timu zote kubwa Man untd, Liverpool and Chelsea
 
Wachezaji wa Liverpool wamechoka vibaya mno ,..!

TAA,Gomez , Robertson ,VVD ,salah ,fabihno ,milner , firmino ,wametumika miaka 4 mfululizo katika peak ya hali ya juu bila mbadala ...Kila game wao wanaanza ,....

Mwaka jana makombe yote manne wamecheza game zote wao , ukicheki body language ya kina vvd ,Gomez ,TAA , inaonesha kabisa it's over ,tafuteni mbadala mwingine haraka sana kabla ghalika la nuhu halijamwagika ...

Fanyeni rotation ya hao wachezaji wanatumia damu sio mafuta

Over
 
It's about time tuachane na wamiliki wa kimarekani. Tom Hicks na George Gillet walitutumbukiza kwenye shimo ambalo ilichukuchua almost a decade kutoka, tukaangukia mwikononi mwa Yankees wenzao tena in FSG ambao walituinua ila kwa sasa ni kama walisha break even na wanaiona Liverpool kama investment ya kujipatia hela baada ya brand kukua.

Money ball hailipi tena kwenye hili soko lililo tawaliwa na big time spenders in the name of Arab oil money (Man City, PSG and the likes).

Tuachane na hawa Yankees asee la sivyo we are heading back to being mediocre. Tutaishia kumlaumu kocha ila mwekezaji ndio tatizo. Hataki kuendana na soko lilivyo.

Get the Arabs in.

MosDef Captain Marvelous niambieni kama nakosea, maoni yenu kama wadau tunaolijua soka na tunaoijua team yetu ni muhimu.

Tupeni analysis ya kinachoendelea kwenye club yetu. Who's to blame? An ageing squad, poor business model, the gaffer or the players?
Liverpool na Man united ni ngumu sana kuuzwa kwa waarabu, zile ni timu za kiingereza hawatakua tayari zimilikiwe na Arabs.......

watakua wanabadilishana Yankees tu...... inaitwa football politics,
 
Wachezaji wa Liverpool wamechoka vibaya mno ,..!

TAA,Gomez , Robertson ,VVD ,salah ,fabihno ,milner , firmino ,wametumika miaka 4 mfululizo katika peak ya hali ya juu bila mbadala ...Kila game wao wanaanza ,....

Mwaka jana makombe yote manne wamecheza game zote wao , ukicheki body language ya kina vvd ,Gomez ,TAA , inaonesha kabisa it's over ,tafuteni mbadala mwingine haraka sana kabla ghalika la nuhu halijamwagika ...

Fanyeni rotation ya hao wachezaji wanatumia damu sio mafuta

Over
Kwa kweli wamechoka.
Wanacheza non-Stop..hata machine kuna muda huwa zinapumzika.
TAA VavD hakuna mechi wamewahi pumzika,tena wanacheza mwanzo mwisho.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, liva naona Kama imechoka fulani hivi, wachezaji wengi wa first eleven unawaona kabisa wanacheza tu hiyo basi, wamechoka mnoooo jamann Hawa si machine ni binadamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom