Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Maneno π π asiyopenda kuyasikia Klopp ndio haya sasa yaaani hachelewi kuwaambia kama wanaona ni rahisi waje wafundishe waoπππππππ.
YNWA
Ma FSG aka Yankees wao kushiriki Big 4 inatosha mbona yaaani Klopp hafakuzwi kama tu Liverpool wanamaliza nafasi ya nne atakuwepo sana labda wadhamini watie neno biashara zikianza kuyumba...Sisi Leo tumemaliza kazi, ni yi je?
Naona Hawa wajerumani watafuatana kurudi kwao
Muache ale jeuri yake,Yeye si mwambaπHuyu mzee ana roho ngumu sana hivi anawajua vyema hawa Napoli ama yaaani nwa kwa wale waliokata tiketi za Fainali ya UCL pole sana ndugu zangu sioni tukisogea...
YNWA






Atutolee wapi wakati tushazamaπππππView attachment 2349401
π π π π π π π π π π π Anawachekiii JF ole wenu mseme ni supa bamπππ€π€π€π€π€π€
We are so done guys yaaani. Tukumbane jambo moja muhimu sana "winning is addictive so does LOSING " na hapa mambo yamegeuka sio tena business as usual kwa nara ya kwanza tangu Klopp ameanza kazi Liverpool hajawai kua na kipindi kama hiki na ndio tunataka tuone anatutoa aje tulipo kwenda mbele kwa kurudisha ushindi...
YNWA
Limevaa na hiyo belt eti no racism!View attachment 2349401
π π π π π π π π π π π Anawachekiii JF ole wenu mseme ni supa bamπππ€π€π€π€π€π€
We are so done guys yaaani. Tukumbane jambo moja muhimu sana "winning is addictive so does LOSING " na hapa mambo yamegeuka sio tena business as usual kwa nara ya kwanza tangu Klopp ameanza kazi Liverpool hajawai kua na kipindi kama hiki na ndio tunataka tuone anatutoa aje tulipo kwenda mbele kwa kurudisha ushindi...
YNWA

hasara tupuπ π π π π π wakala wa Klopp atakua Milner ujueπππAtutolee wapi wakati tushazamaπππππ
Hilo babu Milner silipendii..nilishaacha hadi kuangalia mechi maana ananikera.
Kazi kutema mimate.
Wakafie mbeleπ π π π π π Huyu wakala wake atakua Milner ujueπππ
YNWA
Hili lizee nalo limetulia hata aibu halioniView attachment 2349393
Imagine this bum being your Captain yaaaaani, Klopp anataka ku prove nini haswa ama ana vita na FSG jamani..
He is so confused.
YNWA
Ulianzaje kutupa Mkuu?Uyu diaz timu ya babaake kwani hii![]()
Hapa itakua Ma Yankees merchandise biashara iharibike ndio utawaona wanapagwa...Wakafie mbele
Wasiendelee kutuharibia Liver yetu.
Atasema saa ya referee iliharibikaπ€£π€£π€£Hapa itakua Ma Yankees merchandise biashara iharibike ndio utawaona wanapagwa...
Matip ni mzima kwa nini asianze 1st 11 huku Klopp akijua pale nyuma hakuna rhythm duuh pazuri haya mambo yalishasemwa bila kificho kwamba Liverpool wanahitaji wachezaji angalau 3 wa kikosi cha kwanza ambao ni MF, Strika na beki mmoja... Ilikua dirisha hili aingie sokoni mazima bila kutafuta sifa kwa kusaka Ubingwa kwa kuwatumia All English players Henderson na Henderson...
Tunahitaji majibu sio bure Klopp hiki kikombe cha kwake.
YNWA
UkomeNajuta kuaweka hawa jamaa kwenye keka langu leo daahhasara tupu
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app




liVARnyeto fcUlianzaje kutupa Mkuu?
Timu yetu sasahivi hata tukicheza na majimaji FC,majimaji wanaibuka washindi.



Inakata stimu sana.Hili lizee nalo limetulia hata aibu halioni