Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Wale jamaa wanavyokuwaga na ukuta mkali hatutoboi.Wolves licking there lips for the weekend
Wale jamaa wanavyokuwaga na ukuta mkali hatutoboi.Wolves licking there lips for the weekend
kabisaaIn fact ile 2018 mngecheza na na timu ya maana msingeambulia ile UEFA.
Mkuu usiniambie habari za hizi takataka naona kinyaa kuzisikia yani imepoteza mikeka yangu yote kenge hawa.
Unajua najaribu kujiuliza sana ila sipati majibu, hivi ndugu allypipi hii ndio 'Yuefa' ambayo hawa mabwana walisherekea timu yetu iliposhindwa kufuzu na wakasherekea wao kuwepo?
Mchukueni juma mgundaJurgen Klopp alituambia tukate tiketi za instabul hahahaa Jamaa anadhani yeye ni nani Zidane au anadhani Liverpool ni Real Madrid.
Kwani walicheza na na I?In fact ile 2018 mngecheza na na timu ya maana msingeambulia ile UEFA.
Katikati Tena, Kuna nani hapoHata angekuwepo Mane bado tungefungwa maana shida yetu ni katikati.